Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
Jamaa ni very intelligent anapiga picha na kuzihifadhi ali atumie kwa wakati wake
Dr Magufuli atafata sera ya Kichina ya Communist Party, inayosema, "Ukiifumbia macho saana rushwa inauwa serikali, lakini ukiipiga vita saana rushwa unakiuwa Chama."
Kuna watu JPM amewapunguzia majukumu hapa JF,nayo ni kuwarekebisha watu wanapokosea spelling tu!
That is absolutely true.Kuna kila sababu watu wa usalama wa Taifa kupiga kambi hapa JF maana hapa kuna vyanzo vingi sana vya kuanzia,
Kuna habari niliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma na sasa naanza kuzisikia tena humu. Je, ni kweli Mhina ni bilionea? Na je, ni kweli ubilionea umetokana na mshahara wake?
Hata mimi nilikuwa namsikiaga tu kwa watu ila nikawa napuuzia.., Leo nimeona akitajwa humu tens, so I'm simply doing an inquiry..mkuu tulia uandike kitu cha kueleweka. wengine hatumjui huyo mgosi
HAIWEZEKANI HATA SIKU MOJA TEAMLOWASSA AKAMFAGILIA AU KUMPENDA DR. MWAKYEMBE, huyu MZALENDO kasababisha damage kubwa sana iliyogharimu watu urais na ahadi za ukuu wa vitengo kwa baadhi ya watu.Magufuli anajua kuwa Mwakyembe ni mwizi mkubwa anajua kuwa alipiga Mabilioni ya ukarabati wa Reli ya kati na Reli ya Treni ya jijini al-maarufu Treni ya Mwakyembe, ununuzi wa mabehewa Feki, miladi yote bandarini alichukua 10% Mwakyembe ni mwizi kuliko Waziri yeyote amepata kutokea Tanzania lakini kilichomlinda ni mbinu zake za Unafiki, fitna, majungu na kuwatoa wengine kafara pindi akipiga Dili. Sasa Magufuli anamlinda kwa sababu alisaidia kampeni kwa kumlubuni na kumfundisha DR Slaa mbinu za kuwahujumu na kuwadhoofisha Ukawa.