Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Ulichosema ni kweli kabisa, Lkn yeye hajafanya hivyo!unaweza kukuta mshahara wake ni 8m kwa mwezi, huyu mtu anaweza kukopa 200m bank. akinunua pori la eka 300@200,000 atatumia 60,000,000! mbuzi 500 wanaweza kupatikana kwa mbuzi 250 kuzaa mara moja tu kwa mwaka 1. mbuzi 250@30,000 ni sawa na sh 7,500,000! huyu mtu naomba tusimwonee kwan anaweza kuwa na hvyo vitu kwa chini ya m100
Ni jembe la mabehewa feki ya trl
Jamaa ni very intelligent anapiga picha na kuzihifadhi ali atumie kwa wakati wake
Kwa hiyo wanyakyusa ndio wamesoma peke yao? Nenda pale bandarini salamu za asubuhi ni kinyakyusa " ugonile, Ndaga" ,hata yale majizi ya tra yaliyokamatwa na waziri mkuu karibu yote ni wanyakyusa
Jamaa ni very intelligent anapiga picha na kuzihifadhi ali atumie kwa wakati wake
Haya sasa, Mwakyembe weka ndani!!!! Sitta weka ndani!!! Jk weka kizuizini, Mecky weka kizuizini. Hapa kazi tu! Ushahidi wa kuanzia ni huu..!
meneja wa tra temeke anamiliki ekari 300,ngombe na mbuzi 500 huko mkuranga
Hii isitafsiriwe kuwa Rais anataka watu wote wawe maskini, kuna watu wana miliki kihalali Mali zao, haina maana eti watu wawe na ekari mbili mbili tu za mashamba, tunahitaji pia wakulima wakubwa wazawa wasaidiwe kwa mikopo ili nchi isingekuwa mbele. Wanaosakwa ni wezi wa Mali za umma.Vipi, does that amount to being a billionaire, na he, chanzo cha ubilionea ni mshahara wa umeneja?
Nimeuloza hilo swali sijajibiwa kama kupiga picha ni ushahidi wa kuwa jamaa ni wezi!Mnaligeuza suala zito la kitaifa kuwa la kitoto kabisa. Hivi viongozi kupiga picha na mtu yeyote yule ni ushahidi wa ufisadi? Sasa mnataka viongozi wakimbie kupiga picha na watu? Hivi, viongozi wote waliopiga picha miaka ya nyuma na Mramba, Yona, Chenge, Lowassa, Rostam, Bade, Masamaki wote sasa no mafisadi wa vijisenti, Richmond na makontena yaliyoyeyukia TRA?
nchi hii mabilionea wapo kibao, nasikia le mutuz naye ni bilionea tunaomba acgunguzwe!
Mungu mkubwa hadi huyu mzeee
kuna habari niliwahi kuzisikia kipindi cha nyuma na sasa naanza kuzisikia tena humu. Je, ni kweli mhina ni bilionea? Na je, ni kweli ubilionea umetokana na mshahara wake?
Mziki huu hautamuacha mtu. Enzi ujanjaujanja zimekwisha.
safari za mamtoniHivi Rais aliyepita alikuwa anafanya kazi gani?
Hao wote aliyopewa nao picha wana njaa sana na yeye anajuaa fika ni kuwahonga hela tu
Huyo jamaa wa hsc aliibaka sana serikali ya mkwer
Huyu ndo nani?