Waimbaji wa Nyimbo za Kisukuma Wenye Melodies Tamu Kushinda Waimbaji wa Bongofleva

Waimbaji wa Nyimbo za Kisukuma Wenye Melodies Tamu Kushinda Waimbaji wa Bongofleva

Kwa Sasa A-list ya wasanii wa kisukuma
1.Limbu luchagula (Zilipendwa & Sara)
2. Kisima (Nzuki & Bhasembi)
3. Gudegude
4. Bahati Bugarama
5. Elizabeth Malinga ya
6. Nelemi mbasando
7. Ngelela
8. Bhudagala
9. Ng'wana kang'wa/Ntemi omabala
10. Nghobho
 
Shida ukienda kwenye clubs za usukamani huskii nyimbo zao wala wakiitwa kwenye show inshort they don't support each other show na airtime wanapewa wanamzik wengine utawaskia wanasikiliza nyimbo zao za kuweka kwenye flash
 
Siyo kweli, wasanii wa kisukuma wanapendwa sana na kuungw nyumbani kwao. Yeyote anayezindua jambo lake, hutumia wasanii wa kisukuma. Wasukuma ndiyo waanzilishi wa zile show ziitwazo 'chaka to chaka.'
 
Back
Top Bottom