Abtali Mwerevu
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 796
- 707
- Thread starter
- #21
Mengi sana.Hii nchi kumbe ina mambo mengi nisiyo yafahamu!!
Mengi sana.Hii nchi kumbe ina mambo mengi nisiyo yafahamu!!
Yap, wasukuma wanaimba sana nyimbo za maadili. Halafu kuna nyimbo zao zingine zinahamasisha watu kutafuta maisha.Wasukuma wanaimba vizuri mno Bongo flava na singeli waimba matusi.wanasubiri
Huyo ni malikia kabisa.Elizabeth maliganya yupo vizuri sana huyo dada nyimbo zake zote
Ha ha haaaa! Karibu tena mkuu.Eeeeh!, naondoka zangu nilivamia jukwaa la wasukuma
Wapo wengi sana, labda ungetaja jina la wimbo. Bob Haisa pia aliimba nyimbo nyingi wakati wa kampeni.Afu kuna lile song liliimbwa na mwanamama mmoja wa Kisukuma ktk kampeni za Magufuli 2020
Naomba kumjua muimbaji tafadhali
Yap, hatari sana mtu huyo. Lakini huyo jamaa nadhani atakuwa mtu wa Dodoma.Mwinamila aliyeimba "dereva kagonga mtu sawa hiyo?" enzi za RTD
Wewe, huyo wa Tabora huyo.Yap, hatari sana mtu huyo. Lakini huyo jamaa nadhani atakuwa mtu wa Dodoma.
Ngoma inaitwa KUSTAFU, Limbu na Mayiku, jamaa wametiririka vizuri sijapata kuona. Sichoki kuusikiliza.Kaimba Limbu Luchagula na Mayiku Sai.
Limbu na Mayiku wanatisha kuna huu wimbo wao wa "Maria" aa ni balaaNgoma inaitwa KUSTAFU, Limbu na Mayiku, jamaa wametiririka vizuri sijapata kuona. Sichoki kuusikiliza.
Hirizi nje nje ,chake,dawa za asili nazingaombwe nk ndio uwe msaniiGudegude unamjua?
Hao wasanii wa kisukuma wote ni wachawi
Hizo dawa za mvuto na kinga mzee...Hirizi nje nje ,chake,dawa za asili nazingaombwe nk ndio uwe msanii
Siyo kweli, wasanii wa kisukuma wanapendwa sana na kuungw nyumbani kwao. Yeyote anayezindua jambo lake, hutumia wasanii wa kisukuma. Wasukuma ndiyo waanzilishi wa zile show ziitwazo 'chaka to chaka.'Shida ukienda kwenye clubs za usukamani huskii nyimbo zao wala wakiitwa kwenye show inshort they don't support each other show na airtime wanapewa wanamzik wengine utawaskia wanasikiliza nyimbo zao za kuweka kwenye flash
hiyo nyimbo ya kisimaKuna ngoma moja basembi sijui kaimb nani ila kali