Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwa hiyo ni taifa lisilo na origin?Wayahudi ni watu waliotawanyika maeneo mbalimbali duniani.
Kabla ya kuwekwa na wamarekani na waingereza katika ardhi ya wapalestina mwaka 1948....mayahudi wengi walikuwa wakiishi Africa ya kaskazini, Iran ,Yemen, ulaya mashariki na magharibi.
According to Jewish Law (Halakhah) a Jewish person is defined as anybody who was either born to a Jewish mother or who has undergone a formal conversion to the Jewish faith.Peaky blinders nashukuru sana kwa maelezo yake. Ila bado hujaweka mfumo au njia ya inayotumika kutambua kama mtu ni Myahudi ama la!!
Maana inawezekana Magufuli naye alikuwa ni Myahudi ila hatukujua tu...
Mashaka yako yananakuzwa na conspiracies zilizojaa kichwani mwako.
Hivi,ukimuona King Abdallah anakatibiana karibu kabisa na Rooney na Sio Muhammad Sahal.
Lakini hakuna siku mmesema Abdallah sio Semiti
usijitoe ufahamu uyo king kitu kama mama ake au Bibi ake ana asili ya Ungireza kabisa kwahyo yey kufanana na wayne Rooney hakuna jipya apoMashaka yako yananakuzwa na conspiracies zilizojaa kichwani mwako.
Hivi,ukimuona King Abdallah anakatibiana karibu kabisa na Rooney na Sio Muhammad Sahal.
Lakini hakuna siku mmesema Abdallah sio Semitic.
Muingiliano wa kuowana na kuzaliana ulikuwepo sana tu. Haswa kwa wao weupe kwa weupe mkuu.6 Pack Swali langu kwanza liko kwenye kujua jiografia ya Waisrael, waarabu na wazungu. Maana ni kama mjadala unaonesha kwamba hawa watu ni mwiko kuoana. Kama Ottoman katawala Ulaya miaka 700 hapo hakuna muingiliano kweli wa kuoana??
Ndiyo maana huko juu nikatoa mfano wa Jaluo na Msaudia kuoana.
Ni vizuri kufahamu kwamba Waisrael ambao walikuja kupachikwa jina la wayhaudi ni jamii ambayo ni rahisi sana kutambulika kwa sababu kwa muda mrefu popote walipokwenda walikuwa ni watu waliojitenga na hawajichanganyi na wengine.Hapa kiongozi twende vizuri kwanza.Waisrael(Modern Israel) wanaweza kuwa wazungu(infact kwa muonekano wao ni wazungu).
Shida ni kusema eti ni wayahudi hapo ndipo watu watakumaliza(Japo sijawahi kuelewa logic ya watu kugombania kuwa wayahudi)
Ancient Israel(I mean the one recorded in holy books) inaweza kuwa tofauti na hii modern Israel japo ukitumia ushahidi wa kijiografia zote zinaweza kuwa zinapatikana mashariki ya kati.Ndio maana kuna utata mwingi kueleza Israel ni nini na wayahudi ni nani na nani
muache upotoshaji, kina netanyahu ni wayahudi typically, kuhusu uwepo wa wayahudi iran hata nchi zingine wapo wengi tu anzia urusi na nchi zote zilizokuwa ussr, amerika, canada, south afrika mpaka nigeria wayahudi wapo ambao ni raia halali wa nchi hizo. Usishangae hata kenya watakuwepo. Taifa la kiyahudi israel kwenyewe kuna waarabu tele raia wa taifa hiloWale kina Netanyahu waliletwa pale na wazungu wenzao kwa mikakati maalumu baada ya kugundua kwamba Mashariki ya kati kuna utajiri wa mafuta, gesi nk.
Kama alivyosema Yoda kwa maelezo yako Uyahudi ni kabila lakini ni dini pia. Maana neno "Conversion" limetokana na neno "Convert" linalomaanisha kubadili na kuchukua mwelekeo mpya.According to Jewish Law (Halakhah) a Jewish person is defined as anybody who was either born to a Jewish mother or who has undergone a formal conversion to the Jewish faith.
Kama magufuri alikuww na sifa hizo hapo basi ni myahudi.
Haikuwezekana waarabu kuzaa hata kwa siri na wasio waarabu. Unataka kusema haikuwezekana kabisa kwa waarabu kuwa na mahusiano na "wazungu"?Muingiliano wa kuowana na kuzaliana ulikuwepo sana tu. Haswa kwa wao weupe kwa weupe mkuu.
Nisawa na wasukuma wakichaga eti mremboMyahudi wa bonyokwa ushakimbilia ku comment bila kufikiria unacho comment? Nikuulize swali..
Kwani uyahudi ni dini (imani) au rangi?
Kuna waethiopia kibao ambao ni weusi pyu kama wewe na mimi, lakini ni wayahudi. So sioni ajabu kuwa na wayahudi wa kiirani.
Kuhusu wazungu kuwa Jews nadhani umesoma tofauti.Wazungu ni neno pana sana. Kuna Spanish, Wareno, Wajerumani, Anglo-Saxons, Slavs, Ukranians, wagiriki, gypsy, hadi baadhi ya waturiki n.k Sasa labda utuambie Jews/Wayahudi wanaweza kuwa wazungu wapi
Kila nchi ina sheria zake. Hata Tanzania kuna sheria ya kuwa Mtanzania.Kama alivyosema Yoda kwa maelezo yako Uyahudi ni kabila lakini ni dini pia. Maana neno "Conversion" limetokana na neno "Convert" linalomaanisha kubadili na kuchukua mwelekeo mpya.
kwa ivo haiwezekani kubadili ulichozaliwa nacho bali unaweza kubadili unachoamini. Kwa maana hiyo kumbe uyahudi pia ni dini!!
Uyahudi ni dini pia!!??Kila nchi ina sheria zake. Hata Tanzania kuna sheria ya kuwa Mtanzania.
Sijawahi kuwa na tatizo lolote mtu kuwa Jew au kuji-associate na Jewish community.Seth saint kuna tatizo gani wazungu wakiwa ni wayahudi pia!!??
Maana ni kama inakubalika waarabu na waafrika kuwa wayahudi na si wazungu. Ni kwa nini!!??
Kama unaamini Biblia basi Wayahudi ni ndugu moja na watu wa Iraq kwa sababu inasemwa huko ndiko baba yao Ibrahim alipotoka, watakuwa ndugu mmoja na Ishmael pia.Sijawahi kuwa na tatizo lolote mtu kuwa Jew au kuji-associate na Jewish community.
Napenda mtu akisema jambo tupate hoja inayoweza ku-back up madai yake.Kwa maana hakuna ushahidi wa wazi wa kusema wayahudi ni weupe,weusi,wa kijani and blah! blah!..
Japo kuna nadharia kibao ambazo zinatoa nafasi ya kuendelea ku-debate.Hakuna sehemu wanachora hitimisho kwamba wayahudi ni black,ni orange,ni white.Siku akirudi Jesus ukweli utajulikana(for believers)
Sasa hapo hii historia huwa haitakiwi wala kukubalika na Pande zote mbili kwenye utambuzi wa Wayahudi/Waisrael.Kama unaamini Biblia basi Wayahudi ni ndugu moja na watu wa Iraq kwa sababu inasemwa huko ndiko baba yao Ibrahim alipotoka, watakuwa ndugu mmoja na Ishmael pia.
Again,kama kuna mtu ana-claim kwamba Jews(Wayahudi) ni wazungu basi anipe historical evidence inayoonyesha ni lini wazungu walikuwa slaves katika Misri ya kale.Wazungu ni neno pana sana. Kuna Spanish, Wareno, Wajerumani, Anglo-Saxons, Slavs, Ukranians, wagiriki, gypsy, hadi baadhi ya waturiki n.k Sasa labda utuambie Jews/Wayahudi wanaweza kuwa wazungu wapi