JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,914
- 10,793
Kodi yako inaliwa na mafisadi. Haiwafikii hao ndio maana wanataka kuhamishwa. Hivyo tulia waendelee kula upepo mwanana.Unanihusu, hauwezi jiji kubwa kama hilo harafu tija yake ni ndogo kwa Nchi Kwa sababu limejaa watu maskini..
Sasa ndio wanataka kuwasaidia,ukisema hainihusu wakati nalipa Kodi ya kuhudumia huko ni kuwa na akili ndogo..