Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Achana na hao mkuu, ni walewale wa-farm na kiongozi wao yule m-chattle, ze dead!


Jesus is Christ
Hao ni wapumbavu Sana,hapo wananchi wanalipwa fidia na wanahamishiwa eneo zuri zaidi lenye huduma zote ikiwemo kupimiwa viwanja Ili kuongeza thamani ya Jiji lao huko mjini..

Kuna mtu anaweza kufurahia kuishi kwenye umaskini ule? Je.wanafurushwa na kutelekezwa? Jibu ni hapana sasa kuna shida gani?

Hawa wapotoshaji ndio hulazimisha serikali iwe harsh maana mjinga ukimpa uhuru atakuharibia.
 
Kwa wenzetu maeneo kama yale milimani Mwanza yanajengwa na Matajiri, lakini huku kwetu tumeachwa tujenge kiholela sie akina pangu pakavu..

Yale maeneo yapaswa kujengwa vizuri na kuweka mandhari vizuri ikiwa pamoja na kuyachimba na kuweke barabara za kisasa, mahoteli ya kisasa, maeneo ya watu kupumzikia kama gardens na kila entartaiment....
 
Jamani msijifanye mmezima DATA washeni aisee maana Mwanza nako tayari washaanza
Cha muhimu wawalipe hel aya kueleweka,una nyumba na kiwanja vyote thamani halisi mil.200,unalipwa mil.300 una haja gani ya kung'ang'ania hapo,kama uwekezaji una tija waachiwe tu kuwekeza...
 
Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndohabari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
Yakiisha maeneo ya uwekezaji tufatuata sisi watanzania kuwekezwa... Stay alerted!
 
bora wahamishswe tumechoka mifuko ya mavi wanayo tupa huko milimani, mvua zikinyesha mavi kila sehemu yanaporomoka kutoka juu. Watu wameishi huko miaka 50 nyumba hazina vyoo.
 
Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndohabari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake...
Huo UOVU ulianza kipindi Cha mzeee wa ruksa, Mwl Nyerere aliizima hoja hiyo ya utapeli Kwa kuwambia Wachukue idadi ya watu wote waishio milimani Mwanza.

Akaagiza wote wajengewe NYUMBA ndo waje sasa wazungumze hbr ya fidia, Wawekezaji hewa waliyeyuka, ni DHULUMA tu wanaofanya, hawana ela ya kumfidia yoyote. Viongozi wameshachukua Chao.
 
Back
Top Bottom