Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Watahamishiwa Handeni, eneo ambalo limetengwa na serikali kama kimbilio la wakosefu.
Utaishia kuropoka hivyo hivyo 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220614-110733.png
    Screenshot_20220614-110733.png
    91 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220614-110720.png
    Screenshot_20220614-110720.png
    66.6 KB · Views: 5
Arusha waende haraka sana, jiji lina jina kubwa lakini limejaa utopolo.
Arusha ilishajaa wawekezaji kitambo na watazidi.kuja hawana ushamba na ujuaji wa kijinga kama nyie Washamba..

Mpango wa investors ni WA Halmashauri ya Jiji la Mwanza ndio waliwaleta wawekezaji na ndio wamekubaliana kujenga wiwanda, biashara na maeneo ya utalii kama Beaches..

Na Mwanza CC watalipa fidia kwa wananchi ilinkuongeza hadhinya Jiji sasa nyie mburula sijui mnaongea nini?
 
Wale wanatakiwa kweli waondoke kule juu walipwe fidia wakaanzishe maisha mapya sehem salama wameuchafua sana huo mji au Putin atume kakombora kamoja kaende pale
 
Kwani.niko focused kwenye nini? Kwani Mwanamke hawezi kuwa focused kwenye hoja? Umeona Samia anatishwa na vijimaneno vyenu?
Nimetaja uanamke wako hapa? kwann unakimbilia kwenye hicho kigezo? Binafsi nawaheshimu sana wanawake, na ninaamini kwenye wanawake kupewa equal opportunities based on their abilities, talents, and etc. na kuwa judged equally as men based on their performances. Kama Meko alivyokosolewa na kupongezwa kwa utendaji wake, hvyo hvyo samia anapaswa kutendewa. Hakuna immunity ya criticism sababu ya gender otherwise utakuwa upuuzi. Samia ni rais, na utendaji wa rais una vipimo vyake ambavyo havihusishi jinsia
 
Unaposema Jenga hoja kama mwanaume kumbe opposite yake ni ipi? Unaongea Sana wakati kichwani mweupe..

Umesoma hiyo article ya Nopashe umeona hao wananchi wanaporwa Ardhi ya kufurushwa?

Jambo baya hapo ni kipi? Acha upumbavu.
 
Changamoto kubwa ni kwamba wewe ni mpumbavu ingawa hujitambui na hapa ndo tatizo kubwa lilipo- tokea lini umeanza kuwa na akili zaid ya kulambalamba miguu ya wengine huku mitandaoni? Die hard CCM fans wenyewe wanakuona unatetea upumbavu huku mitandaoni
 
Wa kumuonea huruma huyo jamaa...
 
Utu gani? Hizo ni nyumba auntakataka? Kuwaacha kwenye Hali hiyo ya umaskini ndio utu? Acha upumbavu..

Kule magomeni wanapisha viwanja Serikali inajenga wanapewa floor za Juu harafu floor za Chini na vyumba vya Kati inakuwa mali ya Serikali inaingiza pesa..

Hata hao watoke kwenye huo umaskini wakapewa viwanja vizuri nje ya Mji na Fidia harafu hayo maeneo yako potential yaendelezwe serikali ipige pesa.
Achana na hao mkuu, ni walewale wa-farm na kiongozi wao yule m-chattle, ze dead!

Jesus is Christ
 
Tokea lini ukamwona mwerevu na aliyenacho akajikuza hv? kuna tatizo pahala. Rais wake mwenyewe anayemtetea hawezi kuzungumza huu upuuzi. Binadamu mwenye akili timamu hawezi kudharau wengine kutokana na hali zao kimaisha bali hupima kwa hekima
Yaani huyu jamaa ni wa kupima kila kitu yaani.. UZITO, UTI, AKILI, UBONGO, UWEZO WA KUWAZA, UKIMWI, KASWENDE. GONO, KIFADURO, KISONONO.. etc
 
Back
Top Bottom