Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

Unanihusu, hauwezi jiji kubwa kama hilo harafu tija yake ni ndogo kwa Nchi Kwa sababu limejaa watu maskini..

Sasa ndio wanataka kuwasaidia,ukisema hainihusu wakati nalipa Kodi ya kuhudumia huko ni kuwa na akili ndogo..
Kodi yako inaliwa na mafisadi. Haiwafikii hao ndio maana wanataka kuhamishwa. Hivyo tulia waendelee kula upepo mwanana.
 
Dj dj tuletee wawekezaji kwa wimbo wa profesar jay ft sholo mwamba (kazi kazi kaziii).
Tukae kwa kutulia dawa ituingie vizuri.
 
Wewe umezaliwa mkoa wa Mbeya na Njombe? 🤣 🤣 Haya bwana ndugu yangu
Nimezaliwa Njombe naishi Mbeya na nini shughuli za uzalishaji mali kwenye mikoa 3 tofauti..

Una swali jingine? Unadhani kila anaemsapoti Rais ni mkabila kama yule zwazwa wenu?
 
Sasa hizo ni nyumba au takataka? Walitakiwa waondolewe kitambo tuu maana wanachafua Mji..

Hao watu wa milimani Nina uhakika watakuwa wa kwanza kuitikia mwito maana watapewa maeneo mazuri yaliyopimwa na Fidia juu..

Nyanzaga Kule Sengerema wamehama kupisha Mwekezaji wa mgodi mkubwa dhahabu sembuse hao maskini wa huko milimani?
Watahamishiwa Handeni, eneo ambalo limetengwa na serikali kama kimbilio la wakosefu.
 
Nimezaliwa Njombe naishi Mbeya na nini shughuli za uzalishaji mali kwenye mikoa 3 tofauti..

Una swali jingine? Unadhani kila anaemsapoti Rais ni mkabila kama yule zwazwa wenu?
Sasa wewe hujioni ni zwazwa LTE? Kuna mtu kamtaja mtu mwingine hapa? simama kama mwanaume na uwe focused kwenye hoja.
 
Utu gani? Hizo ni nyumba auntakataka? Kuwaacha kwenye Hali hiyo ya umaskini ndio utu? Acha upumbavu..

Kule magomeni wanapisha viwanja Serikali inajenga wanapewa floor za Juu harafu floor za Chini na vyumba vya Kati inakuwa mali ya Serikali inaingiza pesa..

Hata hao watoke kwenye huo umaskini wakapewa viwanja vizuri nje ya Mji na Fidia harafu hayo maeneo yako potential yaendelezwe serikali ipige pesa.
cha ajabu maneno kama haya unaandika kutokea kwenye nyumba ya shemeji
 
Sio dharau ndio ukweli wenyewe.. Unadhani hao fukara huko ukiwaambia tunawapa maeneo kama wale wa magwepande watabisha? Kelele za kijinga mnapiga nyie msioishi huko
Ukiona umetoa comment halafu kila mtu anakushambulia wewe peke yako, JIANGALIE, UNALOLITETEA EIDHA NI LA KIJINGA AU WEWE MWENYEWE NDO UPO HIVYO
 
Kituo kinachofuata Kilimanjaro, Wachaga wahamishwe maana hawana faida pale wanayeyusha Theluji ya Mlima Kilimanjaro bure, tunapahitaji pale kwaajili ya utalii, wazungu ndio watu bana alaaah.
 
Ukiona umetoa comment halafu kila mtu anakushambulia wewe peke yako, JIANGALIE, UNALOLITETEA EIDHA NI LA KIJINGA AU WEWE MWENYEWE NDO UPO HIVYO
Ukiwa na akili za hivyo utaishia kuendeshwa kama bendera fuata upepo..

Narudia tena hao wanaondolewa na wanalipwa Fidia na watafurahia kuliko wanavyoishi kwenye ufukara walionao kwa sasa.
 
Sasa wewe hujioni ni zwazwa LTE? Kuna mtu kamtaja mtu mwingine hapa? simama kama mwanaume na uwe focused kwenye hoja.
Kwani.niko focused kwenye nini? Kwani Mwanamke hawezi kuwa focused kwenye hoja? Umeona Samia anatishwa na vijimaneno vyenu?
 
Back
Top Bottom