Kodi yako inaliwa na mafisadi. Haiwafikii hao ndio maana wanataka kuhamishwa. Hivyo tulia waendelee kula upepo mwanana.Unanihusu, hauwezi jiji kubwa kama hilo harafu tija yake ni ndogo kwa Nchi Kwa sababu limejaa watu maskini..
Sasa ndio wanataka kuwasaidia,ukisema hainihusu wakati nalipa Kodi ya kuhudumia huko ni kuwa na akili ndogo..
Wewe umezaliwa mkoa wa Mbeya na Njombe? 🤣 🤣 Haya bwana ndugu yanguMimi sio wa Pemba ni WA Mbeya na Njombe.
Nimezaliwa Njombe naishi Mbeya na nini shughuli za uzalishaji mali kwenye mikoa 3 tofauti..Wewe umezaliwa mkoa wa Mbeya na Njombe? 🤣 🤣 Haya bwana ndugu yangu
Wangekuwa wanakula usingeona barabara zilijengwa,mashule,mahospital,maji,nkKodi yako inaliwa na mafisadi. Haiwafikii hao ndio maana wanataka kuhamishwa. Hivyo tulia waendelee kula upepo mwanana.
Anajibu kwa jeuri na kibri,Kuwa na utu acha dharau na kibri .
Watahamishiwa Handeni, eneo ambalo limetengwa na serikali kama kimbilio la wakosefu.Sasa hizo ni nyumba au takataka? Walitakiwa waondolewe kitambo tuu maana wanachafua Mji..
Hao watu wa milimani Nina uhakika watakuwa wa kwanza kuitikia mwito maana watapewa maeneo mazuri yaliyopimwa na Fidia juu..
Nyanzaga Kule Sengerema wamehama kupisha Mwekezaji wa mgodi mkubwa dhahabu sembuse hao maskini wa huko milimani?
Sasa wewe hujioni ni zwazwa LTE? Kuna mtu kamtaja mtu mwingine hapa? simama kama mwanaume na uwe focused kwenye hoja.Nimezaliwa Njombe naishi Mbeya na nini shughuli za uzalishaji mali kwenye mikoa 3 tofauti..
Una swali jingine? Unadhani kila anaemsapoti Rais ni mkabila kama yule zwazwa wenu?
cha ajabu maneno kama haya unaandika kutokea kwenye nyumba ya shemejiUtu gani? Hizo ni nyumba auntakataka? Kuwaacha kwenye Hali hiyo ya umaskini ndio utu? Acha upumbavu..
Kule magomeni wanapisha viwanja Serikali inajenga wanapewa floor za Juu harafu floor za Chini na vyumba vya Kati inakuwa mali ya Serikali inaingiza pesa..
Hata hao watoke kwenye huo umaskini wakapewa viwanja vizuri nje ya Mji na Fidia harafu hayo maeneo yako potential yaendelezwe serikali ipige pesa.
CCMSababu ikiwa ni pamoja na kupinga vikali uuzaji wa visiwa.
Anafikiri hii nchi kila mtu fala- akiacha mawazo ya UKABILA, UDINI, na UKANDA pengine akili itamjiacha ajabu maneno kama haya unaandika kutokea kwenye nyumba ya shemeji
Handeni eneo ambalo halijai, kama makaburi ya kinondoniWatahamishiwa Handeni, eneo ambalo limetengwa na serikali kama kimbilio la wakosefu.
Naona MaCCM pro Jiwe na pro Chiefless mnapambana.Babako bora angepiga nje tu aisee
Ukiona umetoa comment halafu kila mtu anakushambulia wewe peke yako, JIANGALIE, UNALOLITETEA EIDHA NI LA KIJINGA AU WEWE MWENYEWE NDO UPO HIVYOSio dharau ndio ukweli wenyewe.. Unadhani hao fukara huko ukiwaambia tunawapa maeneo kama wale wa magwepande watabisha? Kelele za kijinga mnapiga nyie msioishi huko
Ukiwa na akili za hivyo utaishia kuendeshwa kama bendera fuata upepo..Ukiona umetoa comment halafu kila mtu anakushambulia wewe peke yako, JIANGALIE, UNALOLITETEA EIDHA NI LA KIJINGA AU WEWE MWENYEWE NDO UPO HIVYO
Shemeji atakupa bando ya kushinda mitandaoni kila siku? Wewe unaweza fanya hivyo Kwa shemeji Yako?cha ajabu maneno kama haya unaandika kutokea kwenye nyumba ya shemeji
Kwani.niko focused kwenye nini? Kwani Mwanamke hawezi kuwa focused kwenye hoja? Umeona Samia anatishwa na vijimaneno vyenu?Sasa wewe hujioni ni zwazwa LTE? Kuna mtu kamtaja mtu mwingine hapa? simama kama mwanaume na uwe focused kwenye hoja.