Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Asante kwa majibu..!! Maandamano hayafai, wale wakristo kujenga nyumba yao ya kuabudia pale Pemba, wewe kwako unaonaje? Ni sawa au si sawa?Kwa mujibu wa ahl Elim maandamano hayafai....lkn ukweli unabaki palepale huwezi kudai Haki kwa mtu asiyejua Haki ni Nini.....Kuna muda watoa haki wanasigina Haki za watu kwa hila na uzandiki....
Hey!!!Usimdhanie mtu kwa kumpimia uovu bila ushahidi ......
Zuzu kweli wewe,mahusiano ya kijamii ya kukufurishana???
Yaani mtu akijenga kanisa karibu yako ndo kakukufurisha?Zuzu kweli wewe,mahusiano ya kijamii ya kukufurishana???
Hatari sana ila mimi siamini hivyo mkuu usiwe negative sana mavazi sio tabia ya mtuHuyu utamkuta sites za kujiuza akipiga business kama kawaida Ila linapokuja suala la dini anauvaa unafiki na kujiona yeye malaika.
Asikwambie mtu..!! Mavazi, kauli, matendo na muonekano kwa ujumla, husema tabia ya mtu..!! Kuna wanaojikamafleji, sawa, lakini wapo ambao mavazi yao husema tabia zao..!! We mtu kavaa kata KEI unawezaje kushindwa kukaridia tabia zake? AU mwanaume kavaa kama mwanamke, utasemaje hapo?Hatari sana ila mimi siamini hivyo mkuu usiwe negative sana mavazi sio tabia ya mtu
Tatizo Ni moja hao watu huwa Wana plans za kuvuruga tamaduni zilizopo...athari za hao Ni long-term effects......Nina mifano mingi hasa nyumbani,,,hapo watajenga na bar,guests kumbi za miziki na kutoa misada ya kukufurisha waislamuAsante kwa majibu..!! Maandamano hayafai, wale wakristo kujenga nyumba yao ya kuabudia pale Pemba, wewe kwako unaonaje? Ni sawa au si sawa?
Wao hufanya hayo hadharani, lakini yafanywayo gizani na hao waislamu wanaopinga gesti, bar etc ni hatari sana. Kama unakufahamu Msimbati (kule kwa bibi wa gesi haitoki), kule mtwara, kile kijiji kina % kubwa ya waislamu. Hawataki gesti ijengwe pale. Lakini nenda beach kuanzia saa 1 usiku wakati giza lishaingia, NI UZINZI KWA KWENDA MBELE KULE KWENYE MCHANGA WA BICHI..!! Halafu kijiji ni kidogo na almost wote wanafahamiana. Sasa unamuona fulani yule anazini hapo na wewe upo na wako hapa..!!Tatizo Ni moja hao watu huwa Wana plans za kuvuruga tamaduni zilizopo...athari za hao Ni long-term effects......Nina mifano mingi hasa nyumbani,,,hapo watajenga na bar,guests kumbi za miziki na kutoa misada ya kukufurisha waislamu
Sometimes yapo mavazi yanayotoa tafasiri ya mtu mfano kanzu au baibui au baragashea hutoa tafasiri kua huyu ni muislam ila usisaha kwamba hata mapadri na maaskofu pia wanavaa kanzu yenye muundo tofauti ila zote ni kanzu sio kuonyesha tabia zake inategemea amevaa wapi na kwa nini,Asikwambie mtu..!! Mavazi, kauli, matendo na muonekano kwa ujumla, husema tabia ya mtu..!! Kuna wanaojikamafleji, sawa, lakini wapo ambao mavazi yao husema tabia zao..!! We mtu kavaa kata KEI unawezaje kushindwa kukaridia tabia zake? AU mwanaume kavaa kama mwanamke, utasemaje hapo?
Kagame kasahau haraka sana,Wanyarwanda waliokimbilia Miskitini wakati wa Mauwaji ya Mbari ya Kitutsi asilimia kubwa walisalimika.Hawa kiboko yao ni Kagame .
Nakuelewa sana mkuu.Sometimes yapo mavazi yanayotoa tafasiri ya mtu mfano kanzu au baibui au baragashea hutoa tafasiri kua huyu ni muislam ila usisaha kwamba hata mapadri na maaskofu pia wanavaa kanzu yenye muundo tofauti ila zote ni kanzu sio kuonyesha tabia zake inategemea amevaa wapi na kwa nini,
Nazungumzia mavazi mkuu sio namna ya kuvaa mavazi km mlegezo hio ni namna ya uvaaji ambayo watu baadhi wamejiundia kwa sababu zao wao binafsi ila mavazi sio tabia ya mtu
Mimi mzee wangu anavaa kanzu na baragashea ila sio muislamu
Ushaelewa?
Mikundu yaoKama mnavyoona na na kusikia.
Habari ndiyo hiyo. Sijui hizi dini zinatupeleka wapi.
By the way ni vitu ambavyo havitakiwi kudekezwa hata kidogo.
Bahati mbaya politicians wetu huwa wanatumia advantage za kidini na ukabila kushawishi watu. Jambo ambalo siyo Sawa hata kidogo.
View attachment 2381744
Hamna akiliSasa wewe si ni kafir, ambaye ni
Duni kuliko hata kuku
Wanamaisha ya zamani sana,ndo maana hawana maisha kazi kushinda msikitini pesa hawana,utasikia wezetu wakristo wanapesa sanaKila sehemu wanapokaa waislam ni machafuko. Kanisa lijengwe kuwafundisha ustaarabu hao viumbe.
Halafu hapa Tanzania, sijawahi sikia wakristo kuchoma msikiti, LAKINI HAWA NDUGU ZETU WASHACHOMA MAKANISA MENGI SANA.. Huwa siwaelewi, when it comes to kuishi na wasio na imani kama yao, huwa inakuwa tabu sana..!!! Mara watubomolee mabucha yetu ya kitimoto, mara wanilazimishe kunichinjia kuku wangu mwenyewe..!! Tabu tupu..!!Kila sehemu wanapokaa waislam ni machafuko. Kanisa lijengwe kuwafundisha ustaarabu hao viumbe.
Ulichokiandika umenenaNaona ligi za wakiristo na waislam zinaendelea. Hizi dini zinaleta divide kubwa sana kwa mwanadamu. Tunashindwa kuelewa kwamba kila mmoja yuko hapo kwa default. Dunia nzima hizi dini 2 ndio zimeleta balaa kwenye huu ulimwengu, dini nyingine wala. Hivi hamjiulizi, duniani kuna watu wnzkaribia bilioni 8, waislam na wakristo hawafiki hata bilion 4. Kati ya hao bilioni 4 wanafuata kikamilifu hizo dini hata nusu hazifiki. Hebu rujiulize, ina maana karibia ya watu wote duniani watachomwa moto kwa sababu si wafuasi wa dini hizo? Kwa nini Mungu hakuwatuma manabii kutoka kwenye nchi husika mpaka asubiri miaka sijui maelfu kama si mamilioni ndio atume mtu kutoka Asia au Ulaya aende akawaambie binadamu wengine kama mimi ndio Mungu wa kweli. Mungu pamoja na ukuu wake wote huo tunashindwa kujiuliza. Kutwa kucha ni kubishana eti mimi dini yangu ni ya kweli? Tuache upuuzi wa kubishana kuhusu dini. Tujifunze kuvumiliana maana hakuna ajuaye kesho