Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Tanzania bado kuna watu wapumbavu sana, uncultured savages kabisa. Lakini upumbavu wao unalelewa na baadhi ya viongozi wanafiki ambao ni wapumbavu kuliko hata wao

Sasa huko kuna Waislamu wengi wanalalamika kujengwa kanisa,. Na maeneo yenye wakristo wengi kulikojengwa misikiti, waibomoe hiyo misikiti? Hapa ndio sehemu pekee ninapoona udhalimu wa polisi wetu unafaa kutumika. Piga watu hawa virungu, vunja kabisa viuno vyao wakaozee hospitali, wasitake kutuletea tafrani zisizo na maana nchini.
 
Pahala hamna mkristo hata mmojar unajenga kanisa la kazi gani kama si uchochezi wa kidini?
 
Kanisa watasali waliopo, Injili inaenda na inafika popote mkuu wewe subiri lijengwe kwanza uone litakavyojaa kisha ujiulize watu wametokea wapi wakati wapemba ni waislam? πŸ˜‚
Mnatuletea popo bawa ?
 
Wakiambiwa ukweli wanapaniki
Kuna kanisa huku mtaani ukisikia mziki utasema wapo wengi pita karibu wawili
Mtaa upi huo mkuu ukiona kanisa limechangamka jua wahuzuliaji ni wengi, kumbe hata wewe hua unahudhulia ila unalipiga mawe kanisa? πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»
 
Mtaa upi huo mkuu ukiona kanisa limechangamka jua wahuzuliaji ni wengi, kumbe hata wewe hua unahudhulia ila unalipiga mawe kanisa? πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ»
Hapana lipo njiani na milango huwa hawafungi naona nikipita mkuu naona kwa nje.
Sijawahi kwenda kanisani wala sitamani
 
Wakiambiwa ukweli wanapaniki
Kuna kanisa huku mtaani ukisikia mziki utasema wapo wengi pita karibu wawili
Nadhani hii ni hoja mfu..kwahiyo ulitaka idadi ya waumini iwe ngapi ili wajenge kanisa lao na waabudu kwa uhuru.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…