Waislam Pemba waandamana kuzuia ujenzi wa Kanisa

Yani Zanzibar hawapendi Kuona makanisa yaki jengwa yani ni mara mia ujenge bar kuliko wakuone una jenga kanisa.
 
Ukiwaambia ukweli wanakuwa wakali.....
Kwenye huo msafara wote sidhani kama kuna mtu alifika walau kidato cha sita au nne.
Vidato vya sit na nne vimesaidia nini nchi hii!!?..hao waliofika vyuoni wanavaa Makoti ya suti jua Kali la dar na nyuzi joto 33!!!
 
Nadhani hii ni hoja mfu..kwahiyo ulitaka idadi ya waumini iwe ngapi ili wajenge kanisa lao na waabudu kwa uhuru.?

#MaendeleoHayanaChama
Abdul wakil alipokua rais aliwanyima vibali vya kujenga kanisa,aliwachukua ijumaa akawapeleka msikitini,watu wamejaa mpaka nje,jumapili akawatembelea,mabenchi hayajai,akawaambia jazeni kwanza haya,zenji Haina ardhi ya kutosha,kutaka kujenga kanisa kila Kona wakati mpo wawili tu ni ajenda iliyojificha
 
Mkuu, vp kuhusiana na makanisa ya kilokole yaliyopo mitaani kwetu? Ile namna yao ya kuabudu ni sahihi kweli?
 
Kwahiyo mlitaka wakristo wafike kiasigani huko zenji ili wawe huru kuabudu na kujenga makanisa.

Unafiki na ujinga ndio nguzo za imani hii.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kusema ukweli WAISLAMU hawajawahi kuwa na Akili za kawaida za Mahusiano kijamii, kuna nati zimelegea sehemu

Huwezi ukakutana na mkristo ana Upunguani huu

Mafundisho yao ya quran yana brain wash sana.

Usifikiri mchezo mtu anavaa mabomu na kujilipua ili aue watu na yeye afe aende peponi.. saikolojia ya hali ya juu imetumika kwenye quran yao.

Ndio maana waislamu wasomi na waislamu Matajiri huwa hawapeleki watoto wao madrassa . Wala hawawapeleki shule za kiislamu.

Familia tajiri za kiislamu kama Bakhressa, DEWJI, Edha Awadh sio wajinga kupeleka watoto wao shule za wazungu kama IST na chuo kuwapeleka Marekani na Uingereza
 
Leo huku maandazi load masasni wamefunga balabala wanapiga makelele leo usiku kucha
 
Sasa mpaka hapa sidhani tena kama Quran iliandikwa na Muhammad pekee, maana kuna saikolojia kubwa sana ya kubrainwash watu akili humo.
Kutakuwa kuna ushirikiano wa muhamad na wasomi wa kikatoliki kuitengeneza Quran.
 
Wewe elimu dunia imekupa faida gani?
Uelewa wa mambo. Wala si suala la kuikimbia Ilimu duniya. Tunapokosa hii elimu tunakuwa na upumbavu kama huu...waachwe wajenge kanisa lao kwani tunachoogopa nini? Uhuru wa kuabudu si upo? Ukisoma unagundua kuwa katiba inasema hivyo.
 
Unadhani kwanini?? (The real reason)
Wana wasiwasi ukristo utashika atamu kwenye maeneo yao, yani kule Zanzibar wanafanya mambo ya ajabu utakuta kijana wa kizanzibari anavuta bangi mlevi hafanyi ibada mwizi lakini ikifika wakati wa mfungo wa Ramadhani akikuona mkristo unakula tu anataka kukupiga, mfano wazazi wakule mtoto wao akila kitimoto familia inamtenga lakini mtoto huyo huyo akivuta bangi akiwa mlevi akiwa mwizi familia haioni tatizo, kule wazanzibari bari ndiyo wanaoongoza kwa uasherati na ulevi, yani wakati wa mfungo wa Ramadhani bar zote zinafungwa mama lishe hawaruhusiwi kufanya biashara ya vyakula mchana, Ramadhani ikiisha kesho yake bar na Gest zinafunguliwa.
 
Mheshimiwa Mwinyi anayo kazi sana.Hawa jamaa na yale maumbo yao ya vichwa ni Mungu tu awasaidie.Adui umaskini hawahangaiki nae wao ni dini tu utazani wanazijua sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…