Waislam, Ramadan/Ramadhan Imekaribia , Kisiwe Kikwazo Kwa Dini Nyingine Hasa Masuala Ya Ulaji Na Mfumo Wa Maisha .

Kinacho nisikitisha wahuni wanaoa au kuolewa,walevi wanapumzika,washenzi wanatumia vifungu vya haramu kali kuacha wakisubiri mfungo kuisha.
 
Kinacho nisikitisha wahuni wanaoa au kuolewa,walevi wanapumzika,washenzi wanatumia vifungu vya haramu kali kuacha wakisubiri mfungo kuisha.
. Yawezekana huu mwenzi huwa ni Likizo ya wafanya maovu, baada ya hapo kazi inaendelea kama kawaida.( umuhimu wa dini unakuwa haupo)
 
Vipi Hali ya kinywa chako hapo ulipo kimeshaoza tayari?
Nimepiga mswaki na nilikula night kali Nipo vzur kabisa

Vipi unaulizia mdomo wangu wa kazi gani na wewe ni mtoto wa kiume that’s not normal bro
 
Sindio vzur maovu kuyapa likizo Mwezi mmoja unatosha hata sisi wenye addiction ya nyeto kuisahau kabisa
Nyeto ni hatari sana mkuu.. Sidhani washirika(CHAPUTA) wanaweza kuvumilia mwenzi mzima πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Ndugu zangu Waislam. Nyuzi kama hizi huenda zikawa nyingi katika Mwezi huu wa Ramadhaan. Baadhi ya hawa watu wana chuki na husda. Na wengine (juu ya chuki, husda na ujinga wakati mwengine) wapo wenye kutafuta attention kwa sababu nje ya Jf wako lonely na miserable hivyo hutafuta attention kwa namna yoyote kwenye mitandao kama Jf ili angalau wajisikie vizuri kwa muda mfupi, baadhi ya watu hawa kwenye Mwezi wa Ramadhaan hutafuta attention kwa kuanzisha mijadala kwa kukejeli, kudhihaki na hata kuwachokoza Waislam ili wapate comments nyingi au nyuzi zao ziwe ndefu kwa sababu wanajua Waislam ni watu wanaoithamini na kuipenda Dini yao hivyo wanawa provoke Waislam na kuibua hisia zao ili mkiingia kwenye mijadala wao wapate attention wasijikie vizuri hata kidogo tu kwa muda mfupi. Na wale wenye chuki watazisambaza chuki zao na kuonesha husda zao wakitamani kheri tuliyonayo ituondokee na tupotee; tunajikinga kwa Allah kutokamana na ushirikina, ukafiri na upotofu.

Hivyo ndugu zangu Waislam, najiusia nafsi yangu pamoja na kukuusieni, msiingie kwenye mitego yao. Hifadhini Funga zenu na 'Ibadah zenu na muwe na subra. Ningependa kushauri nyuzi za watu wanaotafuta mabishano na kuukejeli Uislam achaneni nazo msiingie kwenye mijadala, na ikiwezekana muziignore, Allah awaongoze wanaozianzisha.

Kama kuna watu kweli watataka kujifunza, na wanaitafuta Haqq. Kama una Ilmu sahihi basi utamuelekeza kwa hikma na mawaidha mazuri. Na tunamuomba Allah awaongoze watu wa namna hiyo.

Tunamuomba Allah atufishe katika Uislam, Neema kubwa mno ambayo Allah ametupatia, tunamshukuru Allah kwa Neema hii ya Uislam. Tunamuomba atufishe katika Uislam, tunamuomba Allah atufishe katika Tawheed na Sunnah, Allahumma Aamiin.
 
. Mbona nilicho sema kina ukweli kabisa, wala sitafuti attention yeyote hapa jf, au hutaki kuambiwa ukweli sheikh πŸ™‚πŸ™‚
 
Huwa hawafungi bali wanabadili ratiba ya msosi kutoka mchana kwenda usiku..hapo ndio ile tabia yao ya ulafi huonekana dhahiri shairi.

Mana wanakesha wanakula kwa anasas usiku mzima.
 
Huwa hawafungi bali wanabadili ratiba ya msosi kutoka mchana kwenda usiku..hapo ndio ile tabia yao ya ulafi huonekana dhahiri shairi.

Mana wanakesha wanakula kwa anasas usiku mzima.
. 😁😁😁, mchana wanashinda matumbo yapo full, Alafu wanasema wamefunga.
 
Kama kufunga ni kulazimishana hiyo ni dini au jeshi?
. Dini kwa asili inatakiwa kuwa ya hiari, ambapo mtu anachagua kufuata mafundisho kwa imani yake binafsi.. ( lakini kwa Uislam imekuwa kinyume chake)
 
Mbona watalii wa kizungu wanakwenda na wanakula barabarani bila kuulizwa na mtu
Ni upungufu wa akili, Rangi nyeupe inaogopwa sana, ndo maana wakija huku Africa tuna wapigia magoti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…