Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
. Yawezekana huu mwenzi huwa ni Likizo ya wafanya maovu, baada ya hapo kazi inaendelea kama kawaida.( umuhimu wa dini unakuwa haupo)Kinacho nisikitisha wahuni wanaoa au kuolewa,walevi wanapumzika,washenzi wanatumia vifungu vya haramu kali kuacha wakisubiri mfungo kuisha.
Mnyazi mngu hapendi kabisa 😆😆. Nasikia hata kupiga mswaki ni dhambi kwa mnyazi-mungu 🙂🙂, hivyo unatakiwa kubaki hivyo hivyo
Sindio vzur maovu kuyapa likizo Mwezi mmoja unatosha hata sisi wenye addiction ya nyeto kuisahau kabisa. Yawezekana huu mwenzi huwa ni Likizo ya wafanya maovu, baada ya hapo kazi inaendelea kama kawaida.( umuhimu wa dini unakuwa haupo)
Hata yesu alikuwa hapigi mswaki na alikuwa anamla mate magdalena na anaona fresh tuMnyazi mngu hapendi kabisa 😆😆
Vipi Hali ya kinywa chako hapo ulipo kimeshaoza tayari?Hata yesu alikuwa hapigi mswaki na alikuwa anamla mate magdalena na anaona fresh tu
Nimepiga mswaki na nilikula night kali Nipo vzur kabisaVipi Hali ya kinywa chako hapo ulipo kimeshaoza tayari?
Tuna vumilia hatuli nyeto mpaka mwezi uisheNyeto ni hatari sana mkuu.. Sidhani washirika(CHAPUTA) wanaweza kuvumilia mwenzi mzima 🙂🙂🙂
. Mbona nilicho sema kina ukweli kabisa, wala sitafuti attention yeyote hapa jf, au hutaki kuambiwa ukweli sheikh 🙂🙂Ndugu zangu Waislam. Nyuzi kama hizi huenda zikawa nyingi katika Mwezi huu wa Ramadhaan. Baadhi ya hawa watu wana chuki na husda. Na wengine (juu ya chuki, husda na ujinga wakati mwengine) wapo wenye kutafuta attention kwa sababu nje ya Jf wako lonely na miserable hivyo hutafuta attention kwa namna yoyote kwenye mitandao kama Jf ili angalau wajisikie vizuri kwa muda mfupi, baadhi ya watu hawa kwenye Mwezi wa Ramadhaan hutafuta attention kwa kuanzisha mijadala kwa kukejeli, kudhihaki na hata kuwachokoza Waislam ili wapate comments nyingi au nyuzi zao ziwe ndefu kwa sababu wanajua Waislam ni watu wanaoithamini na kuipenda Dini yao hivyo wanawa provoke Waislam na kuibua hisia zao ili mkiingia kwenye mijadala wao wapate attention wasijikie vizuri hata kidogo tu kwa muda mfupi. Na wale wenye chuki watazisambaza chuki zao na kuonesha husda zao wakitamani kheri tuliyonayo ituondokee na tupotee; tunajikinga kwa Allah kutokamana na ushirikina, ukafiri na upotofu.
Hivyo ndugu zangu Waislam, najiusia nafsi yangu pamoja na kukuusieni, msiingie kwenye mitego yao. Hifadhini funga zenu na 'Ibadah zenu na muwe na subra. Ningependa kushauri nyuzi za watu wanaotafuta mabishano na kuukejeli Uislam achaneni nazo msiingie kwenye mijadala, na ikiwezekana muziignore, Allah awaongoze wanaozianzisha.
Kama kuna watu kweli watataka kujifunza, na wanaitafuta Haqq. Kama una Ilmu sahihi basi utamuelekeza kwa hikma na mawaidha mazuri. Na tunamuomba Allah awaongoze watu wa namna hiyo.
Tunamuomba Allah atufishe katika Uislam, Neema kubwa mno ambayo Allah ametupatia, tunamshukuru Allah kwa Neema hii ya Uislam. Tunamuomba atufishe katika Uislam, tunamuomba Allah atufishe katika Tawheed na Sunnah, Allahumma Aamiin.
Huwa hawafungi bali wanabadili ratiba ya msosi kutoka mchana kwenda usiku..hapo ndio ile tabia yao ya ulafi huonekana dhahiri shairi.Wale wanaofunga mnapaswa kuelewa kuwa si kila mtu anafunga, hivyo haipaswi kuwa ni sababu ya kuwahukumu wengine, kuwaita majina ya hovyo au kuwalazimisha dini nyingine au watu wengine kufuata mtindo wa maisha wa kufunga.
. Jambo la msingi katika jamii zenye mchanganyiko wa imani. Ramadhan ni mwezi mtukufu kwa Waislamu, ambapo wanatakiwa kufunga kutoka alfajiri hadi jua linapozama kwa hiyo msijione nyinyi ni watu muhimu sana katika suala la iman bali wote ni sawa.
Mambo muhimu ya kuzingatia
1. Kuwa smart ( maana unaweza kutana na mtu aliye funga mdomo umekauka utadhani ameishiwa maji mwilini, usifanye hivyo maana kufunga siyo adhabu ya kushinda njaa kutwa zima )2. Usifunge kwa kulazimishwa na mtu, kwa sababu dini ni suala la imani na siyo kufuata mkumbo kutoka kwa familia yako, kutoka kwa sheikh wako au jamii Fulani.3. Siyo lazima kila mtu ajue kama upo kwenye mfungo, na punguzeni hasira ukiona sehemu Fulani vyakula vinanukia.
. 😁😁😁, mchana wanashinda matumbo yapo full, Alafu wanasema wamefunga.Huwa hawafungi bali wanabadili ratiba ya msosi kutoka mchana kwenda usiku..hapo ndio ile tabia yao ya ulafi huonekana dhahiri shairi.
Mana wanakesha wanakula kwa anasas usiku mzima.
Mbona watalii wa kizungu wanakwenda na wanakula barabarani bila kuulizwa na mtuNakutahadharisha tu
Hiki sio kipindi kizuri cha kwenda Zanzibar
Ni ujinga wa kiwango cha juu kulazimisha watu kufunga