Waislam tuachane na adhana tutumie alarm za simu zetu

Kama hata ulipotokea hujui ndo utakuwa na uwezo wa kujua aliyekuleta?
Wewe ndio simpleton umekaririshwa madesa
Una assume kuna aliyenileta, hujathibitisha hilo.

Thibitisha kuna aliyenileta.
 

Kwanza nikupe elimu kidogo.HAKUNA MWENYE DINI YAKE UISLAM.muarabu sio mmiliki wa uislam.ni sawa na kusema wayahudi ndo wanaumiliki ukristo ile NI njia tu.
Pili SIO KILA anayevaa kanzu na kofia basi ni muislam.wengine wanavaa na kujiita waislam lakini matendo yao sio ya kiislam.saudia Sasa hivi imebadilika na ndio nilichosema DALILI ZA MWISHO WA DUNIA.watu wanataka Uhuru na kuona dini inawafunga funga na kuona dini ya UISLAM imepitwa na wakati.haya yote yalishatabiriwa na lazma yatokee ili huo MWISHO UJE
 
Kuna njia nyingi za kujibu swali, kuna kujibu swali kwa swali pia.
Sasa wewe tatizo unataka ushahidi ambao unataka uwe kwa mfumo unaotaka wewe ambao haupo, yani umejiseti ili kukataa majibu ya aina yoyote...you are obviously biased.

Kwenye huu ulimwengu Kila kitu kina cause...lakini hatuwezi kuwa na infinity ya past causes (yani Z was caused by Y and Y was cused by X ....till infinity). Also kwasababu time is in motion and entropy is increasing it means there must have been a beginning,
Kwasababu an infinite past is impossible.
Na kama kila kitu kina kuwa caused lakini there is a beginning basi it necessitates a prime mover.
An uncaused cause. That is not bound by the shackles of time.
That is what we call God.
 
Haya yanayokea yalishatabiriwa na mtume muhammad s.a.w
 
HAKUNA mshahara wa muadhini,
Wala kuadhini sio kazi ya mtu KULIPWA au kuitegemea.
Ndo maana Kama muadhini HAYUPO mtu yeyote anaweza kuliamsha muda ukifika.
Na hata Kama imamu HAYUPO muda ukifika WATU WANA SWALI.
Huo ndo uislam.
Sisi huku Temeke Muazin wetu analipwa, labda awe anaumwa ndio volunteers wataazini.
 
Uislamu ni perfect .....no further modifications are needed......jinsi ulivyo utakuwa hivyo hivyo hadi kiama kisimame
 
Cause ni nini?

Unajuaje kila kitu kina cause?

Na unaelewa kwamba hata kama kila kitu kina cause, hilo halimaanishi ni lazima kuwe na prime mover?

Unaandika mambo ya kisayansi kama entropy, ushaisoma causality inavyovunjika katika quantum physics?

Unaelewa kwamba at the quantum level causality inavunjika na cause kuwa effect, na effect kuwa cause katika quantum physics causality loop, na kufanya dhana nzima ya "primary mover" kuwa a moot and non fundamental anthropic biased concept?
 
Kwahyo umejileta?
Hivi kumbe ni kweli common sense isnt so common nowdays?
Katika one track mind yako options ziko mbili tu, nimeletwa na Mungu au nimejileta mwenyewe?

Huoni option obvious kabisa kwamba nimeletwa na wazazi wangu ambayo haimuhitaji Mungu kuelezea nimetoka wapi?

Wewe unayeona umuhimu sana wa "hiki kipo, kimetoka wapi?" Nikikuuliza Mungu katoka wapi, katokeaje, unalo jibu?
 
Dini zinahubiri Mungu yupo.

Mungu huyu anayehubiriwa na dini hayupo.

Dini zinahubiri uongo.

Kama unabisha, thibitisha Mungu huyu anayehubiriwa na dini yupo.
 
Wewe sio Muislam. Acha kejeli.
 
Unajuaje kila kitu kina cause?

Na unaelewa kwamba hata kama kila kitu kina cause, hilo halimaanishi ni lazima kuwe na prime mover?
Hii sasa labda unaleta tu ubishi, sio tu common sense Even in science So far kila kitu tunachokijua kina cause(physical things), every matter every energy. Because change is inevitable kwasababu ya 2nd law of thermodynamics...Na sio kuwa na cause tu bali vinakuwa affected with time (for the same reason).
So it implies that complexity arises from simplicity.
Mfano hizi cities zilianza na kajumba kamoja porini, Wewe ulianza kama ka'cell, hizi galaxies zilianza from condensed singularities. Etc.
So kama time inacreate complexity (increase in entropy) and tunavyorudi nyuma vitu vinazidi kuwa simple..it follows kwamba hatuwezi kuwa na infinite past , there has to be a simplest start in which it cant get simpler.
Sasa ile ignition ya kuanzisha hiyo simple start/beginning ilitoka kwa nini/nani?
Kwasababu the simplest start has to be caused by something which can not be itself. (And I'd argue that something has to be conscious)
Now, Since the past is finite, that prime cause fir everything has to be uncaused.
So It mandates there be a prime causer that is out of time itself(we call it/he god).
There can not be any other logical explanation.

And god by btw is the simplest being.
 
Na technologia iko kuondoa kúkufanya ufikie tengo kwa urahisi bila kuleta usumbufu au madhra kwa viumbe wengine. KWA kakariri tu watapinga
 
Soma the break down of causality in quantum physics uweze kujua kwamba, hata kama kila kitu kina cause, hilo halimaanishi kwamba ni lazima kuwe na primary mover.

Kwa sababu, katika break down ya causality, katika quantum physics, hiyo hiyo cause A inayosababisha effect B nayo inaweza kuwa effect ya effect B.

Na kufanya cause kuwa effect ya effect na effect kuwa cause ya cause katika namna ambayo suala zima la cause and effect linakosa maana, kwa sababu suala zima la cause and effect linakuwa katika mzunguko, vitu vyote vinasababishana na vinasababishwa, hakuna primary mover. A inasababisha B, na B inasababisha A, katika mzunguko ambao huwezi kusema kipi kimeanza, A au B.

Tatizo unaongelea haya mambo wakati hujayafuatukia kwa undani.

Nenda kasome causality inavyovunjika katika quantum physics halafu urudi tujadiliane baada ya wewe kusoma.

Sasa hivi naona mapengo katika uelewa wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…