Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Hasara ya nyama yake ni kubwa kuliko faida acha kula kitimoto
Hasara ni nini kama sio hasara kwa majini ya jangwani,mana nguruwe analiwa sana ulaya,marekani na uchini je hao wamepata hasara gani mpaka sasa,ndio wanao kufanya uinashi humu dunia kupitia teknolojia zao na uvumbuzi.
 
Anachukiwa kipindi cha mfungo.
 
Basi kumbe wote twala..!! Tofauti yetu ni mazngira tu ya kula.
Ndio kuna mazingira hata Nyama ya mtu inaliwa, lakini huwezi kusema kuwa ni kawaida kula nyama ya mtu sawa kabisa na Uislamu na Nguruwe
 
Ndio kuna mazingira hata Nyama ya mtu inaliwa, lakini huwezi kusema kuwa ni kawaida kula nyama ya mtu sawa kabisa na Uislamu na Nguruwe
Swala si ukawaida, swala ni DHAMBI. Whether una hali ngumu au la, kula nyama ya nguruwe kwa muislamu ni dhambi
 
Pengine WANAKUFANYA WEWE... ila mimi hapana! Na ukumbuke Kutokuona kitu hainaanishi hakuna kitu🙂
 
Sasa hapo wapi wametaja nguruwe
 
Wewe
Manake nguruwe analiwa hajakatazwa,kwanini sasa mmejaza unafiki wakati kumbe analiwa kwani ukichinja kondoo ili ule si unafanya jambo lile lie la kuokoa uhai wako usife njaa.
Kula mtu basi...si analika pia ukiamua!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…