Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Waislam tulio wengi wetu tunamchukia nguruwe kuliko zinaa, kuliko pombe, kuliko usengenyaji n.k

Hasara ya nyama yake ni kubwa kuliko faida acha kula kitimoto
Hasara ni nini kama sio hasara kwa majini ya jangwani,mana nguruwe analiwa sana ulaya,marekani na uchini je hao wamepata hasara gani mpaka sasa,ndio wanao kufanya uinashi humu dunia kupitia teknolojia zao na uvumbuzi.
 
Anachukiwa kipindi cha mfungo.
 
Ndio kuna mazingira hata Nyama ya mtu inaliwa, lakini huwezi kusema kuwa ni kawaida kula nyama ya mtu sawa kabisa na Uislamu na Nguruwe
Swala si ukawaida, swala ni DHAMBI. Whether una hali ngumu au la, kula nyama ya nguruwe kwa muislamu ni dhambi
 
Pengine WANAKUFANYA WEWE... ila mimi hapana! Na ukumbuke Kutokuona kitu hainaanishi hakuna kitu🙂
 
Hata Allah subhanahu mwenyewe anawashangaa Waislamu kwa kumzushia Uongo!
Ametuusia tusishuhudie na Waislam pale wanapomzushia Uongo kwamba ameharamisha kula nguruwe!
Q6:150 Sema: Leteni mashahidi wenu watao shuhudia kuwa Mwenyezi Mungu ameharimisha hawa. Basi wakishuhudia, wewe usishuhudie pamoja nao. Wala usifuate matamanio ya walio zikanusha Ishara zetu, wala hawaiamini Akhera, na ambao wanamlinganisha Mola Mlezi wao na wengine.
(Tarjuma ya Muhsin al Barwan)
Sasa hapo wapi wametaja nguruwe
 
Wewe
Manake nguruwe analiwa hajakatazwa,kwanini sasa mmejaza unafiki wakati kumbe analiwa kwani ukichinja kondoo ili ule si unafanya jambo lile lie la kuokoa uhai wako usife njaa.
Kula mtu basi...si analika pia ukiamua!?
 
Back
Top Bottom