Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

TEC kupitia Kitima wanaongea kila siku tatizo mnawatuma kina Mwaipopo na Sule kuwajibu!
 
Acha udini,wapenda amani wote,waislamu kwa wakristu,wahindu,mabahai,wapagani kwa umoja wetu tuwapmbee watu wa iran
 
Hivi ww unadhani mashia ni waislamu?

Mashia ni wabaya zaidi kuliko hawa tunowaita makafiri
Uzuri bana kuna mahala hawajui uislam wala ukristo na wanaishi wanakufa na wanaacha familia zao zipo salama kimaisha.
 
Hongera Papa kwa kusema ukweli. Tunategemea TEC kupitia kitima na wao watatoa kauli kuunga mkono kiongozi wao dini

😂😂😂😂 maisha haya.

kwahiyo Leo mnataka Kitime na TEC kumuunga mkono Papa Leo.
Ila kipind kile Mlimkataa na kusema anatumika kisiasa kwa sababu hakuwa anamuunga mkono Samuya.

Kwahiyo ni sawa Kitime aingilie mambo ya kisiasa sio?. 😂😂😂
 
Baada ya vifo vya WaTanganyika mlichukua hatua gani?
 
Huoni kuwa ni hatari kuingiza taasisi za kidini za ndani ya nchi kwenye migogoro ya kijeshi ya mataifa ya nje?
 
Wairan wakandwe tu sina cha kuwatetea..mimi ni kafir ila nipo pamoja na Saudia..wale watu wapo vizur upstairs
 
Hujui ata ulisemalo pole sanaaa
Kwa mtazo wako, inawezekana wewe ukawa kafiri zaidi mara 1000 zaidi yao
Adiosamigo
The position taken by the majority of Sunni scholars states that Shias are muslim so long as they don't take part in shrik or beliefs that go against the Quran. And this is applied with other Sunni groups as well. Jalibu kufatilia yaliyo andikwa humu alafu utoe mrejesho✍️✍🏼
 

Attachments

Mashia kwakwel sio watu wazur hawa kwanza hawamkubal abubakhar hawa nizaidi yamakafir halafu moyon mwao wanalengo lakuifuta Israel kwenye uso wadunia pia saudia hawa watengwe tu kwanza wanapenda ugaidi
 
Habari washirikishe Bakwata wenzako usitupigie kelele humu na kama vipi kajiandikishe kwenye jeshi la Iran ukapigane na Wamarekani.
asikupigie kelele huu mtandao wa baba yako? Ww bibie vipi upo menopause au?
 
Mashia kwakwel sio watu wazur hawa kwanza hawamkubal abubakhar hawa nizaidi yamakafir halafu moyon mwao wanalengo lakuifuta Israel kwenye uso wadunia pia saudia hawa watengwe tu kwanza wanapenda ugaidi
Wazuri mashoga wenzio wa America? Sindio?
 
Wazuri mashoga wenzio wa America? Sindio?
Mnalipenda ilo neno na wengi wenu mnaolitamka bhas soda haina gas...vijana kutoka zenji, rufiji, tanga,, magomen wengi wenu beki katoka golin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…