Waislam tunatakiwa tuiombee dua sana Iran kipindi hichi

Kitima alipinga mauaji ya Tanzania
 
Kati ya Iran na Marekani nani anatakiwa kuombewa?
Anayeshinda vita anaombewaje?
Manake tunaambiwa Iran anashinda!
Anayetakiwa kuombewa ni Marekani na Israel!
Wananchi ndio tunaowaomnea maana wanakufa,wanajeruhiwa na kuharibuwa mali zao.Haijalishi ni nchi gani inashinda vita
 


Nimeisha mjibu huyo kenge anaye sema Shia sio Waislam




mimi nimekwambia kuna wanachuon wanao Kubali kuwa niwaislam na nikakuwekea PDF hii ili uone baadhi ya itikadi zinazo watoa ktk Uislam sizani kama umekisoma kisome Kwanza alafu ulete mrejesho
πŸ‘‡πŸ‘‡
 
mimi nimekwambia kuna wanachuon wanao Kubali kuwa niwaislam na nikakuwekea PDF hii ili uone baadhi ya itikadi zinazo watoa ktk Uislam sizani kama umekisoma kisome Kwanza alafu ulete mrejesho
πŸ‘‡πŸ‘‡
Kwani wewe una multiple users sababu sikumbuki niliongea na wewe kuhusu ulicho ongea mimi siwezi amini kitu atokee Sheikh mmoja asema Masunni ni makafiri au Mashia makafiri bila kunipa dalili zake afu nikazipima kweli alicho ongea ni kweli.

Uislam kwanza ni nini ni kuamini Mungu ni mmoja tu, na kuamini Mtume Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi na kufata Arkan Al Imani na Arkan Al Islam hayo mengine sijui hivi sijui vile ni ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…