Mbeya vijana na wazee wanashinda baa na vibanda ya pombe badala ya kaziMafia panajengwa misikiti ya mamilioni kila kukicha, wakati chuo cha veta kinapambana kupata wanafunzi inabidi mkuu aende mikoani kutafuta wanafunzi. Kulikuwepo na technical College iliyokuwa chini wa kanisa la roma..imebidi ifungwe kwa sababu wanamafia wako busy na madrasa. Umasikini wa Mafia unaweza kuushika kwa mkono kabisa
Dah we jamaa mm hata sikujui ila unaonekana mtu muungwana sana.Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
DINI YA KWELI NI KUISHI KWA HAKIIpi dini ya kweli
Watu wa dini mnakazi sanaaMtasema tu...niliwaambia hapa kuwa viongozi waislamu ni maadui wa WAZALENDO na UZALENDO ..MKABISHA ...NILISEMA , SIKU ZOTE MPUMBAVU UJIFUNZA KWA UCHUNGU NA MAUMIVU NA HASARA KUBWA KWA SABABU UPRACTICE UPUMBAVU WAKE MAISHANI.
Sijajua unatumia vigezo vipi kujenga hoja yako? Mbona tukiangalia top 10 ya matajiri wa Tanzania imejaa waislam? Rais, Spika wa bunge, Rais wa Zanzibar wote ni waislam. Agakhan Hospital, Agakhan University, vituo vya afya vya Bakwata, n.k ni mfano ya baadhi ya taasisi za kiislam.Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Jua uzama kwenye tope zitoWatu wa dini mnakazi sanaa
Ukute mtu dini yake inamuita KONDOO
Unategemea mtu huyu kichwani ziwepo au ndo kuinama twende tu kama kondoo.
Unawashwa sana na Chadema kama vipi njoo uolewe huku ChademaNawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Umeiona hio tu?Unawashwa sana na Chadema kama vipi njoo uolewe huku Chadema
Wajinga/wataka sifa ndio huwa wanatetemekea kupongezwa. Kama una uwezo hata usipopongezwa ama kusifiwa uwezo wako uko wazi.Mkipongezwa hamfurahi?
Ndiyo nimeliona hilo boko.Umeiona hio tu?
according to Lwivas bible ??DINI YA KWELI NI KUISHI KWA HAKI
Jua uzama kwenye tope zito
Kwa nini msiwaige Taliban au Houthi?Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Sisi hayo maendeleo ya ulimwengu tu hayatuhusu sisi ni elimu akhera tuu pia tukipata pilau mbuzi soda na ndiz mbivu baaas tunasahau shida zote!!!
Mtasema tu...niliwaambia hapa kuwa viongozi waislamu ni maadui wa WAZALENDO na UZALENDO ..MKABISHA ...NILISEMA , SIKU ZOTE MPUMBAVU UJIFUNZA KWA UCHUNGU NA MAUMIVU NA HASARA KUBWA KWA SABABU UPRACTICE UPUMBAVU WAKE MAISHANI.
Lakini matajiri wakubwa Tanzania ni Waislam, Bakresa, Dewji, GSM, Turkish, wote Waislam, wamiliki wa vituo vya mafuta, makampuni makubwa ya usafirishaji wote ni WaislamMafia panajengwa misikiti ya mamilioni kila kukicha, wakati chuo cha veta kinapambana kupata wanafunzi inabidi mkuu aende mikoani kutafuta wanafunzi. Kulikuwepo na technical College iliyokuwa chini wa kanisa la roma..imebidi ifungwe kwa sababu wanamafia wako busy na madrasa. Umasikini wa Mafia unaweza kuushika kwa mkono kabisa
Faida za Kula kitimoto hizo.Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Haki za binadamu na uislam wapi na wapi?Nawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Ilmu ya dunia sio kipaumbele maana maisha ya kweli yapo Akhera😅Kamaliza juzuu zote