Waislam tuwaige wasiokuwa waislam katika maendeleo ya taifa letu

Watu wa dini mnakazi sanaa
Ukute mtu dini yake inamuita KONDOO
Unategemea mtu huyu kichwani ziwepo au ndo kuinama twende tu kama kondoo.

Lakini matajiri wakubwa Tanzania ni Waislam, Bakresa, Dewji, GSM, Turkish, wote Waislam, wamiliki wa vituo vya mafuta, makampuni makubwa ya usafirishaji wote ni Waislam
Hata tajiri mkubwa zaidi Africa Dangote ni Mwislam tena swala tano
Ndiyo nilicho eleza..kuwa waislamu siyo wazalendo..hii inawafanya kuwa matajiri maana wanaweza kuuza hata nchi ..cha msingi wao wapate pesa tu... ..UZALENDO NDUGU YAKE UJAMAA NA UBEPARI NDUGU YAKE UBINAFSI.
 
Mkuu ni vema umelitambua hili.
Imani inabaki kuwa imani, lakini maendeleo yanahitaji nyenzo nazo ni elimu, afya na miundombinu.
Wafanyabiashara wengi na wakubwa ni waislamu, lakini hawatumii mitaji yao katika miradi ya afya na elimu kwa watanzania wote bila kubagua.
Hili inabidi wajirekebishe.
 
Nenda makanisani uone watu wanavyotoa mpaka utatetemeka, vikapu vinashindiliwa manoti utashangaa. Wanaenda kujenga mashule/vyuo, vituo vya afya/mahospitali na miradi mingine. Misikitini hakuna moyo wa utoaji ndio maana masheikh wana njaa kali na hali mbaya ya kimaisha
 
Sasa mnalalamika nini mitandaoni sijui umaskini wakati kila sekta mumeshika?
 
Soma hoja yangu kwa utulivu sana inatakiwa uwe na D angalau 4 kuifahamu
comment namba #48 kuna clip ya mufti hapo msikilize, attack unayotaka kufanya haina msaada kwa jamii
 
Mbeya vijana na wazee wanashinda baa na vibanda ya pombe badala ya kazi
Uongo ndio sifa ya ile dini yenu, na uongo ndio sifa kuu ya Ibilisi.

Sasa kama ulienda Mbeya, basi ulifikia Mabatini, na sehemu kama hizo zenye ulanzi na Kimpumu kwa wingi.
Tembea Mbeya uone vyuo vilivyo anzisha na Taasisi za dini, Kisanji University, Catholic St Augustine University-Mbeya, Iringa Tumaini University -Mbeya Campus, ukiacha vyuo vya serikali kama MUST, Mzumbe-University Mbeya Campus.

Sasa wewe mkuu unaenda kula tapu tapu na unafikiri umefika Mbeya?
 
Mufti akabaki Mufti, ni binaadam
mufti alikua akizindua zahanati iliyojengwa na nguvu ya waumini, na akasema waislamu waamke kwenye shughuli hizi za maendeleo. maneno ya mufti yanaingia akili hata kama wewe hutaki.

watu kama kina MO, bakhera, gsm, jamaa wa masheli wale na wadau wa aina hiyo wameshindwa kutoa hata shule 2 za kiushindani wewe bado unamuona mufti hajatoa point?
 
"Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya"

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We jamaa umenichekesha sana.
 
Kwa upande wa pili wa shlingi?
 
Ndiyo nilicho eleza..kuwa waislamu siyo wazalendo..hii inawafanya kuwa matajiri maana wanaweza kuuza hata nchi ..cha msingi wao wapate pesa tu... ..UZALENDO NDUGU YAKE UJAMAA NA UBEPARI NDUGU YAKE UBINAFSI.
Mataifa yote yanayoongoza kwa maendeleo na maisha Bora kwa watu wake ni ya kibepari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…