Kitu ambacho wewe haukijui hizo taasisi zote walizonazo zimejejengwa Kwa ruzuku wanayopata serikaliniNawapongeza sana waumini wa dini ya nyengine ambayo sio waislam kwa kweli wapo juu sana ktk elimu
Wanavyuo vikuu vingi, na wamesoma sana, sekta ya afya wapo juu na wameshika uongozi ktk Taasisi nyingi sana.
Matokeo yake ni haya, Maendeleo yetu kama taifa katika Maendeleo sekta ya afya , elimu , siasa safi na utawala bora na maendeleo ya haki za binaadam yapo juu kabisa kama taifa, nawapongeza sana.
Mwisho nawashangaa CHADEMA kwa kutooana maendeleo haya
Waislamu hawana uwezo wa kupata?Kitu ambacho wewe haukijui hizo taasisi zote walizonazo zimejejengwa Kwa ruzuku wanayopata serikalini
Ongeza chekechea, sekondari za kanisa, vyuo vikuu, makanisa vyote vinajengwa na serikali!Kitu ambacho wewe haukijui hizo taasisi zote walizonazo zimejejengwa Kwa ruzuku wanayopata serikalini
Unajua maana ya bepari asiye mzalendo....tatizo ni ubepari pasipo uzalendoMataifa yote yanayoongoza kwa maendeleo na maisha Bora kwa watu wake ni ya kibepari.
Uzalendo kuwa hafuati Sheria za nchi?Unajua maana ya bepari asiye mzalendo....tatizo ni ubepari pasipo uzalendo
Mimi nimezingumzia elimu wewe unaleta hoja ya matajiri ❌ aliekwambia wasomi ndio matajiri ni nan? Elimu dunia inasaidia kutoa matongotongo kweny ubongo!!Lakini matajiri wakubwa Tanzania ni Waislam, Bakresa, Dewji, GSM, Turkish, wote Waislam, wamiliki wa vituo vya mafuta, makampuni makubwa ya usafirishaji wote ni Waislam
Hata tajiri mkubwa zaidi Africa Dangote ni Mwislam tena swala tano
Naona dini imemkaa Sawa sikuhizi ana nyuzi za busara sana aiseMaajabu leo, Kuna mtu kaiba password nini......
Point ya elimu ni kutoa huduma Bora kwa watu, kuzalisha bidhaa kwa watu, kusimamia rasilimali ulizo nazo kwa ubora na kuzizalisha, obviously mtu tajiri lazima atakuwa anamudu haya ndio maana akawa tajiri,Mimi nimezingumzia elimu wewe unaleta hoja ya matajiri ❌ aliekwambia wasomi ndio matajiri ni nan? Elimu dunia inasaidia kutoa matongotongo kweny ubongo!!
Nimewahi andika mara mbili au tatu kuwa wewe nnje ya ufanatic wa dini, una akili nzuri.Waislamu hawana uwezo wa kupata?