Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo nyumanyuma.

2. Hivi Watibeli ambao ni waislam Ninyi huko mliko hamna hisia za aibu?

3. Unajua kuna wakati nikiwatazama waislam naishia kuwahurumia tuu. Mbona mnapenda fedheha? Kwa nini mnajiabisha hivi? Kwa nini mnauaibisha uislam.

4. Quran ni Moja ya vitabu vinavyosisitiza Elimu. Tena inakuambia muifate hata kama ni china kwamba hata kama ni mbali kiasi gani. Elimu ni muhimu kwa muislam na uislam.

5. Kuna MTU atasema ni elimu akhera nope! Muktadha wa Quran ilimaanisha elimu ya dunia. Ndio maana china ilitajwa na china kwa wakati huo hapakuwa na elimu akhera. So kutajwa kwa china kimantiki kunarejelea maana mobility, yakwanza nilisema umbali. Lakini ya pili, ni tafsiri ya elimu dunia.

6. Uislam unamhitaji mtu awe na elimu ya dini (akhera) na elimu ya kidunia.

7. Hayo yote waislam wanayajua. Lakini utashangaa watu wanaojua umuhimu wa elimu wanashindwa kujenga chuo kikuu chao wenyewe mpaka wapewe. Ni fedheha kwa kweli.

8. Hivi waislam ni wakushindwa kujenga chuo kikuu mpaka na Wasabato?

9. Kwenye matajiri top 50 nchi yetu hii asilimia 80% ni waislam.

10. Wafanyabiashara karibu wote wakubwa Ile top 20 asilimia 80% ni waislam.

11. Lakini mpaka wa Leo waislam hawana hata chuo kikuu hata kimoja walichojenga wao wenyewe kwa nguvu zao wenyewe

12. Mnatia aibu bhana. Yaani ni fedheha kubwa. Lazima tuwachane ukweli ili muone hasira ya kufanya kitu.

13. Alafu ukiambiwa ni Dini ya pili kwa ukubwa Tanzania yenye waumini wengi hapo ndipo unaweza kuwadharau waislam wa Tanzania.

14. Dini yenye waumini wengi mnashindwa kuchanga pesa waislam wote mkajenga chuo kikuu chenu.

15. Au mnasubiri mpewe chuo kikuu kingine? Semeni SASA maana unaweza kuta ndio plan hiyo.

16. BAKWATA ninyi mpo mpo tuu. Haiwaumi kuona waislam hawana chuo hata kimoja walichojenga wao wenyewe? Hilo haliwaumi? Kweli?
Maana kimsingi waislam hawajawahi kuwa na chuo kikuu chao wenyewe hapa Tanzania

17. Hivi mtajivunia na kitu cha kupewa? Yaani upewe nyumba au gari ndio utambe nalo. Miaka nenda Rudi unashindwa kununua gari lako mwenyewe kwa jasho lako mwenyewe, unajivunia gari la kupewa?

18. Wanasema nguo ya kusitiri haistiri. Na huo ni ukweli ndugu zangu.

19. Embu fanyeni mafekeche fekeche muondoe aibu hiyo. Ni aibu. Yaani sheikhe mzima hata akihutubia akifika kwenye vyuo vikuu vya kiislam lazima ajihisi ubaridi. Atasema chuo cha kupewa sio. Come on.

20. Msilete visingizio vyenu. Jengeni vyuo vikuu. Wafanyeni waislam wa siku zijazo wawe proudly na nyie.

21. Wafanyeni wasio waislam wawaige na kuwaheshimu. Wawe proudly na dini yenu hata kama sio dini yao.

22. Jengeni wenyewe kwa jasho lenu. Vyakupewa vinadhalilisha.

23. Alafu kwa nini mpewe? Yaani ninyi ni walemavu? Ninyi ni maskini? Ninyi mnashida ipi? Nawauliza ninyi mnamatatizo yepi?

24. Mbona Mimi nawaona mnajiweza. Ninandugu na marafiki waislam wanajiweza, wasomi, marajiri na wengine ni viongozi wa serikalini. Sasa shida nini?

25. Msijesema kuna watu wanawakwamisha. Acheni visingizio. Mpo wengi, mnanguvu, nani anawakwamisha? Acheni visingizio.

26. Mkiendekeza visingizio mtashangaa mnabaki na chip hikohiko kimoja tena chakupewa.

27. Sio ajabu akatokea mtu mwingine akasema nawapa majengo Fulani kuwa chuo kikuuu cha kiislam.

28. Msiendekeze kupewa pewa. Semeni Sisi waislam, Kwa sadaka zetu hizihizi bukubuku tunaenda kujenga chuo chetu wenyewe kwa uwezo wa Allah.

29 Andaeni mpango waislam wakutoa pesa wapo. Lakini jiepusheni na mambo ya kupewa pewa. Yanafedhehesha.
Wote mshiriki kujenga. Kila mtu kwa uwezo wake. Wakristo wao sadaka zao zinagawanywa kulingana na miradi na malengo ya kanisa mwaka husika.

30. Nimemaliza. Mwenye hasira aje Kesho tupigane.

Sabato NJEMA.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
Ili wakasome uislam?

Serikali tayar imejenga hivyo vyuo, RC tayar wameshakuwa navyo.

Kote huko wanasoma watu wa dini zote.

Sasa unavyotaka hadi wawe na vyuo vyao sijui unataka iweje?

Kwanza hiyo ilikuwa zamani, leo waislam wengi wanapiga shule.
 
Ili wakasome uislam?

Serikali tayar imejenga hivyo vyuo, RC tayar wameshakuwa navyo.

Kote huko wanasoma watu wa dini zote.

Sasa unavyotaka hadi wawe na vyuo vyao sijui unataka iweje?

Kwanza hiyo ilikuwa zamani, leo waislam wengi wanapiga shule.

Kwani waislam kujenga vyuo vyao itazuia serikali na dini zingine kutokupata wanafunzi?

So hutaki waislam wawe na vyuo vikuu?

Hivi unajua Tanzania bado ina uhaba wa vyuo vikuu?
 
Kwani waislam kujenga vyuo vyao itazuia serikali na dini zingine kutokupata wanafunzi?

So hutaki waislam wawe na vyuo vikuu?

Hivi unajua Tanzania bado ina uhaba wa vyuo vikuu?
Kwa hiyo waislam ndo wazibe hilo gap.?

Sioni ulazima wa wao kufanya unachokitaka. Lakini wakifanya ni heri pia.

Lakini sio kutoa shutuma.
 
Kwa hiyo waislam ndo wazibe hilo gap.?

Sioni ulazima wa wao kufanya unachokitaka. Lakini wakifanya ni heri pia.

Lakini sio kutoa shutuma.

Hizo sio shutuma. Nilichoeleza ndio uhalisia wenyewe Mkuu.
Hizo kashfa huzioni? Huzisikii? Au kwako unaona ni Jambo dogo?

Umuhimu upo
 
Hawa hawa mashekhe wanaokusanya hela ya m
Kujenga msikit..mwsho wa siku wanaenda kutumia hela za mchango kulea wake zake wanne aliooa?sahau kuhusu michango...utakuwa unalea tu famia ustaz
 
Issue ni waislanu wenyewe mzee wangu Ahmad Rajab Mabira alipambana sana hadi iko chuo cha MUM morogorogo kujengwa mwisho wa siku wenzake wakamsaliti na kuandikwa wao.

Akasema famili lah akaanza kupambania kijengwe chuo kingine cha kislamu aliandaa ramani kama zote amezunguka sana bakwata,maprofessor ote wakubwa wa kiislamu unaowajua wewe ameshakwenda kupeleka hiyo proporsal kwa ajili ya uanzishwaji wa chuo kingine cha waislamu.

Tumeshaenda sana kwa marais na mawaziri ote wakiislamu unaowajua wewe lakini mwisho wa siku hakuna kipya zaidi ya kupewa tu matumaini, japokuwa waislamu chanika walijitolea kumpa hekari 100 ya ardhi lakini hakuna alikopsta msaada mpaka anafariki.

Napozungumza hapa nyumban kuna ramana kibao za vyo vikuu kuna documents kibao na namba kibao za viongozi ambao alikuwa anawasiliana nao mwisho wa siku ni ahadi hewa.

MIMI NIKIWA KAMA MUISLAMU NILICHOJIFUNZA KUPITIA MZEE NI KWAMBA HAKUNA HAJA YA KUILAUMU SERIKALI KUHUSU KUPATA AMA KUANZISHA VYUO VIKUU VYA KIISLAMH BALI KINACHOFANYA WAISLAMU TUSISONGEMBELE NI UBINAFSI NA ROHO MBAYA BAINA YETU WENYEWE WAISLAMU.
 
Wenzio wanawaza kuchinja wakristo ili wakfka pepon wapewe wanawake bikra 72 kwa kila mwanaume na mito ya gongo na wanzuki we unawaambia mambo ya duniani, sasa hivi utaambiwa unaleta udini.
 
Wenzio wanawaza kuchinja wakristo ili wakfka pepon wapewe wanawake bikra 72 kwa kila mwanaume na mito ya gongo na wanzuki we unawaambia mambo ya duniani, sasa hivi utaambiwa unaleta udini.
Duh
 
Back
Top Bottom