Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

Issue ni waislanu wenyewe mzee wangu Ahmad Rajab Mabira alipambana sana hadi iko chuo cha MUM morogorogo kujengwa mwisho wa siku wenzake wakamsaliti na kuandikwa wao.

Akasema famili lah akaanza kupambania kijengwe chuo kingine cha kislamu aliandaa ramani kama zote amezunguka sana bakwata,maprofessor ote wakubwa wa kiislamu unaowajua wewe ameshakwenda kupeleka hiyo proporsal kwa ajili ya uanzishwaji wa chuo kingine cha waislamu.

Tumeshaenda sana kwa marais na mawaziri ote wakiislamu unaowajua wewe lakini mwisho wa siku hakuna kipya zaidi ya kupewa tu matumaini, japokuwa waislamu chanika walijitolea kumpa hekari 100 ya ardhi lakini hakuna alikopsta msaada mpaka anafariki.

Napozungumza hapa nyumban kuna ramana kibao za vyo vikuu kuna documents kibao na namba kibao za viongozi ambao alikuwa anawasiliana nao mwisho wa siku ni ahadi hewa.

MIMI NIKIWA KAMA MUISLAMU NILICHOJIFUNZA KUPITIA MZEE NI KWAMBA HAKUNA HAJA YA KUILAUMU SERIKALI KUHUSU KUPATA AMA KUANZISHA VYUO VIKUU VYA KIISLAMH BALI KINACHOFANYA WAISLAMU TUSISONGEMBELE NI UBINAFSI NA ROHO MBAYA BAINA YETU WENYEWE WAISLAMU.
Polen sana kaka
 
WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo nyumanyuma.

2. Hivi Watibeli ambao ni waislam Ninyi huko mliko hamna hisia za aibu?

3. Unajua kuna wakati nikiwatazama waislam naishia kuwahurumia tuu. Mbona mnapenda fedheha? Kwa nini mnajiabisha hivi? Kwa nini mnauaibisha uislam.

4. Quran ni Moja ya vitabu vinavyosisitiza Elimu. Tena inakuambia muifate hata kama ni china kwamba hata kama ni mbali kiasi gani. Elimu ni muhimu kwa muislam na uislam.

5. Kuna MTU atasema ni elimu akhera nope! Muktadha wa Quran ilimaanisha elimu ya dunia. Ndio maana china ilitajwa na china kwa wakati huo hapakuwa na elimu akhera. So kutajwa kwa china kimantiki kunarejelea maana mobility, yakwanza nilisema umbali. Lakini ya pili, ni tafsiri ya elimu dunia.

6. Uislam unamhitaji mtu awe na elimu ya dini (akhera) na elimu ya kidunia.

7. Hayo yote waislam wanayajua. Lakini utashangaa watu wanaojua umuhimu wa elimu wanashindwa kujenga chuo kikuu chao wenyewe mpaka wapewe. Ni fedheha kwa kweli.

8. Hivi waislam ni wakushindwa kujenga chuo kikuu mpaka na Wasabato?

9. Kwenye matajiri top 50 nchi yetu hii asilimia 80% ni waislam.

10. Wafanyabiashara karibu wote wakubwa Ile top 20 asilimia 80% ni waislam.

11. Lakini mpaka wa Leo waislam hawana hata chuo kikuu hata kimoja walichojenga wao wenyewe kwa nguvu zao wenyewe

12. Mnatia aibu bhana. Yaani ni fedheha kubwa. Lazima tuwachane ukweli ili muone hasira ya kufanya kitu.

13. Alafu ukiambiwa ni Dini ya pili kwa ukubwa Tanzania yenye waumini wengi hapo ndipo unaweza kuwadharau waislam wa Tanzania.

14. Dini yenye waumini wengi mnashindwa kuchanga pesa waislam wote mkajenga chuo kikuu chenu.

15. Au mnasubiri mpewe chuo kikuu kingine? Semeni SASA maana unaweza kuta ndio plan hiyo.

16. BAKWATA ninyi mpo mpo tuu. Haiwaumi kuona waislam hawana chuo hata kimoja walichojenga wao wenyewe? Hilo haliwaumi? Kweli?
Maana kimsingi waislam hawajawahi kuwa na chuo kikuu chao wenyewe hapa Tanzania

17. Hivi mtajivunia na kitu cha kupewa? Yaani upewe nyumba au gari ndio utambe nalo. Miaka nenda Rudi unashindwa kununua gari lako mwenyewe kwa jasho lako mwenyewe, unajivunia gari la kupewa?

18. Wanasema nguo ya kusitiri haistiri. Na huo ni ukweli ndugu zangu.

19. Embu fanyeni mafekeche fekeche muondoe aibu hiyo. Ni aibu. Yaani sheikhe mzima hata akihutubia akifika kwenye vyuo vikuu vya kiislam lazima ajihisi ubaridi. Atasema chuo cha kupewa sio. Come on.

20. Msilete visingizio vyenu. Jengeni vyuo vikuu. Wafanyeni waislam wa siku zijazo wawe proudly na nyie.

21. Wafanyeni wasio waislam wawaige na kuwaheshimu. Wawe proudly na dini yenu hata kama sio dini yao.

22. Jengeni wenyewe kwa jasho lenu. Vyakupewa vinadhalilisha.

23. Alafu kwa nini mpewe? Yaani ninyi ni walemavu? Ninyi ni maskini? Ninyi mnashida ipi? Nawauliza ninyi mnamatatizo yepi?

24. Mbona Mimi nawaona mnajiweza. Ninandugu na marafiki waislam wanajiweza, wasomi, marajiri na wengine ni viongozi wa serikalini. Sasa shida nini?

25. Msijesema kuna watu wanawakwamisha. Acheni visingizio. Mpo wengi, mnanguvu, nani anawakwamisha? Acheni visingizio.

26. Mkiendekeza visingizio mtashangaa mnabaki na chip hikohiko kimoja tena chakupewa.

27. Sio ajabu akatokea mtu mwingine akasema nawapa majengo Fulani kuwa chuo kikuuu cha kiislam.

28. Msiendekeze kupewa pewa. Semeni Sisi waislam, Kwa sadaka zetu hizihizi bukubuku tunaenda kujenga chuo chetu wenyewe kwa uwezo wa Allah.

29 Andaeni mpango waislam wakutoa pesa wapo. Lakini jiepusheni na mambo ya kupewa pewa. Yanafedhehesha.
Wote mshiriki kujenga. Kila mtu kwa uwezo wake. Wakristo wao sadaka zao zinagawanywa kulingana na miradi na malengo ya kanisa mwaka husika.

30. Nimemaliza. Mwenye hasira aje Kesho tupigane.

Sabato NJEMA.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hiyo elimu ya wakristo imewasaidia nini Labda kuiweka CCM madarakani kwa kuuwa watu na kuiba kura. Nchi hata mswaki imeshindwa kuutengeneza .
 
Halaf licha ya vyuo vyote hivyo GOLOLI ZA KUCHEZEA WATOTO MSOKO TUNAAGIZA CHINA

Tetetete😄😄😄😄
 
Hakuna sehemu yoyote katika Qur'an ambayo imetuambia tukatafute Elimu mpaka CHINA.

Vijana acheni kuandika mambo msiyo kuwa na Elimu nayo. Mnapotea nyinyi na mnawapoteza wajinga wenzenu.
 
Hiyo Aya ipo kwenye hadithi mkuu.
Lakini haiondoi hoja yangu hapo
Umekielewa uliyo chokiandika ?

Aya ipo kwenye hadithi ndio nini ?

Hiyo ni hadithi ni dhaifu au imechomekwa, sababu ndani yake yupo msimuliaji aitwae Abu 'Atikah Tarif bin Sulaiman huyu ni dhaifu, bali hadithi sahihi imenukuliwa na Imam Ibn Majah katika Sunani yake, inayosema ya kuwa "Kutafuta Elimu ni lazima kwa kila muislamu mwanamme na muislamu Mwanamke."
 
Na hicho chuo wanatandika bakora 😂😂 Ndio maana wengi wanajazana vyuo wa wakristo wasio na shida hata kama huna dini
 
Wajenge chuo kwa akili zipi walizonazo? Misikiti tu wanajengewa na misaada ya waarabu toka nje, utoaji sadka zao ni mbinde wanatoa hadi mia mbili, hawana moyo wa utoaji ni wachoyo na wabinafsi. Vishule walivyo nao wameiga kwa wakristo, wao na shule wapi na wapi? Angalia hawana vyuo vya ufundi hadi sasa, wao ni kujengewa misikiti tu ndio kipaumbele chao, sijui watampata nani akaswali miaka hii ya zama za GEN Z hawamuelewi allah wanayomhubiri!
 
Vyuo vikuu? labda vyuo vya kati kama ualimu hivyo wanavyo kadhaa ila si vingi. sijawahi kuona chuo cha tiba na vyuo vya ufundi vya waislam, naona misikiti tu mpaka kando ya barabara porini huko vijijini na sijui nani anaswali kwenye vimisikiti hivyo vilivyojengwa kwa msaada wa waarabu tena kwenye maeneo yasiyo na waislam. Wako nyuma ya wakati dunia ilipofika
 
WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo nyumanyuma.

2. Hivi Watibeli ambao ni waislam Ninyi huko mliko hamna hisia za aibu?

3. Unajua kuna wakati nikiwatazama waislam naishia kuwahurumia tuu. Mbona mnapenda fedheha? Kwa nini mnajiabisha hivi? Kwa nini mnauaibisha uislam.

4. Quran ni Moja ya vitabu vinavyosisitiza Elimu. Tena inakuambia muifate hata kama ni china kwamba hata kama ni mbali kiasi gani. Elimu ni muhimu kwa muislam na uislam.

5. Kuna MTU atasema ni elimu akhera nope! Muktadha wa Quran ilimaanisha elimu ya dunia. Ndio maana china ilitajwa na china kwa wakati huo hapakuwa na elimu akhera. So kutajwa kwa china kimantiki kunarejelea maana mobility, yakwanza nilisema umbali. Lakini ya pili, ni tafsiri ya elimu dunia.

6. Uislam unamhitaji mtu awe na elimu ya dini (akhera) na elimu ya kidunia.

7. Hayo yote waislam wanayajua. Lakini utashangaa watu wanaojua umuhimu wa elimu wanashindwa kujenga chuo kikuu chao wenyewe mpaka wapewe. Ni fedheha kwa kweli.

8. Hivi waislam ni wakushindwa kujenga chuo kikuu mpaka na Wasabato?

9. Kwenye matajiri top 50 nchi yetu hii asilimia 80% ni waislam.

10. Wafanyabiashara karibu wote wakubwa Ile top 20 asilimia 80% ni waislam.

11. Lakini mpaka wa Leo waislam hawana hata chuo kikuu hata kimoja walichojenga wao wenyewe kwa nguvu zao wenyewe

12. Mnatia aibu bhana. Yaani ni fedheha kubwa. Lazima tuwachane ukweli ili muone hasira ya kufanya kitu.

13. Alafu ukiambiwa ni Dini ya pili kwa ukubwa Tanzania yenye waumini wengi hapo ndipo unaweza kuwadharau waislam wa Tanzania.

14. Dini yenye waumini wengi mnashindwa kuchanga pesa waislam wote mkajenga chuo kikuu chenu.

15. Au mnasubiri mpewe chuo kikuu kingine? Semeni SASA maana unaweza kuta ndio plan hiyo.

16. BAKWATA ninyi mpo mpo tuu. Haiwaumi kuona waislam hawana chuo hata kimoja walichojenga wao wenyewe? Hilo haliwaumi? Kweli?
Maana kimsingi waislam hawajawahi kuwa na chuo kikuu chao wenyewe hapa Tanzania

17. Hivi mtajivunia na kitu cha kupewa? Yaani upewe nyumba au gari ndio utambe nalo. Miaka nenda Rudi unashindwa kununua gari lako mwenyewe kwa jasho lako mwenyewe, unajivunia gari la kupewa?

18. Wanasema nguo ya kusitiri haistiri. Na huo ni ukweli ndugu zangu.

19. Embu fanyeni mafekeche fekeche muondoe aibu hiyo. Ni aibu. Yaani sheikhe mzima hata akihutubia akifika kwenye vyuo vikuu vya kiislam lazima ajihisi ubaridi. Atasema chuo cha kupewa sio. Come on.

20. Msilete visingizio vyenu. Jengeni vyuo vikuu. Wafanyeni waislam wa siku zijazo wawe proudly na nyie.

21. Wafanyeni wasio waislam wawaige na kuwaheshimu. Wawe proudly na dini yenu hata kama sio dini yao.

22. Jengeni wenyewe kwa jasho lenu. Vyakupewa vinadhalilisha.

23. Alafu kwa nini mpewe? Yaani ninyi ni walemavu? Ninyi ni maskini? Ninyi mnashida ipi? Nawauliza ninyi mnamatatizo yepi?

24. Mbona Mimi nawaona mnajiweza. Ninandugu na marafiki waislam wanajiweza, wasomi, marajiri na wengine ni viongozi wa serikalini. Sasa shida nini?

25. Msijesema kuna watu wanawakwamisha. Acheni visingizio. Mpo wengi, mnanguvu, nani anawakwamisha? Acheni visingizio.

26. Mkiendekeza visingizio mtashangaa mnabaki na chip hikohiko kimoja tena chakupewa.

27. Sio ajabu akatokea mtu mwingine akasema nawapa majengo Fulani kuwa chuo kikuuu cha kiislam.

28. Msiendekeze kupewa pewa. Semeni Sisi waislam, Kwa sadaka zetu hizihizi bukubuku tunaenda kujenga chuo chetu wenyewe kwa uwezo wa Allah.

29 Andaeni mpango waislam wakutoa pesa wapo. Lakini jiepusheni na mambo ya kupewa pewa. Yanafedhehesha.
Wote mshiriki kujenga. Kila mtu kwa uwezo wake. Wakristo wao sadaka zao zinagawanywa kulingana na miradi na malengo ya kanisa mwaka husika.

30. Nimemaliza. Mwenye hasira aje Kesho tupigane.

Sabato NJEMA.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Hawa muda wote wanaosha matako, wanasali mara sita kwa siku, lakini wana maisha ya ovyo, hawathamini kazi, wanategemea vitu vya kupewa tu. Ni wagumu wa kuelewa na wepesi wa kusahau. Wanachoshindwa kuelewa, wanavyoona kule Saudi Arabia hao Royal Family wapo wanakaa na makanzu yao hawajui wale ni royal, wengine wengi wana maisha msoto mno na wanategemea tokens kutoka kwenye serikali. Wenzao UAE wameshtuka na wameona kuwa wafanye angalau kazi wasitegemee mafuta (Na sasa kuna magari ya umeme, na LPG hayo mafuta yatakuwa hayana value, tutaona anguko lao). Kwanza hicho chuo cha TANESCO ni cha serikali kinatakiwa kirudi kwa wananchi, hizo ni kodi zetu, si za waislaam tu, wajenge vyuo vyao wenyewe.
 
Hujafika Tanga wewe.
Hapa Tanga mjini kuna vyuo vikuu 2 vya waislamu tangu enzi na enzi.
1. TAMTA
2. ZAH RAU
 
Issue ni waislanu wenyewe mzee wangu Ahmad Rajab Mabira alipambana sana hadi iko chuo cha MUM morogorogo kujengwa mwisho wa siku wenzake wakamsaliti na kuandikwa wao.

Akasema famili lah akaanza kupambania kijengwe chuo kingine cha kislamu aliandaa ramani kama zote amezunguka sana bakwata,maprofessor ote wakubwa wa kiislamu unaowajua wewe ameshakwenda kupeleka hiyo proporsal kwa ajili ya uanzishwaji wa chuo kingine cha waislamu.

Tumeshaenda sana kwa marais na mawaziri ote wakiislamu unaowajua wewe lakini mwisho wa siku hakuna kipya zaidi ya kupewa tu matumaini, japokuwa waislamu chanika walijitolea kumpa hekari 100 ya ardhi lakini hakuna alikopsta msaada mpaka anafariki.

Napozungumza hapa nyumban kuna ramana kibao za vyo vikuu kuna documents kibao na namba kibao za viongozi ambao alikuwa anawasiliana nao mwisho wa siku ni ahadi hewa.

MIMI NIKIWA KAMA MUISLAMU NILICHOJIFUNZA KUPITIA MZEE NI KWAMBA HAKUNA HAJA YA KUILAUMU SERIKALI KUHUSU KUPATA AMA KUANZISHA VYUO VIKUU VYA KIISLAMH BALI KINACHOFANYA WAISLAMU TUSISONGEMBELE NI UBINAFSI NA ROHO MBAYA BAINA YETU WENYEWE WAISLAMU.
Hapo waliokwamisha ni Bakwata aisee sijui wana shida gani hao watu...
 
Ni ukweli usiopingika watanzania wengi wanaoshi na kufanyakazi nje ya nchi ni wasomi waislamu
Nenda UK, US na nchi nyingi za Europe, Hawa wao wameamua kulowea huko, na wengi ni madaktari, engineers na wataalamu wa teknohama, tembea dunia. Ujionee, sio unajificha Burundi maisha yako yote
Kila mtu anatafisiri yake kichwani
 
Back
Top Bottom