Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

Waislam watanzania licha ya Quran kuwaambia waitafute elimu mpaka mchina lakini mpaka Leo Wana chuo kikuu kimoja tena chakupewa

Kutafuta Elim sio kipaumbele cha Uislam.

Mtume mwenyewe hakuwa anajua kusoma wala kuandika.
Ww ujue kwanini?.
Usilete ulevi wa mvinyo jamvini, nani amekuambia sio kipaumbele ilihali mleta mada ameeleza Qur'an inasema nini kuhusu elimu?
 
Usilete ulevi wa mvinyo jamvini, nani amekuambia sio kipaumbele ilihali mleta mada ameeleza Qur'an inasema nini kuhusu elimu?

Haiko kwenye Quran.

Iko kwenye hadithi.
Tena kwenye Kundi ya Hadith wanazoziita dhaifu.

Elimu haikuwa kipaumbele kwa Waislam.

Ukishajua kukariri msaafu tu. Bas inatosha. (Bila hata kujua maana ya yale maneno ya kiarabu).
 
Tumeishaitafuta elimu kwenye vyuo vyenu vingi inatosha. Tumeambiwa tuitafute elimu sio tujenge vyuo.
 
Niliwai kukutana na muislam, according maelezo yake ana elimu kubwa (kamaliza juzuu zote na anazirudia )

Aliniambia hii elimu ya wazungu tuliyoletewa ndio imefanya tuwe masikini na wajinga. Mtu ambae hajasoma anakua mbishi sana na hauwezi kumdanganya kirahisi ila wasomi ni rahisi kuwadanganya na wanakubali vitu kirahisi

Niliishia kusikitika tu

Kwaio mtibeli nikichukua wazo lako au uzi wako kama ulivyo nikimpelekea sijui kama tutaelewana
 
Bro kama serikali ya awamu ya kwanza isingewaingilia kwenye mipango yao waislamu wangekuwa wa kwanza kuwa na chuo kikuu chao Tanzania. Usidhani ni wajinga hawa jamaa. Walivurugwa mno. Hiyo bakwata waliundiwa na serikali ambayo imetumika sana kuwadhibiti waislamu wenye akili. Imagine sisi wakristo tuundiwe chombo chetu na serikali ambayo yenyewe haina dini? TUSIWALAUMU KWENYE HILO.
 
Wazee wa ilimu duniya

Hao kuhusu elimu kwao sio kipaumbele kitu cha muhimu n kumfungulia mashataka katibu wa TEC fr kitima eti anamnyanyasa rais muislamu sa100

Japo wapo waislamu wachache wenye maono lakn hawapewi nafas katika jamii yao na mara nyingi huonekana n wapinga uislamu
 
Kama hiyo elimu wakiitaka wanaipata sehemu yoyote nchini shida ipo wapi?

Tambua vyuo ni biashara watu wanaingia wanalipa pesa sasa waislam wamejikita kwenye biashara zingine sio lazima washinde na wakristo kwenye hiyo biashara

Lakini pia serikali imejenga vyuo vingi tu kwa ajili ya watanzania wote kwa hiyo wanapata elimu kwa mapenzi mema kutoka kwenye serikali yao

Ningeshangaa kama umesema hawataki kusoma, kumbe kitabu kinapigwa kama kawaida

Tuache udini sio mzuri
 
Bro kama serikali ya awamu ya kwanza isingewaingilia kwenye mipango yao waislamu wangekuwa wa kwanza kuwa na chuo kikuu chao Tanzania. Usidhani ni wajinga hawa jamaa. Walivurugwa mno. Hiyo bakwata waliundiwa na serikali ambayo imetumika sana kuwadhibiti waislamu wenye akili. Imagine sisi wakristo tuundiwe chombo chetu na serikali ambayo yenyewe haina dini? TUSIWALAUMU KWENYE HILO.
Lakini hiyo awamu ndio ilitoa eneo lote la keko ili kuanzisha chuo kikuu ila baadae eneo likaanza kuuzwa na viongozi wa Bakwata ndio mpaka leo Sheikh Ponda anapigania eneo lirudishwe.
 
WAISLAM WATANZANIA LICHA YA QURAN KUWAAMBIA WAITAFUTE ELIMU MPAKA CHINA LAKINI MPAKA LEO WANA CHUO KIKUU KIMOJA TENA CHAKUPEWA. MNATIA AIBU BHANA! PYEE!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Leo acha niwavae hawa ndugu maana bila kuwachana wataendelea kuwa hivihivi wamezubaa au wapo nyumanyuma.

2. Hivi Watibeli ambao ni waislam Ninyi huko mliko hamna hisia za aibu?

3. Unajua kuna wakati nikiwatazama waislam naishia kuwahurumia tuu. Mbona mnapenda fedheha? Kwa nini mnajiabisha hivi? Kwa nini mnauaibisha uislam.

4. Quran ni Moja ya vitabu vinavyosisitiza Elimu. Tena inakuambia muifate hata kama ni china kwamba hata kama ni mbali kiasi gani. Elimu ni muhimu kwa muislam na uislam.

5. Kuna MTU atasema ni elimu akhera nope! Muktadha wa Quran ilimaanisha elimu ya dunia. Ndio maana china ilitajwa na china kwa wakati huo hapakuwa na elimu akhera. So kutajwa kwa china kimantiki kunarejelea maana mobility, yakwanza nilisema umbali. Lakini ya pili, ni tafsiri ya elimu dunia.

6. Uislam unamhitaji mtu awe na elimu ya dini (akhera) na elimu ya kidunia.

7. Hayo yote waislam wanayajua. Lakini utashangaa watu wanaojua umuhimu wa elimu wanashindwa kujenga chuo kikuu chao wenyewe mpaka wapewe. Ni fedheha kwa kweli.

8. Hivi waislam ni wakushindwa kujenga chuo kikuu mpaka na Wasabato?

9. Kwenye matajiri top 50 nchi yetu hii asilimia 80% ni waislam.

10. Wafanyabiashara karibu wote wakubwa Ile top 20 asilimia 80% ni waislam.

11. Lakini mpaka wa Leo waislam hawana hata chuo kikuu hata kimoja walichojenga wao wenyewe kwa nguvu zao wenyewe

12. Mnatia aibu bhana. Yaani ni fedheha kubwa. Lazima tuwachane ukweli ili muone hasira ya kufanya kitu.

13. Alafu ukiambiwa ni Dini ya pili kwa ukubwa Tanzania yenye waumini wengi hapo ndipo unaweza kuwadharau waislam wa Tanzania.

14. Dini yenye waumini wengi mnashindwa kuchanga pesa waislam wote mkajenga chuo kikuu chenu.

15. Au mnasubiri mpewe chuo kikuu kingine? Semeni SASA maana unaweza kuta ndio plan hiyo.

16. BAKWATA ninyi mpo mpo tuu. Haiwaumi kuona waislam hawana chuo hata kimoja walichojenga wao wenyewe? Hilo haliwaumi? Kweli?
Maana kimsingi waislam hawajawahi kuwa na chuo kikuu chao wenyewe hapa Tanzania

17. Hivi mtajivunia na kitu cha kupewa? Yaani upewe nyumba au gari ndio utambe nalo. Miaka nenda Rudi unashindwa kununua gari lako mwenyewe kwa jasho lako mwenyewe, unajivunia gari la kupewa?

18. Wanasema nguo ya kusitiri haistiri. Na huo ni ukweli ndugu zangu.

19. Embu fanyeni mafekeche fekeche muondoe aibu hiyo. Ni aibu. Yaani sheikhe mzima hata akihutubia akifika kwenye vyuo vikuu vya kiislam lazima ajihisi ubaridi. Atasema chuo cha kupewa sio. Come on.

20. Msilete visingizio vyenu. Jengeni vyuo vikuu. Wafanyeni waislam wa siku zijazo wawe proudly na nyie.

21. Wafanyeni wasio waislam wawaige na kuwaheshimu. Wawe proudly na dini yenu hata kama sio dini yao.

22. Jengeni wenyewe kwa jasho lenu. Vyakupewa vinadhalilisha.

23. Alafu kwa nini mpewe? Yaani ninyi ni walemavu? Ninyi ni maskini? Ninyi mnashida ipi? Nawauliza ninyi mnamatatizo yepi?

24. Mbona Mimi nawaona mnajiweza. Ninandugu na marafiki waislam wanajiweza, wasomi, marajiri na wengine ni viongozi wa serikalini. Sasa shida nini?

25. Msijesema kuna watu wanawakwamisha. Acheni visingizio. Mpo wengi, mnanguvu, nani anawakwamisha? Acheni visingizio.

26. Mkiendekeza visingizio mtashangaa mnabaki na chip hikohiko kimoja tena chakupewa.

27. Sio ajabu akatokea mtu mwingine akasema nawapa majengo Fulani kuwa chuo kikuuu cha kiislam.

28. Msiendekeze kupewa pewa. Semeni Sisi waislam, Kwa sadaka zetu hizihizi bukubuku tunaenda kujenga chuo chetu wenyewe kwa uwezo wa Allah.

29 Andaeni mpango waislam wakutoa pesa wapo. Lakini jiepusheni na mambo ya kupewa pewa. Yanafedhehesha.
Wote mshiriki kujenga. Kila mtu kwa uwezo wake. Wakristo wao sadaka zao zinagawanywa kulingana na miradi na malengo ya kanisa mwaka husika.

30. Nimemaliza. Mwenye hasira aje Kesho tupigane.

Sabato NJEMA.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Quran gani inayowataka waislam waitafute elimu hata kama ni mpaka uchina!?..acha kujifanya kujua
Hao wakristo wenye vyuo vingi walijenga hivyo vyuo Ili watafute elimu au pesa?.. waislam hawasomi kwenye hivyo vyuo vya wakristo?
Serikali haina taasisi za elimu?
 
Back
Top Bottom