The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,475
- 12,281
Umeongea kwa uchungu wenye ukweli ndani yakeDini zinatengenezwa na watu wenye nguvu ili kutawala wanyonge.
Kwahyo inashangaza sana pale napoona mbwa analalamika kwanini mmiliki wake havai mnyororo shingoni kama yeye.
Wafia dini na wenye akili pungufu ndo dini inawasumbua zaidi kila kukikcha....Dini zinatengenezwa na watu wenye nguvu ili kutawala wanyonge.
Kwahyo inashangaza sana pale napoona mbwa analalamika kwanini mmiliki wake havai mnyororo shingoni kama yeye.
Miislam mieusii tii kina adriz Ritz Makebo na Munch wa Annabelle eti itamaindi na misijdah yao mikubwa kama chapati kwenye paji zao nyeusi.View attachment 3559323
Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed.
Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati kutokana na kuongezeka kwa operesheni za kijeshi. Viongozi hao walielezea wasiwasi wao juu ya athari kubwa zinazoweza kutokea kwa amani na utulivu wa kikanda, huku wakilaani kile walichokitaja kama uchokozi wa Iran unaolenga nchi za jirani. Walisisitiza kuwa vitendo hivyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi, sheria za kimataifa, na tishio la moja kwa moja kwa usalama wa ulimwengu.
View attachment 3559322
Hata hivyo, picha za mkutano huu zimezua mjadala mpana na hisia mseto miongoni mwa Waislamu kote duniani, hasa ikizingatiwa kuwa ziara hii imefanyika katika kipindi kitukufu cha mwezi wa Ramadhani. Kuonekana kwa viongozi hao wakiwa mbele ya meza yenye vyakula na vinywaji wakati wa mchana kumeibua maswali na ukosoaji kwenye majukwaa ya kijamii. Kwa waumini wengi, kitendo hicho kimeonekana kwenda kinyume na heshima ya faradhi ya saumu, ambayo ni nguzo muhimu ya Kiislamu inayowataka waumini kujizuia na kula au kunywa tangu alfajiri hadi machweo.
View attachment 3559324
Maono ya Waislamu wengi mtandaoni yameakisi mshangao na wakati mwingine masikitiko, wakijaribu kupatanisha nafasi ya viongozi hawa kama walezi wa maeneo na tamaduni za Kiislamu na taswira ya kutofunga hadharani. Ingawa kuna mazingira ya kisheria (kama vile safari) yanayoweza kumruhusu Muislamu kufungua, wengi wamehoji busara ya kuweka picha hizo hadharani, wakihisi kuwa inatuma ujumbe wa kupuuza uzito wa mwezi huu kwa umma wa Kiislamu unaopitia changamoto mbalimbali za kiimani na kisiasa kwa sasa.
View attachment 3559325
Jagina na Adiosamigo wakiona hii watamindView attachment 3559323

Kama dhambi zinakuwa za kwao peke yao hao wengine makasiriko ni ya nini? Ingekuwa kula kwao kuwasababishia Waislamu wote kupata dhambi makasiriko yao yangekuwa na tija.Mjadala mkali unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa waislamu kuchukizwa kwa viongozi wa nchi za Ghuba kuonekana kula na kunywa mchana wakati wa mfungo.
Ukizingatia nchi hizo zinasheria kali zimeweka watu kutokula mchana wakati wa Ramadhan.
Kitendo hicho kimeeauma na kuwakasirisha waislamu wengi.
Mijadala mengine ambayo ilishawahi kuibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa kutoka Asia na Afrika ni wasichana wadogo walivyomchezea Trump nywele zao bila hijab. Kitendo kilichowafanya hadi waislamu weusi tii Afrika kushikwa na ghadhabu kali.
View attachment 3559711
adriz de mbusii
Wenye dini ni kina nani?Cha ajabu mtu wa buza, kinyeto, buhigwe, machame, kabuku anaumia wakati wenye dini wanakula mchana na hakuna dhambi. Waafrika waamke watoke kwenye blanketi la uislam, wanapumbazwa
hiyo haijaletwa na mtoa mada ni habari iliyopo kwenye vyombo vya habari, upoMtoa mada ni loose nut hafahamu chochote kuhusu dini isipokuwa bangi