Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

Waislamu duniani wawacharukia viongozi wa falme za kiarabu baada ya kuonekana kutokuzingatia mfungo wa Ramadhan

Hao waarabu wa falme za kiarabu ndo hasa wenye hiyo dini.

Utashangaa mdengereko mmoja wa Tandale kwa Mpalange ambaye hata kiarabu hajui, anashinda njaa na kulalamikia hao wenye dini kwanini hawakai na njaa kutwa nzima kama yeye
Nani Alikuambia waarabu wa falme Za kiarabu wanamiliki dini ya uislamu?
 
View attachment 3559323

Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed.

Mazungumzo yao yalijikita zaidi katika hali tete ya kiusalama inayozidi kuzorota katika ukanda wa Mashariki ya Kati kutokana na kuongezeka kwa operesheni za kijeshi. Viongozi hao walielezea wasiwasi wao juu ya athari kubwa zinazoweza kutokea kwa amani na utulivu wa kikanda, huku wakilaani kile walichokitaja kama uchokozi wa Iran unaolenga nchi za jirani. Walisisitiza kuwa vitendo hivyo ni ukiukaji wa mamlaka ya nchi, sheria za kimataifa, na tishio la moja kwa moja kwa usalama wa ulimwengu.
View attachment 3559322

Hata hivyo, picha za mkutano huu zimezua mjadala mpana na hisia mseto miongoni mwa Waislamu kote duniani, hasa ikizingatiwa kuwa ziara hii imefanyika katika kipindi kitukufu cha mwezi wa Ramadhani. Kuonekana kwa viongozi hao wakiwa mbele ya meza yenye vyakula na vinywaji wakati wa mchana kumeibua maswali na ukosoaji kwenye majukwaa ya kijamii. Kwa waumini wengi, kitendo hicho kimeonekana kwenda kinyume na heshima ya faradhi ya saumu, ambayo ni nguzo muhimu ya Kiislamu inayowataka waumini kujizuia na kula au kunywa tangu alfajiri hadi machweo.

View attachment 3559324
Maono ya Waislamu wengi mtandaoni yameakisi mshangao na wakati mwingine masikitiko, wakijaribu kupatanisha nafasi ya viongozi hawa kama walezi wa maeneo na tamaduni za Kiislamu na taswira ya kutofunga hadharani. Ingawa kuna mazingira ya kisheria (kama vile safari) yanayoweza kumruhusu Muislamu kufungua, wengi wamehoji busara ya kuweka picha hizo hadharani, wakihisi kuwa inatuma ujumbe wa kupuuza uzito wa mwezi huu kwa umma wa Kiislamu unaopitia changamoto mbalimbali za kiimani na kisiasa kwa sasa.

View attachment 3559325

UAE President and King of Jordan discuss regional developments and implications for security and stability​

  • Monday, March 16, 2026 9:59 PM
  • 3 minutes Reading
edl023xy1ka1qa1pn.jpg

num023xz1ka1qa1pn.jpg

lot023y01ka1qa1pn.jpg

33y023y11ka1qa1pn.jpg

vku023y21ka1qa1pn.jpg

edl023xy1ka1qa1pd.jpg

num023xz1ka1qa1pd.jpg

lot023y01ka1qa1pd.jpg

33y023y11ka1qa1pd.jpg


ABU DHABI, 16th March, 2026 (WAM) -- UAE President His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan today received His Majesty King Abdullah II bin Al Hussein of the Hashemite Kingdom of Jordan.

The meeting was attended by His Highness Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum, Vice President, Prime Minister and Ruler of Dubai, and His Highness Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan, Vice President, Deputy Prime Minister, and Chairman of the Presidential Court.

His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed and His Majesty King Abdullah II, who is on a fraternal visit to the UAE, exchanged greetings and best wishes ahead of Eid Al-Fitr, wishing continued wellbeing, prosperity, and stability for their countries and peoples.

During the meeting, His Highness and the King of Jordan discussed regional developments in light of the escalating military situation and the serious implications it poses for security and stability in the region.

The meeting also addressed the continued Iranian aggression targeting countries in the region, which constitutes a violation of sovereignty and international law and norms and represents a threat to international peace and security.

In this context, His Majesty King Abdullah II reaffirmed Jordan’s solidarity with the UAE regarding all measures it is taking to defend its sovereignty and security and ensure the safety of its people.

His Highness Sheikh Mohamed bin Zayed also affirmed the UAE’s solidarity with Jordan in confronting the Iranian attacks targeting its sovereignty and security.

Both sides underscored the importance of an immediate halt to the escalating military actions and the need to prioritise dialogue and diplomacy to address outstanding issues in the region in a way that preserves security and prevents further tensions and crises.

The meeting also reviewed the fraternal relations and cooperation between the UAE and Jordan, with both sides emphasising their commitment to continued coordination in a manner that serves their developmental priorities and mutual interests and benefits their peoples.

Attending the meeting were H.H. Sheikh Hamdan bin Mohammed bin Rashid Al Maktoum, Crown Prince of Dubai, Deputy Prime Minister and Minister of Defence; H.H. Sheikh Maktoum bin Mohammed bin Rashid Al Maktoum, First Deputy Ruler of Dubai, Deputy Prime Minister and Minister of Finance; H.H. Sheikh Ahmed bin Mohammed bin Rashid Al Maktoum, Second Deputy Ruler of Dubai; H.H. Sheikh Hamdan bin Mohammed bin Zayed Al Nahyan, Deputy Chairman of the Presidential Court for Special Affairs; H.H. Sheikh Ahmed bin Saeed Al Maktoum, President of the Dubai Civil Aviation Authority, Chairman of Dubai Airports, and Chairman and Chief Executive of Emirates Airline and Group; Sheikh Mohammed bin Hamad bin Tahnoun Al Nahyan, Adviser to the UAE President; Lieutenant General Issa Saif bin Ablan Al Mazrouei, Chief of Staff of the UAE Armed Forces; along with a number of sheikhs, ministers and senior officials.

The meeting was also attended by the accompanying delegation of His Majesty the King of Jordan during the visit.

His Majesty King Abdullah II arrived earlier in the UAE and was received at Al Maktoum International Airport in Dubai by His Highness Sheikh Mansour bin Zayed Al Nahyan, Humaid Obaid Khalifa Obaid Abushibs, President of the UAE Accountability Authority, and a number of senior officials
 
Sasa ninyi waafrika mnakwakoromea waarabu wenye dini yao mnaifahamu kuiliko wao? Au mmekariri uongo wa akina sultan sayid sayyid na akina barakesh waliouleta ili waweze kuwatawala vizuri na kuwauza utumwani?
 
Wewe unaona ni sahihi Iran wapigwe huku wamekaa kimya kwa sababu ya uislamu? Waislamu ndio wanaruhusiwa kukaa kimya huku wakipigwa?
Ndio kwa sababu ni amri na ina baraka zake.

Alafu mbona unajina la mtume Paulo kuwatetea kina abdul umeanza lini?
Na jambo la uzee lifikirie kwenye mijadala tutakutukana wakati umri wako ni mkubwa utupe laana
 
Mjadala mkali unaendelea kwenye mitandao ya kijamii kutoka kwa waislamu kuchukizwa kwa viongozi wa nchi za Ghuba kuonekana kula na kunywa mchana wakati wa mfungo.

Ukizingatia nchi hizo zinasheria kali zimeweka watu kutokula mchana wakati wa Ramadhan.

Kitendo hicho kimeeauma na kuwakasirisha waislamu wengi.

Mijadala mengine ambayo ilishawahi kuibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii hasa kutoka Asia na Afrika ni wasichana wadogo walivyomchezea Trump nywele zao bila hijab. Kitendo kilichowafanya hadi waislamu weusi tii Afrika kushikwa na ghadhabu kali.

View attachment 3559711

adriz de mbusii
Nendeni mkawakamate sasa kama mnavyofanya Zanzibar
 
Sasa ninyi waafrika mnakwakoromea waarabu wenye dini yao mnaifahamu kuiliko wao? Au mmekariri uongo wa akina sultan sayid sayyid na akina barakesh waliouleta ili waweze kuwatawala vizuri na kuwauza utumwani?
Uislamu si dini ya waarabu Kama huelewi ni dini ya Allah , na wasio waarabu ndiyo waislamu wengi kuliko waarabu. Uislamu ulikuwepo kabla huyo Barghash unayeambiwa kanisani hajakanyaga hapa. Na hata kabla uislamu kufika kwao uarabuni. Soma historia , msidanganywe na wachungaji watafutaji tonge ya ugali
 
Sasa ninyi waafrika mnakwakoromea waarabu wenye dini yao mnaifahamu kuiliko wao? Au mmekariri uongo wa akina sultan sayid sayyid na akina barakesh waliouleta ili waweze kuwatawala vizuri na kuwauza utumwani?


 
Ndio mjue mmefanywa mazwazwa kuhangaikia huo upuuzi wa Dini. Mnashinda njaa na kujitengemezea vidonda vya tumbo, wenzenu wanakula bata tu.
 
Hao waarabu ndo hasa wenye hiyo dini.

Utashangaa mdengereko mmoja wa Tandale kwa Mpalange ambaye hata kiarabu hajui, anashinda njaa siku nzima na baadaye kulalamikia hao wenye dini yao kwanini hawakai na njaa kutwa nzima kama yeye
Kwani wazungu wote wanafunga kwaresma?
Au aliyekuambia waarabu ni wachamungu kuliko wengine nani?
 
Sasa ninyi waafrika mnakwakoromea waarabu wenye dini yao mnaifahamu kuiliko wao? Au mmekariri uongo wa akina sultan sayid sayyid na akina barakesh waliouleta ili waweze kuwatawala vizuri na kuwauza utumwani?
Wenye dini yao kina nani?

Au wazungu wenye dini ya Kikristo wakileta sheria za kuukubali ushoga kwenye dini yenu na nyinyi mtafuata?
 
Je, Yesu alisema kwamba lazima uwe Mkristo la sivyo utaenda motoni?
Hivi huwa mnajitungia Maswali mtakavyo? Kasome kwanza ukristo ni nini, mnadhania ni ujinga ujinga kama wa Quran.

Kama Hujasoma Biblia utabakia kizani tu. cha kushangaza neno Kristo lipo mmeliiba katika uislam wenu Neno Krisro ni same Al masihah sasa mnavyoushambulia ukristo as if haupo kwenye Quran so ujinga wenu ni zaidi ya upumbavu.

Tattizo la Waislam hata ukimfundisha leo hazizidi dakika tano keshasahau hahaha.
Ukristo ni Ufuasi wa Yesu Biblia inaelezea hata Quran inatambua Ukristo na wafuasi wa Krisro kuwa watakuwa juu yenu waislam nyie hadi kiama (Surah 3:55) Sasa wewe mjinga unaleta dhihaka kwa Allah kuhusu Wakristo masuperman wa waislam.
Kasome hata wikipedia tu kama huna akili then ndio ulete maswali yako ya kizembe kam kuna motoni au hakuna.

The Greek translation of Messiah is Khristós (Χριστός),<a href="Messiah - Wikipedia"><span>[</span>8<span>]</span></a> anglicized as Christ. It occurs 41 times in the Septuagint and 529 times in the New Testament.<a href="Messiah - Wikipedia"><span>[</span>9<span>]</span></a> Christians commonly refer to Jesus of Nazareth as either the "Christ" or the "Messiah", believing that some messianic prophecies were fulfilled in the mission, death, and resurrection of Jesus and that he will return in a second coming to fulfill the rest of messianic prophecies. Moreover, unlike the Judaic concept of the Messiah, Jesus Christ is considered the Son of God, although in the Jewish faith the King of Israel was also metaphorically called the Son of God.

In Islam, Jesus (Arabic: عيسى, romanized: Isa) is held to have been a prophet and the Messiah sent to the Israelites, who will return to Earth at the end of times along with the Mahdi, and defeat al-Masih ad-Dajjal, the false Messiah.<a href="Messiah - Wikipedia"><span>[</span>10<span>]</span></a>
Hapana kabisa.

Yesu aliahidi na kuthibitisha Pepo kwa wale wasiokuwa na imani ya Utatu.


Hakuna hata aya moja katika Agano Jipya ambapo Yesu aliahidi moto wa jehanamu kwa wale wasiokuwa Wakristo.
Kasome Marko - 43;Kama mkono wako ukikusababisha utende dhambi, ukate. Ni afadhali kuingia katika uzima ukiwa na mkono mmoja kuliko kuwa na mikono miwili ukaingia katika moto usiozimika. [ 44;Huko funza hawafi wala moto hauzimiki.] 45&nbsp;Na kama mguu wako ukikusababisha utende dhambi, ukate. Ni afadhali kuingia katika uzima ukiwa kiwete kuliko kuwa na miguu miwili ukaingia katika moto usiozimika. [ 46&nbsp;Huko funza hawafi wala moto hauzimiki.] 47&nbsp;Na kama jicho lako litakusababisha utende dhambi, ling’oe. Ni afadhali kuwa chongo ukaingia katika Ufalme wa Mungu kuliko kuwa na macho mawili ukatupwa Jehena. 48&nbsp;Huko funza hawafi wala moto hauzimiki.
“Na walisema: Hataingia Peponi ila aliyekuwa Yahudi au Mkristo. Hayo ni matamanio yao. Sema: Leteni ushahidi wenu kama nyinyi ni wasema kweli. (Qur’an Tukufu 2:111).
Ushahidi ni maneno ya Yesu alisema hakuna atakae ingia peponi bila kumuamini yeye na kufuata mafundisho yake kwani yeye ndie njia ya kweli na ya pekee Yohana 4:16. na kama Uislam unamuamini Yesu na wafuasi wake na wataingia peponi Quran 2:62 -
إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَالَّذِينَ هَادُوا وَالنَّصَارَىٰ وَالصَّابِئِينَ مَنْ آمَنَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ وَعَمِلَ صَالِحًا فَلَهُمْ أَجْرُهُمْ عِنْدَ رَبِّهِمْ وَلَا خَوْفٌ عَلَيْهِمْ وَلَا هُمْ يَحْزَنُونَ
Al-Barwani
Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

Neno “Mkristo” si neno halali, kwa kuwa hakuna dini iitwayo Ukristo kwa mujibu wa Uislamu.
Wewe ni mpumbavu na sio muislam. na unapingana na waislam wote kumkana Allah na Quran wewe ni kafir Quran - Sasa Quran ikisema Ewe Yesu wafuasi wako watakuwa superio dhidi ya dini zote unataka kusema Allah alikuwa kapiga mvinyo? na aaposema Watu wa Kitabu ni wazazi wako? unajua unapoandika mataputapu si kwamba unafundiha ujinga hakuna musilam anayekuchukulia kama una akili zaidi wanakuona mjinga na mpuuzi, anayekuunga mkono anamtukana Allah na Muhammad. Eti ukristo si neno halal hata maana ya neno Dini(Deen) hujui ni nini! labda nikufute ujinga Dini ni Njia ya life na Yesu alisema yeye ndie Njia ya kweli na uzima hakuna nyingine. sasa Yesu ndie Kristo na wafuasi wake ni wakristo Allah anatambua hilo. Al MASSIAH
Kwa mujibu wa Uislamu, Yesu alikuja na kuhubiri Injili. Wafuasi wa Yesu hawakuitwa Wakristo. Dini zote za Mwenyezi Mungu zilifundisha juu ya Umoja wa Mungu Mmoja, jambo ambalo kwa Kiarabu linamaanisha “Uislamu.”
Hahahahaha pombe kweli sio kitu kizuri. Leo umekubali ummoja wa Miungu hahaha umekubali Mohammad alikusanya miungu ya wapagani Tawheed akasema umoja Ahad hahaha mbona kila tunapowafunza mnabisha au ndio mmeanza kupata akili hahahaha.

Hata mtoto wa madrasa huwezi mdanganya eti Uislam maana yake ni Tahweed. Neno islam litabakia vile vile Aslam taslim - ''Surrender or Die'', that all. kadanganye Msikitini huwa mnatulia uongo ukitamalaki mwanzo wa ibada hadi mawaidha.
Yesu alihangaika zaidi kufundisha maadili mema na tabia njema kwa wafuasi wake.

Hebu tuangalie baadhi ya maneno ya Yesu katika Agano Jipya:

Matendo ya Mitume 20:34-36 – “Katika kila kitu nilichofanya, niliwaonyesha kwamba kwa kufanya kazi kwa bidii namna hii tunapaswa kuwasaidia wanyonge, tukikumbuka maneno ya Bwana Yesu mwenyewe aliyosema: ‘Ni heri kutoa kuliko kupokea.’”
Mathayo 5:9-11 – “Heri walioonewa kwa ajili ya haki, kwa maana Ufalme wa mbinguni ni wao.”
Mathayo 5:8-10 – “Heri wapatanishi, kwa maana wataitwa wana wa Mungu.”
Mathayo 5:5-7 – “Heri wenye njaa na kiu ya haki, kwa maana watashibishwa.”
Mathayo 5:6-8 – “Heri wenye rehema, kwa maana wao watapewa rehema.”
Mathayo 5:7-9 – “Heri wenye moyo safi, kwa maana wao watamwona Mungu.”
Mathayo 5:3-5 – “Heri wanaoomboleza, kwa maana watafarijiwa.”
Mathayo 5:4-6 – “Heri wapole, kwa maana watairithi dunia.”
Marko 12:29 – “Sikieni Israeli: Bwana Mungu wetu ni Bwana mmoja.” (Angalia hoja dhidi ya Utatu).
Umesahau pia alisema Baba yake yupo ndani yake na yeye yupo ndani ya baba yake ni one. Soma vizuri Biblia uenjoy sio Quran page za vichekesho
Katika maneno haya ya Nabii wetu mpenzi Yesu – rehema na amani ziwe juu yake – tunaona wazi kwamba alihangaika zaidi juu ya “haki.” Haingii akilini kwamba Mwenyezi Mungu awabariki watu na wakati huo huo awatupe motoni .
Sisi tunaamini free will yaani tumepewa nafasi tufanye maamuzi binafsi so Kwa mungu hakulazimishwi kwenda kama uislam.

Uislam ndio mmepangiwa cha kufanya na sio maamuzi yenu nyie ni program za Allah ndie anayepanga uwe mwema au muovu anakusababisha uibe au uue au uzini au utukane au unibishie mimi na kisha anakuadhibu. uislam usali au usilali ni ALLah kapanga ndio mnasema Inshallah hahahaha Hata Adamu alipokuwa ana debate na Musa na Musa akimlaumu kwa kusababisha kufukuzwa peponi Adam akasema Allah alipanga mipango hiyo ya kumfukuz miaka 40 kabla hajamuumba so ujinga wa uislam ulivyo hata wewe hapa ni Allah anakuongoza kuweka ujinga humu JF na akaipenda anakuadhibu kwa makosa aliyopanga ufanye

Sahih al-Bukhari 6614 - Divine Will (Al-Qadar) - كتاب القدر​

Yesu aliposema kwamba Mwenyezi Mungu atawabariki wale wanaofanya haki, alimaanisha kweli.

Hii ndiyo Injili ambayo sisi Waislamu tunaamini kwamba Yesu – rehema na amani ziwe juu yake – aliifundisha.

Kuamini katika Mungu Mmoja wa Kweli aliye hai, na kupendana kati ya wanadamu .
Baba yake so mmekubali kuwa yeye ana Baba ambeye ndie Mungu wa kweli ambey ni wamoja trinity. very Good.

Alafu wewe sio Muislam huna unachoamini
Hii ndiyo sababu Waislamu wanaamini kwamba maneno ya Yesu mwenyewe katika Biblia ndiyo ya karibu zaidi na ukweli .

Hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni Masihi mwana wa Maryamu! Na hali Masihi mwenyewe alisema: Enyi Wana wa Israili! Muabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wangu Mlezi na Mola wenu Mlezi. Kwani anaye mshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahala pake ni Motoni. Na walio dhulumu hawatakuwa na wa kuwanusuru.”

” (Qur’an Tukufu 5:72).
Kuna aya kibao zinazoonesha Yesu ni Mungu kwenye Quran
 
Quran inatambua Ukristo na wafuasi wa Krisro kuwa watakuwa juu yenu waislam nyie hadi kiama (Surah 3:55)
Ukitaka kuona jinsi hujui kitu ni jinsi unetafsiri hiyo aya kijinga,unajua kwenye Qur’an waliokufuru ni kina nani?
Ndiyo nyinyi sasa Allah atawaweka wale waliokuwa wanamfuata Isa juuu yenu nyinyi mliokuwa mnampinga

Ukristo sio dini ya kumfuata Isa na wala wafuasi wake hawakuitwa wakristo ni baada ya yeye kuondoka ndipo huo utapeli ukaja
 
Wewe mambo yako ya ushoga hujawacha tu?
Hao walioalikwa si wametoka nchi nyengine? Kasome sheria Za kiislamu kuhusu kufunga na msafiri usirukie basi tu ,Pia kuhusu mgonjwa na ufungaji
FATWA ZA MA-AYATOLLAH: ZA KURUHUSU KUMUINGILIA MKE KINYUME NA MAUMBILE

Hayati Ayatollah Sayyid Ali Khamenei pia aliruhusu kumuingilia mke kinyume na maumbile.

Elimu hiyo si yake peke yake. Ni urithi wa Ma-Ayatollah wengi wa Iran na nje ya Iran, na kwa kifupi ni sehemu ya urithi wa Uislamu wa Kishia kwa mujibu wa vitabu vyao vya fiqh.

Hapa chini nitaweka fatwa za Ayatollah watatu maarufu, kuanzia waliotangulia hadi kwa aliyekuwa kiongozi wa juu wa Iran.

Katika Ushia, hukumu hii inapatikana katika vitabu vya Fatwa vya wanazuoni wa sasa pamoja na vitabu vya Hadithi vya kale. Wakiruhusu ngono kinyume na maumbile (ufiraji) kupitia aya ya Qur’an 2:223. Lakini hapa nitaanza na kauli za wakuu wanaojulikana zaidi.

1. Ayatullah Sayyid Ali al-Sistani

Kitabu: Minhaj al-Salihin (Mwongozo wa Wenye Haki)
Juzuu: 3 (Masuala ya Ndoa)

Nukuu: “Inajuzu kumuingilia mke kinyume na maumbile (kwenye tundu la nyuma), lakini ni Makruhu sana (inachukiza mno). Na kwa tahadhari ya lazima, isifanyike ikiwa mke haridhii.” Chanzo: Mas-ala 66 (katika mlango wa ndoa)

2. Ayatullah Ruhollah Khomeini

Huyu ndio baba wa mapinduzi ya Iran mnamo 1979, ni mheshimiwa mkubwa sana hapo Iran na katika ulimwengu wa Mashia.

Kwa upande wa Ayatollah Ruhollah Khomeini, msimamo wake uko wazi katika maandiko yake ya Fiqh. Anafanana na msimamo wa wanazuoni wengi wa Kishia: anaruhusu kitendo hicho lakini anakiona kuwa kinachukiza sana (Makruh). Katika moja ya kitabu chake anasema:

Kitabu: Tahrir al-Wasilah, Juzuu: 2. Ukurasa: 241

Nukuu: “Kauli yenye nguvu zaidi ina juzu kumuingilia mke kinyume na maumbile (kwenye tupu yake ya nyuma), lakini kwa karaha (uchukivu) uliokithiri, na ni bora kuacha kufanya hivyo hasa ikiwa mke haridhii.”

3. Ayatollah Sayyid Ali Khamenei

Huyu ndio alikuwa Ayatollah maarufu katika kizazi hiki cha sasa, alipokea kiti cha Ayatollah mnamo 1989 baada ya Ruhollah kufa. Naye katika vitabu vyake naye ameungana na wanazuoni wenzake katika kuruhu tendo hilo haramu ingawa kwao sio haramu ingawa mke ataridhia.

Kutoka katika kitabu chake cha maswali na majibu ya fiqh.

“Hakuna kizuizi kumuingilia mke katika tundu la nyuma ikiwa mke ameridhia, ingawa kitendo hicho ni Makruh (kinachochukiza).”

Kitabu: Ajwibat al‑Istifta’at, ukurasa 445–446
Mlango: Masuala ya Ndoa (Kitab al-Nikah)
Suala: 1279 (katika baadhi ya matoleo ya Kiarabu na Kiajemi).

Hivyo bilashaka Ayatollah mpya naam Mojtaba Khamanei kamwe hawezi kwenda kinyume cha watangulizi wake ambao amepokea kijiti kutoka kwao. Huenda marehemu mke wake aliyekufa katika shambulio la anga la Israeli mnamo February 28 alipitia changamoto hiyo kama Mojtaba alizingatia elimu hiyo.

Izingatiwe hii sio kashfa bali ni elimu ya vitabu, kwako inaweza kuwa ni kashfa lakini kwa wengine ni Sheria ya dini yao. Na huo wote ni ufafanuzi wa Quran 2:223. Sasa usijae hasira kwa mjumbe, pambana na wahubiri hao.

Kwahiyo basi kuhusisha Biblia na ushoga ni jambo la uzushi maana hakuna aya wala fungu ambalo linaruhusu jambo hilo. Na mkristo ambaye ataunga mkono ushoga basi huyo sio mkristo moja kwa moja bali muhuni.

Hivyo kabla haujarusha jiwe katika nyumba imara angalia kwako kwanza kama ni imara au unaishi katika nyumba ya vioo.
 
Kwahiyo basi kuhusisha Biblia na ushoga ni jambo la uzushi maana hakuna aya wala fungu ambalo linaruhusu jambo hilo. Na mkristo ambaye ataunga mkono ushoga basi huyo sio mkristo moja kwa moja bali muhuni.
Kama nyinyi mnavyowahusisha kima Al Shabab na Uislamu bila kujua wale ni wahuni
 
Nani Alikuambia waarabu wa falme Za kiarabu wanamiliki dini ya uislamu?

Kurani imeandikwa kwa lugha ya kiarabu, Muhammad alikuwa mwarabu, meka iko uarabuni, saudi arabia ambaye anaamua nani aende kuhiji maka nani asiende wakati kuhiji ni moja kati ya nguzo kuu za islam ni mwarabu, halafu unauliza kama warabu wanamiliki islam? ...
 
Back
Top Bottom