Ukitaka kuona jinsi hujui kitu ni jinsi unetafsiri hiyo aya kijinga,unajua kwenye Qur’an waliokufuru ni kina nani?
Waliokufulu ni nyie waislam mnaokataa kuwa Jesus sio Mwana wa Mungu na ni Mungu pamoja nasi. au unadhani wanatajwa wakwe zako? unadhani wafuasi wa Yesu hapo sio WAKRISTO? Kasome dini yako hizo tafsiri ni waislam wanaweka sisi tusio waislam huwa tunacheka how come na nyie waislam mnapingana nazo hahahahaha na wala hamlalamiki ziondoshwe hahaha Kuna mswahili mwingine anaitwa Abdullah nae unaweza cheka ufe akitafsiri Quran neno moja analitafsiri kwa maneno zaidi ya kumi
Ndiyo nyinyi sasa Allah atawaweka wale waliokuwa wanamfuata Isa juuu yenu nyinyi mliokuwa mnampinga
Ukristo sio dini ya kumfuata Isa na wala wafuasi wake hawakuitwa wakristo
Hahaha sasa Allah anaposema Watu wa kitabu? ni kina nani? na anapowaita Manasala ni kina nani? kuongea na wapumbavu wasio jua chochote kwenye uislam ni kupoteza mmuda hata kama nawasaidia ila ujinga wa huyu hadi kudhihaki Allah wake ni kumuacha tu. asome mwenyewe.
ni baada ya yeye kuondoka ndipo huo utapeli ukaja
Kwahiyo Allah nae aliwajua Wakristo after Yesu kupaa hahaha huu ni ushuhuda kuwa Allah anaishi Duniani maana hajui kitu wala Hostoria ya Yesu na Sababu ya Manaswala wametokea wapi na wanafuata Yesu
UMjinga mwingine huyu unasema nime tafsiri Aya kijinga au waislam ndio wajinga waliotafsiri!
tuweke tafsiri kadhaa tuone mjinga mimi au waislam au Allah au Muhammad.
Iz qaalal laahu yaa ‘Eesaaa innee mutawaffeeka wa raafi’uka ilaiya wa mutah hiruka minal lazeena kafaroo
wa jaa’ilul lazeenattaba ooka fawqal lazeena kafarooo ilaa Yawmil Qiyaamati summa ilaiya marji’ukum fa ahkumu bainakum feemaa kuntum feehi takhtaliifoon
إِذْ قَالَ اللَّهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا وَجَاعِلُ الَّذِينَ اتَّبَعُوكَ فَوْقَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ ۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرْجِعُكُمْ فَأَحْكُمُ بَيْنَكُمْ فِيمَا كُنْتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ
Al-Barwani
Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru,
na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
Sahih International
[Mention] when Allah said, “O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve
and make those who follow you superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ
Yusuf Ali
Behold! Allah said: “O Jesus! I will take thee and raise thee to Myself and clear thee (of the falsehoods) of those who blaspheme; I will make those who follow thee superior to those who reject faith, to the Day of Resurrection: Then shall ye all return unto me, and I will judge between you of the matters wherein ye dispute.
(The Falsehood ndio waislam wao ni uongo tu maisha yao yote)