hiyo sio hoja sheria zimewekwa wenye kuzifuata wazifuate na wasiozifuate waache..Umeambiwa usiibe wala kudhulum cha mtu lakin wapo wanaoiba na wanaodhulumu..umeambiwa usizini lakini wapo wanaozini na wapo wasiozini..kwamaana hyo sasa usifikiri huko hakuna wanaopindisha sheria hyo na usifikiri huko hakuna wanaofuata sheria..Nadhani hapo umeelewa.Cha ajabu mtu wa buza, kinyeto, buhigwe, machame, kabuku anaumia wakati wenye dini wanakula mchana na hakuna dhambi. Waafrika waamke watoke kwenye blanketi la uislam, wanapumbazwa
huyo ni communist, ukielewa communism utaelewa pia islam, hiyo idea siyo mpya zamani kulikuwa na lugha iliyoitwa esperanto iliyotengenezwa na communists maalumu kwa lengo la kuwaunganisha watu wote na kuwatala kwa pamoja, kama kila mtu akiongea lugha yake ni ngumu kuwatawala wote kwa pamoja na ndiyo maana Kurani hairuhusiwi kutafsiriwa kama tu idea ya esperanto, lengo ni hilo, kusaidia elite kutawala wote i.e muslim popote alipo anajiona ni ndugu na muslim wa bara lingine na ku surrender resources, utajiri na urithi wote wa nchi yake kwa foreigner ktk bara lingine maadamu ni muslim.
kwa sababu amedanganywa kwamba muslim yoyote ni ndugu yake na anapewa kipaumbele namba 1 na haijalishi ametokea wapi, anamuona ni wamoja rejea tanzagiza kila kitu wamempa muirani lkn yeye hawaoni hivyo, hana tofauti (muirani) na hao maelite wa uae wanaopiga kinywaji wakati wa ''mwezi mtukufu'' huku mwamedi wa mburahati akishinda bila ya kula siku nzima kushindwa kusoma vizuri sababu ya swaumu au hata kufanya kazi vizuri na kujiingizia kipato na hilo ndilo lengo kuu la communism, power, small elites kutawala dunia yote ...
Huo ukomunisti wako uliusomea nchi gani? Hicho ni kitabu kipi cha ukomunisti inasema hivyo ?
Usituletee chipwi la wachungaji wako akina Gwajima na marehemu Pengo
Hiyo ndiyo nchi uliyosomea ukomunisti? Na kitabu ulichonukuu maneno yako ndiyo hicho?muslims ni communists, islam = communsim ...
Waliokufulu ni nyie waislam mnaokataa kuwa Jesus sio Mwana wa Mungu na ni Mungu pamoja nasi. au unadhani wanatajwa wakwe zako? unadhani wafuasi wa Yesu hapo sio WAKRISTO? Kasome dini yako hizo tafsiri ni waislam wanaweka sisi tusio waislam huwa tunacheka how come na nyie waislam mnapingana nazo hahahahaha na wala hamlalamiki ziondoshwe hahaha Kuna mswahili mwingine anaitwa Abdullah nae unaweza cheka ufe akitafsiri Quran neno moja analitafsiri kwa maneno zaidi ya kumiUkitaka kuona jinsi hujui kitu ni jinsi unetafsiri hiyo aya kijinga,unajua kwenye Qur’an waliokufuru ni kina nani?
Hahaha sasa Allah anaposema Watu wa kitabu? ni kina nani? na anapowaita Manasala ni kina nani? kuongea na wapumbavu wasio jua chochote kwenye uislam ni kupoteza mmuda hata kama nawasaidia ila ujinga wa huyu hadi kudhihaki Allah wake ni kumuacha tu. asome mwenyewe.Ndiyo nyinyi sasa Allah atawaweka wale waliokuwa wanamfuata Isa juuu yenu nyinyi mliokuwa mnampinga
Ukristo sio dini ya kumfuata Isa na wala wafuasi wake hawakuitwa wakristo
Kwahiyo Allah nae aliwajua Wakristo after Yesu kupaa hahaha huu ni ushuhuda kuwa Allah anaishi Duniani maana hajui kitu wala Hostoria ya Yesu na Sababu ya Manaswala wametokea wapi na wanafuata Yesuni baada ya yeye kuondoka ndipo huo utapeli ukaja
Hujui halafu unajifanya unajuaWaliokufulu ni nyie waislam mnaokataa kuwa Jesus sio Mwana wa Mungu na ni Mungu pamoja nasi. au unadhani wanatajwa wakwe zako? unadhani wafuasi wa Yesu hapo sio WAKRISTO?
Ukiambiwa haujui kubali tu haujui mbona hakuna tatizo ukiwa haujui🤣🤣 ona sasa kwenye kiswahili umetafsiri pumba eti "nitakufisha" na kwenye kiingereza umetafsiri vizuri kuwa ni "I will take you"Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana.
Sahih International
[Mention] when Allah said, “O Jesus, indeed I will take you and raise you to Myself and purify you from those who disbelieve and make those who follow you superior to those who disbelieve until the Day of Resurrection. Then to Me is your return, and I will judge between you concerning that in which you used to differ
Unataka uthibitisho wa Quran kumuonesha Yesu ni Mungu mbona rahisi.Hujui halafu unajifanya unajua
Kama kweli unajua niambie Qur’an hiyo unayoitaja inazungumzia nini kuhusu uungu wa Isa ili nione kama unajua
Mie nishakuambia hizo tafsiri unazoshangazwa nazo ni za wajinga mashehe wako na wanazuoni wenu wanaofafundisha Quran na uislam mlionao sasa fikiria unafundishwa na mjinga wewe utkuwaje? ila kama unaona hilo neno ''nitakufisha'' sio kiswahili nenda bakita watakusaidia na wewe unaposema in English ni i will take bado haujapatia neno halisi ni ''mutawaffeeka'' ni (I will Couse your death)Ukiambiwa haujui kubali tu haujui mbona hakuna tatizo ukiwa haujui🤣🤣 ona sasa kwenye kiswahili umetafsiri pumba eti "nitakufisha" na kwenye kiingereza umetafsiri vizuri kuwa ni "I will take you"
Mnabeba tu bila kuelewa🤣🤣
Aya yenyewe ni hiiQuran 4:171
inamtaka Yesu kuwa Ndie Neno(Word - Kun fayakun) la Allah
Yesu ni Spirit of Allah inayoendelea ndani ya mwili wa Yesu,
Yesu ni Neno (Word Kunfaya kun) Quran 19:19 Mjumbe Jibril alimtokea Mariam akimuambia nimekuletea Ujumbe Neno la Allah utazaa holly son(Mtakatifu ni Mungu tu pekee). Mkombozi Al massiah (Kristo) Quran 3:45-46
Tukija kwenye uislam Neno la Allah halijaumbwa ni roho
Aya yenyewe ni hiiQuran 9:31 inasema wakristo na wayahudi wanaabudu makuhani na marabbi na mapadri badala ya Yesu na Allah. picha wazi kuwa Yesu anastahili kuabudiwa.
Quran at-Tawbah 31 Wamewafanya wanazuoni wao na watawa wao kuwa ni miungu badala ya Allah, na Masihi bin Maryamu. Na hawakuamrishwa ila wamuabudu Mungu Mmoja; hapana mungu ila Yeye. Ametakasika na hao wanaomshirikisha.
Tafsiri yao ya " I will take.."ipo sahihi kabisa ila ukitafsiri kwa kiswahili kuwa "nitakufisha" wewe mwenyewe huoni kuwa ni tofauti kwani "take" tangu lini maana yake iwe kufisha??🤣🤣Wewe mlaumu Al barwani ndiye katafiri hiyo Quran kwa Kiswahili hata Sahih International wameibeba hiyo tafsiri kwenye page yao.
Ndio akili ya kiislam mnavyotafsiri ili mbakie kwenye ujinga milele... Nakufunze tu jambo la muhimu kwako na wengine ukiona tafsiri ya quran imewekwa mabano ujue wanaficha ujinga wa allah na Mohammad. hakunaga tafsiri ya mabano ni upotoshaji tu. kutaka kunogesha uongo au kuficha ujinga wa msemaji. Hizo tafsiri za waislam wenzako ni za kijinga na ukiendelea nazo utapotea mazima.. Kama unaamini Maneno ya Allah hayabadiliki achana nao alicowakusanyia Mtume wenu Mohammad ni kutoka kwa iblis so kubadilisha badilisha na kuhusisha na Mungu haitowezekana kamwe yalishaandikwa ni hayo hayo huwezi change history. Kwenye Movie ya Pharao wanasema ''So let it be written, so let it be done'' wewe ubadilishe hahaha as i told you before huwa tunacheka uislam wenu na maandishi na uongo na unafiki, nilimsikia siku Sheikh wenu Mkuu akisema mnatakiwa kuwa wema kwa waasio waislam, dah nikasema wale wale hawasomi Quran na ndio viongozi wenu wa kiislam. hawafuati uislam.Tafsiri yao ya " I will take.."ipo sahihi kabisa ila ukitafsiri kwa kiswahili kuwa "nitakufisha" wewe mwenyewe huoni kuwa ni tofauti kwani "take" tangu lini maana yake iwe kufisha??🤣
Unaweza onesha hizo bold zako maneno au neno lipi la kiarabu lililoandikwa kwenye hiyo aya ukajiamulia binafsi yako kuwawakilisha waislam katika Surah 4:171. Kumshika muongo wa kiislam ni very simple... yaani Allah anarekebishwa tofauti na aya zake hahahaha... Tufanye issue moja kumaliza utata tuweke neno after neno la hiyo aya 4:171 dunia ione nani muongo. na sijui unatumia tafsiri ya kiswahili cha mjinga nani? au Mayunga? maana Barwan ushamkataa.Aya yenyewe ni hii
يَا أَهْلَ الْكِتَابِ لَا تَغْلُوا فِي دِينِكُمْ وَلَا تَقُولُوا عَلَى اللَّـهِ إِلَّا الْحَقَّ ۚ إِنَّمَا الْمَسِيحُ عِيسَى ابْنُ مَرْيَمَ رَسُولُ اللَّـهِ وَكَلِمَتُهُ أَلْقَاهَا إِلَىٰ مَرْيَمَ وَرُوحٌ مِّنْهُ ۖ فَآمِنُوا بِاللَّـهِ وَرُسُلِهِ ۖ وَلَا تَقُولُوا ثَلَاثَةٌ ۚ انتَهُوا خَيْرًا لَّكُمْ ۚ إِنَّمَا اللَّـهُ إِلَـٰهٌ وَاحِدٌ ۖسُبْحَانَهُ أَن يَكُونَ لَهُ وَلَدٌ ۘ لَّهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ وَكَفَىٰ بِاللَّـهِ وَكِيلًا ﴿١٧١﴾
171. Enyi Watu wa Kitabu! Msipindukie mipaka katika dini yenu, wala msimzungumzie Allaah isipokuwa ukweli. Hakika Al-Masiyh ‘Iysaa mwana wa Maryam ni Mtume wa Allaah na ni Neno Lake (la Kun!) Alompelekea Maryam na Ruwh (roho Aliyoumba kwa amrisho) kutoka Kwake. Basi mwaminini Allaah na Rusuli Wake. Wala msiseme: ‘watatu’. Komeni! Ni kheri kwenu. Hakika Allaah ni Mwabudiwa wa haki Mmoja Pekee, Ametakasika na kuwa na mwana! Ni Vyake vyote vilivyomo mbinguni na vyote vilivyomo ardhini. Na Anatosheleza Allaah kuwa Ni Mtegemewa wa yote.
Soma maneno niliyoyabold hapo juu uone kuwa haujui kitu.
Allah amemwita Isa neno lake kwa kuwa tu hajamuumba kwa mtindo wa kawaida wa kuumba binadamu wengine ila Amemuumba bila baba kwa kusema "kuwa" kisha akawa ni kama Adam tu
إِنَّ مَثَلَ عِيسَىٰ عِندَ اللَّـهِ كَمَثَلِ آدَمَ ۖ خَلَقَهُ مِن تُرَابٍ ثُمَّ قَالَ لَهُ كُن فَيَكُونُ ﴿٥٩﴾
59. Hakika mfano wa ‘Iysaa kwa Allaah ni kama mfano wa Aadam. Amemuumba kutokana na udongo kisha Akamwambia: Kun! Basi akawa.
Je wakristo mpo tayari kuanza kumuabudu Adam maana naye aliumbwa kwa neno la Allah "kuwa kisha akawa" sawa na Isa tu🤣🤣🤣
Pia hiyo aya ya 4:171 inasema Allah hana mwana🤣🤣🤣 na ndiyo aya unayoitegemea 🤣🤣
Aya yenyewe ni hii
اتَّخَذُوا أَحْبَارَهُمْ وَرُهْبَانَهُمْ أَرْبَابًا مِّن دُونِ اللَّـهِ وَالْمَسِيحَ ابْنَ مَرْيَمَ وَمَا أُمِرُوا إِلَّا لِيَعْبُدُوا إِلَـٰهًا وَاحِدًا ۖ لَّا إِلَـٰهَ إِلَّا هُوَ ۚ سُبْحَانَهُ عَمَّا يُشْرِكُونَ﴿٣١﴾
31. Wamewafanya Ahbaar (Mafuqahaa wa Kiyahudi) wao na Ruhbaan (Monaki) wao kuwa ni miola badala ya Allaah, na (pia) Al-Masiyh mwana wa Maryam na hali hawakuamrishwa isipokuwa kumwabudu Ilaah Mmoja Pekee.[8] Hapana mwabudiwa wa haki ila Yeye tu. Utakasifu ni Wake kutokana na yale yote wanayomshirikisha nayo.
Hapo wametajwa hao viongozi pamoja na Isa kuwa wanafanya miungu wewe sasa usiyejua kiarabu unakuja kupotosha🤣🤣
Hapo chini umeambiwa wa kuabudiwa ni Mmoja tu.
Aliyeweka mabano nani sasa wewe huoni kama wewe ndio una matatizo uliyetoa tafsiri mbili tofauti?Ndio akili ya kiislam mnavyotafsiri ili mbakie kwenye ujinga milele... Nakufunze tu jambo la muhimu kwako na wengine ukiona tafsiri ya quran imewekwa mabano ujue wanaficha ujinga wa allah na Mohammad. hakunaga tafsiri ya mabano ni upotoshaji tu. kutaka kunogesha uongo au kuficha ujinga wa msemaji. Hizo tafsiri za waislam wenzako ni za kijinga na ukiendelea nazo utapotea mazima.. Kama unaamini Maneno ya Allah hayabadiliki achana nao alicowakusanyia Mtume wenu Mohammad ni kutoka kwa iblis so kubadilisha badilisha na kuhusisha na Mungu haitowezekana kamwe yalishaandikwa ni hayo hayo huwezi change history. Kwenye Movie ya Pharao wanasema ''So let it be written, so let it be done'' wewe ubadilishe hahaha as i told you before huwa tunacheka uislam wenu na maandishi na uongo na unafiki, nilimsikia siku Sheikh wenu Mkuu akisema mnatakiwa kuwa wema kwa waasio waislam, dah nikasema wale wale hawasomi Quran na ndio viongozi wenu wa kiislam. hawafuati uislam.
Wewe ndio ulete tafsiri za aya zote zinazomuhusu Isa halafu tuone ni Mtume au MunguUnaweza onesha hizo bold zako maneno au neno lipi la kiarabu lililoandikwa kwenye hiyo aya ukajiamulia binafsi yako kuwawakilisha waislam katika Surah 4:171. Kumshika muongo wa kiislam ni very simple... yaani Allah anarekebishwa tofauti na aya zake hahahaha... Tufanye issue moja kumaliza utata tuweke neno after neno la hiyo aya 4:171 dunia ione nani muongo. na sijui unatumia tafsiri ya kiswahili cha mjinga nani? au Mayunga? maana Barwan ushamkataa.
Aya ipo kuhusu kumuabudu Yesu weka Tafsiri word by word. uzuri huwezi danganya mtu kwani watu wanatumia hata Google unaweka aya kiarabu ukitafsiri kwenda kiswahili ipo wazi hata kama hujui kiarabu hudanganyiki japo google sio kwamba ipo accurate sana ila at least hutodanganywa sana kama Quran yako ya Marehemu Mayunga
Huyo ndiye anafahamu.16 March 2026
Abu Dhabi
UAE - HATUTAKUBALI UNUNDA WA IRAN
Mwandishi Mkuu wa Habari wa Kimataifa wa NBC News, Bw. Keir Simmons, anakaa chini na Waziri wa Nchi wa UAE Falme za Kiarabu, Bi. Lana Nusseibeh, kujadili vita na Iran na matokeo ya usalama na kiuchumi ya mzozo wa kijeshi...
View: https://m.youtube.com/watch?v=9KJDqSvkxHA
Waziri wa Nchi wa UAE, Bi. Lana Nusseibeh anasisitiza Iran inafanya vita ya kuhujumu uchumi, biashara na utalii kwa UAE na nchi zingine za ghuba hilo ni dhahiri shari kabisa na hivyo hatutakubali ununda wa Iran kujaribu kuhujumu uchumi wa UAE
View attachment 3559956
Waziri wa Nchi wa UAE, Bi. Lana Nusseibeh
Isa ni Isa na Yesu ni Yesu hivyo ni watu wawili tofauti kabisa.Wewe ndio ulete tafsiri za aya zote zinazomuhusu Isa halafu tuone ni Mtume au Mungu
Wewe kwa uwelewa wako unafikiri Isa hakuumbwa na udongo?
Mbona unaniambia peke yangu huyo mwenzio humuambii au huoni kama na yeye amewafanya mtu mmojaIsa ni Isa na Yesu ni Yesu hivyo ni watu wawili tofauti kabisa.
Isa alizaliwa chini ya mtende wakati Yesu aliizaliwa kwenye hori la ng'ombe.