Al Mukheef
JF-Expert Member
- Dec 7, 2025
- 315
- 479
Nimekwambia mwambie na huyo mwenzio wa dini moja na wewe unaning'ang'ania mimiIsa ni Isa na Yesu ni Yesu hivyo ni watu wawili tofauti kabisa.
Isa alizaliwa chini ya mtende wakati Yesu aliizaliwa kwenye hori la ng'ombe.
Mimi sina dini ila hainizuii kusoma maandiko na kufanya uchambuzi.Nimekwambia mwambie na huyo mwenzio wa dini moja na wewe unaning'ang'ania mimi
Nenda kawadanganye wanyasa,wandendeule na wamatengoMimi sina dini
Huo ndio ukweli wangu, anayepinga hana hoja na anasumbuliwa na udini tu.Nenda kawadanganye wanyasa,wandendeule na wamatengo
Wewe ndio udini unakusumbua muda wote kuuponda UislamuHuo ndio ukweli wangu, anayepinga hana hoja na anasumbuliwa na udini tu.
Kwa watu waliostaarabika hawawezi kukataa kukosolewa kwani ni jambo la kawaida katika jamii ila kukashifu au kutukana ndio mbaya.Wewe ndio udini unakusumbua muda wote kuuponda Uislamu
Na ndio maana umekimbilia kunikosoa mimi kama kweli huna dini ungetukosoa sote
Kipi umeona cha kukosoa kwenye Uislamu?Kwa watu waliostaarabika hawawezi kukataa kukosolewa kwani ni jambo la kawaida katika jamii ila kukashifu au kutukana ndio mbaya.
Kwa mtizamo wangu uislamu una mengi ya kukosoa kuliko imani zingine lakini hakuna imani iliyokamilika kwa sababu zote ni zao la akili ya mwanadamu.
Nijuavyo mimi hakuna dini iliyoundwa na Mungu mwenyewe kwani laiti kama angeunda yeye isingekuwa na dosari kabisa.
For the seak of arguments unaweza sema isa ndie yesu sababu aliyeweka story ya mwana wa Mariam Alikuwa ni mjinga haswa Jahili , alidhani Musa na yesu na harun waliishi mji mmoja na same time zone. Akidhani mariam na Musa ni mtu na kaka na wana share baba aitwaye Imraan nchini misri enzi za farao. Alafu story zingine akampaisha kwa time machine miaka aliyoishi yohana na Zachariah nchi nyingine IsraelMbona unaniambia peke yangu huyo mwenzio humuambii au huoni kama na yeye amewafanya mtu mmoja
Sijaelewa ulichoandika ila najua unazungumzia suala la Qur’an kumtaja Maryam kama dada wa Harun na majina ya baba zao kufananaFor the seak of arguments unaweza sema isa ndie yesu sababu aliyeweka story ya mwana wa Mariam Alikuwa ni mjinga haswa Jahili , alidhani Musa na yesu na harun waliishi mji mmoja na same time zone. Akidhani mariam na Musa ni mtu na kaka na wana share baba aitwaye Imraan nchini misri enzi za farao. Alafu story zingine akampaisha kwa time machine miaka aliyoishi yohana na Zachariah nchi nyingine Israel