Waislamu hawawezi jibu swali hili : Quran 15 :26 "Trinity"

Unajua umoja na wingi?
Nimesema
Tumesema.
Huwezi kutumia wingi kuonesha ukubwa wake. Hapo bado haujanishawishi.
Tumemuumba mtu kwa mfano wetu. Hapa unasema alikuwa peke yake.
Biblia ndiyo ipo sawa 100%
Majestic plural
Hata Quen wa Uingereza somtimes hua anatumia kuonesha ule ukuu wake wa kimamlaka
 
Majestic plural
Hata Quen wa Uingereza somtimes hua anatumia kuonesha ule ukuu wake wa kimamlaka
Anatumia hivyo kutokana kuna roho zinafanya kazi nyuma yake
 
Quran haina shida ila wewe ndio unashida ilitakiwa utafuta wanao jua wakufundishe hizo terminology

Maana kuhusu hoja yako ya utatu tayari Quran ilishapiga msumali kuwa hakuna kitu kama hicho na mtu yoyote anayeamini kuwa Mungu wapo 3 basi Jahanam inamsubiri

QURAN 5:73.
Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru.
 
Muhammad alisoma Torah(Vitabu vya Musa)?
Kama alivisoma basi ali-copy , na maana halisi ya Musa ilikua ni utatu(Trinity)
Tunajua kuwa Muhammad alikua msomaji mzuri wa biblia(Torah na Injil) , ndo mana aka-confirm ni vitabu vya MUNGU
 
Na wew lete neno ndan ya zabur linalosema maswala ya biblia

Note:Biblia sio kitab kitakatif ni kitabu kama TAKADINI, THREE SUITORS ONE HUSBAND au FUNDAMENTALL OF BIOLOGY

NKUULIZE SWALI:
01.WAPI PANATHIBITISHA BIBLIA NI KITABU CHA YESU

02.WAPI BIBLIA IMEANDIKA UKRISTO NI DINI

(وَإِذۡ قَالَ عِیسَى ٱبۡنُ مَرۡیَمَ یَـٰبَنِیۤ إِسۡرَ ٰ⁠ۤءِیلَ إِنِّی رَسُولُ ٱللَّهِ إِلَیۡكُم مُّصَدِّقࣰا لِّمَا بَیۡنَ یَدَیَّ مِنَ ٱلتَّوۡرَىٰةِ وَمُبَشِّرَۢا بِرَسُولࣲ یَأۡتِی مِنۢ بَعۡدِی ٱسۡمُهُۥۤ أَحۡمَدُۖ فَلَمَّا جَاۤءَهُم بِٱلۡبَیِّنَـٰتِ قَالُوا۟ هَـٰذَا سِحۡرࣱ مُّبِینࣱ)
[Surah As-Saf 6]

And when issa son of mariam said:Oh children's of israel surely am the apostle of allah to you,verifying that which is before me of the taurat and giving the good news of apostle whow will come after me and his name being Ahmad,but when he come to them with clear arguments they said:this is clear magic

[Surat As-saf 6]

Vitabu vitakatifu ni
01.ZABURI given to Daudi(a.s)
02.INJILI given to issa( a.s)
03.TAURAT given to mussa(a.s)
04.SUHFI
05.QUR AN given to Muhammad (s.a.w)

Narudia biblia ni kitabu cha kawaida kama kitabu cha GENERAL STUDIES A level
 
Anatumia hivyo kutokana kuna roho zinafanya kazi nyuma yake
Unaelewa maana ya majestic plural au unamajibu yako mwenyewe umeyaandaa?

Mfano mtu anamiliki biashara yake(Duka) juu akaandika Mangi shop[Tunauza pembejeo za kilimo] hapo wamiliki wa hilo duka wanakua wangap?
 
Inaonekana wewe ni kafiri mpya ngoja nikufundishe ili ujijue kuwa umepotea na jahanam inakusubiri

Utabiri wa mtume Muhammad huo hapo ndani ya Bibilia

Isaiah 21:13-16
[13]
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
[14]
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
[15]
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.
[16]
Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.
 
Inaonekana wewe ni kafiri mpya ngoja nikufundishe ili ujijue kuwa umepotea na jahanam inakusubiri

Utabiri wa mtume Muhammad huo hapo ndani ya Bibilia

Isaiah 21:13-16
Haukuelewa unachokisoma.
Hapo ni Arabs Kingdoms zilikuwa zinapigana vita. Hao wote ni waarabu , na walipigana wenyewe.
Isaya 21 : 13 - 17 (BHN)
13 Kauli ya Mungu dhidi ya Arabia. Enyi misafara ya Dedani(Kaskazini-Magharibi Arabia), pigeni kambi leo usiku kwenye nyika za Arabia.
14 Enyi wakazi wa nchi ya Tema(Kusini Arabia), wapeni maji hao wenye kiu; wapelekeeni chakula hao wakimbizi.
15 Maana wamekimbia mapanga, mapanga yaliyochomolewa, pinde zilizovutwa na ukali wa mapigano.
16 Maana Bwana aliniambia hivi: “Katika muda wa mwaka mmoja, bila kuzidi wala kupungua, fahari yote ya Kedari itakwisha.
17 Wapiga upinde wachache kati ya mashujaa wa watu wa Kedari(wa-Arabia wanaohama hama) ndio watakaosalia. Mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, nimenena.
 
Unaelewa maana ya majestic plural au unamajibu yako mwenyewe umeyaandaa?

Mfano mtu anamiliki biashara yake(Duka) juu akaandika Mangi shop[Tunauza pembejeo za kilimo] hapo wamiliki wa hilo duka wanakua wangap?
Majestic Plural zinatumika kwa viongozi wakubwa tu(watawala). Kama Malkia na wafalme. Na hidden secret ya utawala wao , hua kuna roho zinamwongoza . Kwa hiyo ndo mana anatumia Tuta- , badala ya Nita-
Mangi na Plural We , wapi na wapi
 
Hapo nabii Isaya alikuwa anatabiri kuwa katika vizazi vya nabii Ishmael Kuna ufunuo hao akina Tema , Dedan ,Kedari hao wote ni watoto wa nabii Ishmael na waliishi Saudi Arabia

Isaiah 21:13-16
[13]
Ufunuo juu ya Arabuni. Ndani ya msitu wa Arabuni mtalala, Enyi misafara ya Wadedani.
[14]
Waleteeni wenye kiu maji, Enyi wenyeji wa nchi ya Tema; Nendeni kuwalaki wakimbiao na chakula chao.
[15]
Kwa maana wanakimbia mbele ya panga, Upanga uliofutwa, na upinde uliopindwa, Na mbele ya ukali wa vita.
[16]
Kwa sababu Bwana ameniambia hivi, Katika muda wa mwaka, kama miaka ya mtu mwenye kuajiriwa, utaangamia utukufu wote wa Kedari.

Genesis 25:12-16
[12]
Hivi ndivyo vizazi vya Ishmaeli, mwana wa Ibrahimu, ambaye Hajiri, Mmisri, mjakazi wa Sara, alimzalia Ibrahimu.
[13]
Na haya ndiyo majina ya wana wa Ishmaeli, kwa majina yao, na kwa vizazi vyao. Mzaliwa wa kwanza wa Ishmaeli, ni Nebayothi, na Kedari, na Abdeeli, na Mibsamu,
[14]
na Mishma, na Duma, na Masa,
[15]
na Hadadi, na Tema, na Yeturi, na Nafishi, na Kedema.
[16]
Hao ndio wana wa Ishmaeli, na hayo ni majina yao, katika miji yao, na katika vituo vyao, maseyidi kumi na wawili kwa kufuata jamaa zao.

Nakuwekea na ramani ya Saudi Arabia ya Zamani ili kukuonyesha kuwa hao wato wa Ishmael wote waliishi Saudi Arabia

Sasa ni mtume gani aliyetoka Saudi Arabia kama Muhammad?
 
Hapo nabii Isaya alikuwa anatabiri kuwa katika vizazi vya nabii Ishmael Kuna ufunuo hao akina Tema , Dedan ,Kedari hao wote ni watoto wa nabii Ishmael na waliishi Saudi Arabia

Sasa ni mtume gani aliyetoka Saudi Arabia kama Muhammad?
Ufunuo(unabii) maana yake ni Utabiri .
Kwenye biblia ya kingereza ufunuo - Prophecy(utabiri)

Na utabiri(ufunuo) wa Saudia Arabia ulikuwa ni vita ya wenyewe kwa wenyewe

Kutokuelewa ndiko kuna kukusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…