Unavyomwabudia Mungu ? ulishawahi kumwona na kuthibitisha yupo kwa mwili?Sihitaji kuziona hizo ''hiden secrets na roho'' , nachotaka utuoneshe hapa hizo hiden secrets na roho umezitoa wapi au katika andiko gan?
Unaweza kunionesha akili yako iko wapi mbona siioniUnataka vitu vya kiroho nikuthibitishie kimwili?
Wewe unaweza ukanionesha Alah yupo wapi? Mbona simuoni
Inamaanisha kuna wingi,Rais akisema tumetoa fedha kwa wanachi il hali yeye ndo alotoa izo pesa je anamanisha nn?
Na je mtu akitoa sadaka husema sisi tumechangia kiasi hichi je huwa anamaanisha nini?
Ila pesa kato yeye mwenyewe kwa mikono yakeInamaanisha kuna wingi,
Kuna watu nyuma yake wa kuhakikisha linamizika
Kwa hiyo unarudi pale pale kwenye mada , ya kuwa utatu ulihusika katika shughuli ya uumbaji
Bro mbona unazurura sana?Unavyomwabudia Mungu ? ulishawahi kumwona na kuthibitisha yupo kwa mwili?
Haya ni mambo ya kiroho , na yana hitaji uwepo katika mazingira ya kiroho - ndipo uelewe
Endelea kusubiri UtazionaBro mbona unazurura sana?
Nmekwambia sihitaji kuziona sababu tiar n hiden secrets
Mungu haonekani ila kwenye vitabu anatajwa na tunaambiwa tumuabudu.
Nachotaka utuambie wewe umetoa wapi hizo ''hiden secrets na roho''?
Kwa kifupi umeshindwa kuthibitisha kauli yako mwenyewe ''hiden secrets na roho''?Endelea kusubiri Utaziona
Usijifanye mjanja kutaka kutoroka hapaUnataka nikuthibitishie roho?
Mi nataka unithibitishie Allah kwanza
Haiwezekani kila siku unasalia kitu ambacho hakiwezi kukuponya hata Malaria
Na Shiva,Brahma Vishnu, wametajwa katika kitabu cha uhinduUsijifanye mjanja kutaka kutoroka hapa
Nimekwambia Allah ametajwa katika kitabu kitukufu[Qur'an] so many times ukitaka ntakuthibitishia kwa maandiko
Mimi nataka unithibitishie hii kauli yako '' hiden secrets na roho'' umeitoa katika andiko gan au ni akili yako ndo inavofahamu?
Kwahio hawa ndo ''hiden secrets na roho'' znazowaongoza wale wanaotumia royal we?Na Shiva,Brahma Vishnu, wametajwa katika kitabu cha uhindu
Na Brahmā yuko kwenye vitabu kibudhisti
We si unahitaji , uthibisho?
Tuthibithishie Allah sio nomino kama nomino zingine , kama ataonasha ishara yoyote
Ko hili ndo jibu?Allah au Shiva?
Biblia ni mama wa Kurani na Kurani ni kichanga cha BibliaKuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.
Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26
Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?
Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
Ikumbukwe Majestic We zinatumika kwa viongozi tu , na viongozi hao huwa kuna roho zinawaongoza . Ndo mana huwa kuna matumizi ya tuta- na sio nita-
Ikumbukwe kuna verse Allah ametumia I am na kwanini pale tu , ndipo alitumia wingi?
Nimekupeleka katika kina kirefu sana hautaweza kuelewaBro , hivi unajua kusoma?
Au haujui kiswahili ? Yawezekana haujui kiswahili , soma kingereza
Isaiah 21 : 13 - 17 (NIV)
13 A prophecy against Arabia:
You caravans of Dedanites,
who camp in the thickets of Arabia,
14 bring water for the thirsty;
you who live in Tema,
bring food for the fugitives.
15 They flee from the sword,
from the drawn sword,
from the bent bow
and from the heat of battle.
16 This is what the Lord says to me: “Within one year, as a servant bound by contract would count it,
all the splendor of Kedar will come to an end. 17 The survivors of the archers, the warriors of Kedar, will be few.”
The Lord, the God of Israel, has spoken.
Bro , nilichokiujua wewe ni mweupe.Nimekupeleka katika kina kirefu sana hautaweza kuelewa
Yani Mungu amfunulie nabii Isaya kuwa Urabuni kutakuwa na vita basi
Mbona hakumfunulia kuhusu vita vya maji maji vya wahehe na wajerumani?
Hilo andiko limekuzudi kimo nitakufundisha siku nyingine maana mandiko Bado yapo mengi sana
Kumbukumbu la Torati 18:18 (KJV) Mimi nitawaondokeshea nabii miongoni mwa ndugu zao mfano wako wewe, nami nitatia maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia yote nitakayomwamuru.
Mungu anamwambia Musa ataondokesha nabi miongoni mwa ndugu wa wana wa Israel mfano wako wewe Musa
Waisrael ni watoto wa Isihaka na wasaudi Arabia ni watoto wa Ishmael hivyo Hawa ni ndugu
Nabii mfano wa Musa
1)Musa amezaliwa na baba na mama na Muhammad amezaliwa na baba na mama
2) Musa amepewa utume akiwa mtu mzima na Muhammad amepewa utume akiwa mtu mzima
3) Musa amepewa kitabu Cha taurati kina amri Sheria na hukumu na Muhammad amepewa kitabu Cha Quran kina amri Sheria na hukumu
4) Musa ali oa mke na kuzaa watoto na Muhammad alio na kuzaa watoto
Haya yote Paulo aliyekuketea ukristo aliyajua na ndio maana akakuambieni je hamuisikii Taurati inavyosema?
Galatians 4:21-26
[21]
Niambieni, ninyi mnaotaka kuwa chini ya sheria, je! Hamwisikii sheria?
[22]
Kwa maana imeandikwa ya kuwa, Ibrahimu alikuwa na wana wawili mmoja kwa mjakazi, na mmoja kwa mwungwana.
[23]
Lakini yule wa mjakazi alizaliwa kwa mwili, yule wa mwungwana kwa ahadi.
[24]
Mambo haya husemwa kwa mfano; kwa maana hawa ndio kama maagano mawili, moja kutoka mlima Sinai, lizaalo kwa utumwa, ambalo ni Hajiri.
[25]
Maana Hajiri ni kama mlima Sinai ulioko Arabuni, umelingana na Yerusalemu wa sasa; kwa kuwa anatumika pamoja na watoto.
[26]
Bali Yerusalemu wa juu ni mwungwana, naye ndiye mama yetu sisi.
Hio miungu ya kiafrika , si ndo ili ruhusu wafrika wapelekwe utumwani?Mnaacha dini zetu za asili na kushupaza shingo kwa dini za wazungu na waarabu,mi na mwagilia moyo mtajua na dini zenu nyambafuuu
Uzuri ni kwamba maandiko yanayo onyesha utabiri wa Mtume Muhammad yapo mengi ndani ya Bibilia yataendelea kujaBro , nilichokiujua wewe ni mweupe.
Na ni kama katoto ka chekechea , anabishana na professor
Biblia , imeandikwa kwa kiswahili . Soma , na utajua haujui
Coz sina time ya kubishana , Ila nina time kwa anaetaka kuelimika
Kwanini u assume hiyo "we" ni alishiriakina na huyo unaye assume na si majestic we?Kuran 15 : 26 " Na tulimuumba mtu kwa udongo unaotoa sauti, unaotokana na matope yaliyo tiwa sura. "
Quran 15 : 26 " We brought man into being out of dry ringing clay which was wrought from black mud "
Waislamu huwa wanapinga Utatu(Trinity), lakini trinity ipo kwenye Kuran.
Katika Biblia, uumbaji ulifanyika kwa Trinity yaani MUNGU Baba(Jehovah), MUNGU Mwana(Yesu) na MUNGU Roho(Roho Mtakatifu).
Ndo mana katika uumbaji kuna wingi , " tumfanye mtu kwa mfano wetu " - Mwanzo 1:26
Tukirejea kwenye Kuran uumbaji umefanyika na wingi (We / Tulimuumba) . Swali : Je , Allah alishiriki na nani katika zoezi la uumbaji?
Ikumbukwe kuwa malaika hawakushiriki katika zoezi la uumbaji.
Ikumbukwe Majestic We zinatumika kwa viongozi tu , na viongozi hao huwa kuna roho zinawaongoza . Ndo mana huwa kuna matumizi ya tuta- na sio nita-
Ikumbukwe kuna verse Allah ametumia I am na kwanini pale tu , ndipo alitumia wingi?