Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.
Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.
Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za Waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.