Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Hakuna jipya,ndoa ikawa rahisi au gharama izingatiwe ni nini impact yake?rahisi inaweza kudumu hadi maisha gharama ikadumu hadi maisha same na kuvurugika.

Hili jambo linakuzwa sana na wale wasiohudhuria mambo kama haya,zipo mahari tena kwa hao watu wanaosemwa wanapenda hela (Wachagha) baba wakwe wanaweka masharti tu kwamba zifuatwe taratibu kama za wazee wao wa zamani hawataki cash watu wanafanya wanaowa maisha yanaenda pia zipo familia za kiislamu bint anaambiwa kabisa tumekusomesha kwa gharama siyo ukataje msahafu au wanaachia wajomba waamue muowaji anatajiwa mahari itabidi awe anamiliki kisima cha mafuta arabuni ndiyo aweze kulipa.

Familia kutaja mahari kubwa ni pamoja na umaskini ila wengine ni ili thamani ya anayeolewa ijulikane aligharamikiwa hakuchukiliwa kizembe.
 
Hii nimeipenda watu waepuke zinaa ,hivi na kuachana ikoje ,ama ndio Ile kuwa muishi ndani mwezi bila kusemeshana ndio urudi kuwa bado nahitaji kumpati talaka.

Kuna mmoja alishatoa kadi akadai minimum iwe 100k mchango
Sijui kama nimekuelewa vizur,lkn kama nimekuelewa vizur iko hivi..

Ukimwacha mwanamke Kwa talaka inatakiwa akae eda miezi mitatu,kuna hekima kubwa hapa,Kwanza kuangalia je ana mimba?

Pili,huenda mliachana Kwa hasira Tu za hapa na pale mkajikuta mnafikia maamuzi ambayo kumbe baada ya Mda unagundua bado mnapendana,kwahiyo kama mnapendana ndani ya kipindi cha eda basi mnaweza kurudiana.

Lkn tatu kama kama kipindi cha eda hamuwezi kukaa pamoja Kwa maana kushea nyumba moja,basi inatakiwa mwanaume ndio ampishe Yule mke pale nyumbani na eda ikiisha basi mke anakuwa ameachika rasmi na ili umrejee basi utatakiwa umuoe tena,mazingira ya kumuoa tena ni Kwa talaka moja na mbili.

Kwahiyo sio lazima baada ya talaka mkae wote nyumba moja kama maelewano ni mabaya mno kiasi kwamba mnaweza kudhuriana
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Ila Wana robo mbaya SANA ,hawana utu wa kusamehe au kusaidia afadhari kidogo labla wanawake
 
Tena wao (Wakristo) sheria ya talaka inawabana mno, huwezi kumuacha mkeo kwa kosa jingine lolote isipokuwa la uzinifu tu, kwa Waisilamu hiyo hakuna, kama mmechokana basi talaka inaswihi ili kila mmoja akatafute ahueni huko mbele ya safari.
Na ukimuacha hutakiwi kuoa au kuolewa
 
Sorry hapa sijakuelewa vizuri,Kama nimeachana naye baada ya eda kuisha na hatujarudiana na tukiwa tumerudiana ,hatujarudiana baadaye nikataka nirudiane after two years what happened.

Thank you , you're well elaborated Ila sijakuelewa kwenye kurudiana
utatakiwa umuoe tena,mazingira ya kumuoa tena ni Kwa talaka moja na mbili
 
Kuna watu huwa wanafanya dhihaka kuwa waislamu mahari ndogo na bla bla kibao,hawajui lengo ni kufanya ndoa iwe nyepesi ili watu wafunge ndoa waepuke zinaa,lkn upande wa pili kwakuwa hamuogopi dhambi huwa mnadunda Tu!
Mashoga na machungudoa wengi ni hao wa mahari ndogo
 
Ila kweli watu wamekula kwa chips kavu na ukimuoa wanaendelea kumla kama kawaida ila ndo utaratb uo atuna jinsi.ila waislam nawakubal sana upande wa ndoa chap tu unamawazo..jamaa mlimuambia M ngap,?
Kila kitu kina utaratibu wake. Ndoa inahitaji hekima na busara ndiyo maana ukifunga ndoa ya Kikristo jua kbsa kutoka kwenye moyo na akili yako imeridhia.
Ndoa ya kikristo mtaachana km kuna mmoja wenu atazini ila kwa waislamu utaoa leo, kesho unaacha. Ni kitendo cha kutoa talaka unapiga chini
Ndoa ni taasisi ndugu
 
Back
Top Bottom