Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Ndoa ni taasisi ndiyo maana ukitaka kuoa lazima nafsi yako iridhie.
Mtaachana endapo mmoja wenu atazini na si vinginevyo.
Ni ndoa ya mke mmoja tu ila kwa waislam ataoa leo, ataacha hata km akimchoka mkewe atatoa talaka. Waislam wanaoa zaidi ya mke mmoja. Hata ukiamua kuoa leo asubuhi, jion unaacha ni sawa na talaka inatoka
 
Vipi Umemsahau yule papa Paulo mbusu ardhi??!!

Anajidai kubusu ardhi kumbe anasujudu kama wafanyavyo Waisilamu.
Kubusu ardhi ni jambo lilifanywa na watu wote hata kabla ya kuja dini ya uislamu.
Kusujudu kama wafanyavyo waislam hata miungu na watawala walikuwa wanasujudiwa
 
Katika Uisilamu ndoa na Mazishi ni mambo yaliyona taratibu maalumu za kiisilamu.
Kwanini wanawake hawaruhusiwi kwenda makaburini kwa waislamu alijibu hivi
"Mwanamke ni mtu wa kulia na kugaragara, sasa akienda makaburini, itamuongezea adhabu maiti huko aliko"
Tupe jibu lako nawe
 
Kwanini wanawake hawaruhusiwi kwenda makaburini kwa waislamu alijibu hivi
"Mwanamke ni mtu wa kulia na kugaragara, sasa akienda makaburini, itamuongezea adhabu maiti huko aliko"
Tupe jibu lako nawe

Nani huyo aliyejibu hivyo??
 
Binafsi ningepata pis ya kiislam aaaaahhhh chap tu mambo yangeisha.......huku wakristu walinambia mahari mil.2 nikajiuliza hiyo ndoa itakuwa ya bei gani.......mwanamke kuolewa ni kama stara kwake kwaio akipatkana bahatia kauelewa mzigo waislam hawana mambo mengi unakabidhiwa jiko watu wana piga ubwabwa mbaazi au chai andazi shekhe anachkua cha kwake maisha yanaendelea........ije pis ya kiislam nabadili dini fastaaa
 
Kitu kikiwa kirahisi pia kina gharama yake.Mfano kwa waislam mtu akimchoka mke hakuna kuvimiliana ni either talaka au analetwa mwenzio.Nikimchoka mume naomba talaka chap nawahi penye manufaa.Hii ya mazishi hivi mzazi kafa let's nipo Dar yeye yuko Tabora haina haja ya kusubiri ni anazikwa tu.Binafsi uislamu dini nzuri ila ndoa na mazishi hapana jmn
 
Mahari za kikristo mtihani sana, mahari utoe mil 5 halafu binti sio bikra hatari sana, ila hiki kipengele cha kufa leo unazikwa leo sikiungi mkono unaweza kuwa katika coma kwa siku 3 unakuja kushtuka upo chini umeshapigwa chepe.
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Kweli ndio rahisi likini kuhusu mahari siku hizi hakuna tofaoti imegeuka biashara
 
Wewe ni mkristo kweli??, je unajua kauli ya Yesu alipowaambia wanafunzi wake kwamba Waende duniani kote kuitangaza injili kwa kila kiumbe??-- kutangaza injili kwa kila kiumbe (hata kwa panya, mende nk) huko sikokutangaza Ukristo??, je nako huko utakuitaje??, kibaya chajiuza---?? I doubt with your christianity..

Read, Marko 16:15.
Matangazo ya kujisifia ni tofauti na mahubiri, ukitumia akili kusoma huu ujumbe katikati ya mistari utanielewa.

Afu nani alikwambia kuwa mi ni Mkristo?

Dini yangu ni UPENDO, hutaki andamana.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.

Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.

Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume akaridhia mahari dhidi ya binti ni fasta to ndoa inafungwa.

Mahari zenyewe ni kawaida tu si kama huku kwetu, wanachojali wao ni watu waowane na ndio maana ni ngumu sana kukuta jamii nyingi za waislamu wanaishi pamoja bila ndoa.
Hamia huko huko.
 
Kweli kabisa na mwanamke kazi yake ni kuchakatwa tuu haruhusiqi hata gengeni aende hiyo ni kazi ya mwanaume
Hata wewe gengengeni unaenda tu kitendo cha kumpa mkeo hela ya matumizi ni sawa na kwenda gengeni
 
Ndoa za kiislamu ni za kimchongo wala hazina mashiko, unaoa leo unaacha kesho…. huna cha kupoteza.
Wakiristo amuachani? nenda mahakamani dawati kwa mjumbe serikali ya mitaa uone wanawake walivio fulika kutaka kuachwa hasa wakirisito,waroma wao wanatengana vitanda kila mtu anakuwa anapata kwa Hawara yake,unataka kujikweza hali yakuwa mitaani tunaishi wote labda nyiyi harusi zenu ziko juu lakini sio wakiristo wote hata baadhi ya waisilamu wanafanya masherehe makubwa tu si vipato vinafanana
 
Back
Top Bottom