Waislamu Mnafeli wapi?

Waislamu Mnafeli wapi?

Hata Mimi mtu akichapia namuona ndo katoka bush anaanza tumia simu bado mshamba

What is ambato
Unajiaibisha. Hiyo bi adjective na neno "Tuvijana" hiyo ni kivumishi au adjective ya kuonesha udogo.

Au kudogosha, nlijua tu ni maamuma wewe.
 
Naam, Majini hawatakiwi kukaa katika miili ya WanaAdamu. Nawanasihi wenye Majini kwenda kufanyiwa Ruqya ya Kishari'ah na tiba zinazokubalika Kishari'ah ili kuwaondoa Majini. Na wala sio kukaa nao. Msidanganyike na sijui Maruhani sijui Majini Sharifu, ni wahuni hao. Hao ni mashaitwani. Na kama ni Majini Waislam basi watakuwa Majini wabaya wenye kufanya maasi na mambo ya uzushi kama walivyo baadhi ya Waislam katika WanaAdamu. Hivyo hakuna Majini wazuri wanaokalia watu mwilini. Kama ni Waislam kweli waende huko wakamuabudu Allah katika makazi yao.
Hayo majini na mashwetwani wanayoyakumbatia na kuyafuga ndio hayo hayo yanayowafanya wauwe na kujilipua, wachukie wasio waaislamu.

Waandamane kukataa kujengwa kwa makanisa, wachome moto makanisa na matendo mengine ya hovyo ambayo sio mazuri kwa mwanadamu mwenye dini na aliye staarabika.

Hakika hayo mapepo yawatoke mana ndio chanzo cha jihadi na ugaidi.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ukifika maeneo yaliyo na waislamu wengi kama Kigoma, Pemba, mombasa.
Swala majini utaweza kuliewa kwa mapana zaidi maaana yanakuwepo sana sehemu yenye waislamu watu.

Halafu hapa mi nimeongelea Majini Waislamu ambayo maandiko yenu yanawakubali kama ni viumbe vizuri tu

Hapa siongelei Majini waovu kama mnavyosema. Nayazungumzia yale ambayo mnasema yamesilimu na yanafuata nguzo zote za Uislamu.

Ningekuwa na maongezi na wewe binafsi ningekuambia namna ya kumtambua Jini mwislamu wakati na baada ya Swala.

Ukimwambia kwa utaratibu shehe wako anaweza kukugusia hili swala.
Nimeshajibu hoja yako kwenye Ile comment yako nyingine
 
Kwanza kabisa elewa tofauti ya dhibitisha na thibitisha.

Pili, swali lako ni logical non sequitur, nikiweza au nisipoweza kuthibitisha kwamba nipo, hoja yangu ya awali iko palepale.

Your question is moot, meaningless.
Unajua wewe ni mjanja mjanja Fulani hivi,mtu asipokujua anaweza kuona una hoja za msingi kumbe hamna lolote
 
Unajua wewe ni mjanja mjanja Fulani hivi,mtu asipokujua anaweza kuona una hoja za msingi kumbe hamna lolote
Tofauti yako na mimi ni kwamba, wewe unanijadili mimi, wakati mimi najadili hoja.

Unaelewa "logical non sequitur" ni nini?
 
Rudi kajifunze upya dini..unapo sali baada ya kumaliza unageuka kulia na kushoto kuwasalimu wakina nani kama sio majini.

Uislamu na majini ni samaki na maji.

#MaendeleoHayanaChama
Hata Malaika nao wanaswali pia,kwahiyo Acha ukuaji mwingi wakati huna lolote unalo jua
 
Tofauti yako na mimi ni kwamba, wewe unanijadili mimi, wakati mimi najadili hoja.

Unaelewa "logical non sequitur" ni nini?
Si ndio ujanja ninao uzungumza

Nimekuuliza je waeza dhibitisha kuwa hakuna Moto,unabakia kurukaruka na Maneno mengi mkuu kama sio janja janja ni nini
 
Si ndio ujanja ninao uzungumza

Nimekuuliza je waeza dhibitisha kuwa hakuna Moto,unabakia kurukaruka na Maneno mengi mkuu kama sio janja janja ni nini
Huyo jamaa hamnaga aachojua achana naye, kama mtu kila kitu anataka uthibitisho Kuna mtu hapo
 
Hii dunia imejaa udanganyifu mwingi sana.
Kiukweli kabisa hakuna kiumbe kinachoitwa "jini". Shetani na Jini hawana tofauti yoyote ile. Ni majina tu tofauti lakini kiumbe ni yule yule.

Kuna Malaika watiifu kwa MUNGU na pia kuna Malaika waasi. Hao malaika waasi ndio wakapewa jina na kuitwa "Mashetani" yaani maana yake "Maadui".

Sass hao malaika waasi kwa sababu wao ni "wadanganyifu" wamekuwa wakiwatokea Wadamu katika maumbo na sura tofauti tofauti na kujifanya kuwasaidia Wanadamu.

Dhana ya kusema eti kuna Majini mazuri, majini mabaya, na Mashetani ni mbinu ya Malaika waovu (Shetani) kuwapotosha wanadamu. Hizo ni roho zidanganyazo tena zina uwezo wa kujibadilisha na kufanana kabisa na Malaika watiifu.

Ndiyo maana mnaambiwa; "itafuteni KWELI na hiyo KWELI itawaweka huru.
Hakuna Malaika waasi mkuu futa hiyo dhana katika kichwa fasta

Malaika ni viumbe Safi Sana WA Mwenyezi Mungu na ndio wasaidizi wake,hawezi kuwa na viumbe wa ovyo.

Ingia darasani Kwanza ndo uje na hizo hoja zako

Shukrani
 
Back
Top Bottom