Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Dini haisemi hivyo hao ni watu tu binafsi wameamua kufanya hivyo kama ambavyo mwamposa kaamua kufanya anayoyafanyaKama Dini ndio inavyosema kwamba uwafuturishe matajiri wenzako basi DINI HIYO NI UTAPELI , MAMBO YA KUCHOTA MAJI KUJAZA BAHARI, WANAOFUTURISHA WENYE UHITAJI NAONA WANAFANYA VIZURI, FUTARI GANI UNAALIKA WATU WASIO NA UHITAJI? AU LABDA MAANA YA KUFUTURISHA MIMI NDIO SIIJUI UNIAMBIE, AU NDIO UNAMAANISHA KUFUTURISHA NI KUKUSANYIKA TUU WATU WOWOTE WALE MKILA JIONI ILE MDA WA KUFUTURU NDIO UMEFUTURISHA AU SIO!? BASI SAWA
Mbona viongozi WA Dini hiyo NAO wanakua mstari WA mbele hapo, basi tuishie Kwa kusema DINI NI BIASHARA KAMA BIASHARA NYINGINEDini haisemi hivyo hao ni watu tu binafsi wameamua kufanya hivyo kama ambavyo mwamposa kaamua kufanya anayoyafanya
Ukweli huu MCHUNGU hawataki kuusikiaFtari ilikuwa zamani bhana, siku hizi ni usanii na uhuni mtupu. Laanatulah kabisa!
Viongozi wa dini ni akina naniMbona viongozi WA Dini hiyo NAO wanakua mstari WA mbele hapo, basi tuishie Kwa kusema DINI NI BIASHARA KAMA BIASHARA NYINGINE
Uzushi na uongo ni dhambi kwa mwenye imani na mungu!Ila kuna mambo yanafikirisha sana unakuta kiongozi wa kisiasa mkristo ( mbunge, dc, rc,waziri, ) tena wengi wanatumia fedha za Serikali wanaandaa futari wanaalika watu waje kufuturu 80% ya waliohudhuria ni viongozi wenzake na matajiri na baadhi ya mashekhe 2 ,3 wa hapo wilayani au mkoani .
Kinachofanyika hapo kwa kweli ni mdhaha mtupu jinsi mafundisho ya dini ya kiislamu yanavyoeleza kuhusu futari.
Ni vyema basi hao Bakwata wakatoa Muongozo kwa watu wanaoandaa hizo futari hususani Wanasiasa kuhusu namna bora na ya kistaha na inayofuata misingi ya kiislamu ya kufuturisha.
Viongozi wa dini ni akina nani
Hao ni wahuni tu kama chid benz
HICHO KIPANDE KIMENIPA MAJIBU KUA SITAKIWI KUBISHANA NAWEWE, MAANA HUELEWI HATA NINI KINAZUNGUMZIWA HAPAKwani wanaofuturisha wanakukwaza sana mkuu hadi unataka bakwata iwapangie utaratibu?
Kwahiyo viongozi wako WA DINI YA MNYAZIMUNGU NI WAHUNI KAMA CHID BENZ (WANAKULA UNGA AUSIO)Hao ni wahuni tu kama chid benz
Hata wewe ni wa Mungu, na unaweza ukawa mhuni, shida yako ni nini ili ufafanuliwe zaidi?Kwahiyo viongozi wako WA DINI YA MNYAZIMUNGU NI WAHUNI KAMA CHID BENZ (WANAKULA UNGA AUSIO)
Haya kama NI muhuni, lakini sili ngada kama chidHata wewe ni wa Mungu, na unaweza ukawa mhuni, shida yako ni nini ili ufafanuliwe zaidi?
Yananihusu SanaSasa.maisha ya rama.yanakuhusu nini??
Sawa, lakini haiondoi maana ya kuwa bado wewe ni mhuni.Haya kama NI muhuni, lakini sili ngada kama chid
Maybe halafu hao sio viongozi wangu.Kwahiyo viongozi wako WA DINI YA MNYAZIMUNGU NI WAHUNI KAMA CHID BENZ (WANAKULA UNGA AUSIO)
Acha umbeya utasutwa na kuvalishwa khanga mwanaume mtu mzima na dera juu . Imani ya mtu inakukwaza nini kama sio wivuYananihusu Sana
Wapi nimeonyesha chuki?Uzushi na uongo ni dhambi kwa mwenye imani na mungu!
Una uhakika kiasi gani kuwa wanatumia hela za serikali,kwamba wao hawana hela?
Kwani akiwa mkristo amekatazwa kutenda jambo jema kuwatendea wasiokua wakristo?
Kwani wanaofuturisha wanakukwaza sana mkuu hadi unataka bakwata iwapangie utaratibu?
Pole mkuu,jitahidi uwe chanya vinginevyo utateseka sana rohoni nakwambia! Mapadri na mashekhe ni washkaji,we unaeijua dini kuliko wao endelea kufuga chuki moyoni adi siku ya kifo chako.maana haya mambo yalikuwepo,yapo na yatakuwepo sana tu
Soma heading, nipe jibu! Au ndio ushashiba magimbi na uji unajamba tuu hapo huelewi somoAcha umbeya utasutwa na kuvalishwa khanga mwanaume mtu mzima na dera juu . Imani ya mtu inakukwaza nini kama sio wivu
Samahan ndugu mtoa mada hivi umeuliza unataka kujua ili ufanyajeSoma heading, nipe jibu! Au ndio ushashiba magimbi na uji unajamba tuu hapo huelewi somo