Waislamu nijibuni maswali haya kuhusu Iftari

Waislamu nijibuni maswali haya kuhusu Iftari

DINI NI UTAPELI,DINI NI BIASHARA KAMA BIASHARA NYINGINE

DINI NI PROJECT ZA WATU

Kasome Mathayo 23 yote uone YESU akiwapiga spana viongozi na wafia dini

Mambo yaliyotajwa pale mengi yapo Hadi leo,

DINI NI UTAPELI, DINI NI UTAPELI,KATAA DINI

YESU HAKULETA DINI ,YESU ALILETA WOKOVU

DINI NI NJIA /UTAPELI WA MWANADAMU KUTAFUTA PESA KUPITIA JINA LA MUNGU

WOKOVU NI SCENARIO YA MUNGU KUMTAFUTA MWANADAMU ALIYEPOTEA
 
UMEMALIZA
 
Wapi nimeonyesha chuki?
Ma dc, ma rc ma ded hadi Rais wa Nchi wanafuturisha kwa kutumia fedha za Serikali .
Nimetoa ushauri tu kwani kinachofanyoka hakijakaa sawa.
Wewe ndiye utakuwa unateseka kuona jinsi misingi ya iftar ya dini ya kiislamu inavyochezewa.
Pole sana , ni vyema basi ukashauri viongozi wenu wachukue hatua kurekebisha kasoro
Kwa mujibu wa sheria ya Kiislamu kutumia fedha za serikali kufuturisha kwa maslahi binafsi au watu wenye uwezo ni kosa la kiutawala na sheria
 
Screenshot_20250320_233839_Instagram.jpg
 
Nilikua napiga story na jamaa mmoja ni muislamu anafanya kazi kwa wahindi waislamu. Wanaanda aga iftari sehemu expensive wanatumiaga hata 5m.
Akawa anahoji si ni Bora iyo pesa ingetumika kuwa ongezea mishahara au kuboresha mazingira eneo la kazi au kwa mfanyakazi mmoja mmoja kuliko kwenda kuifuja Mara moja kwa kuifanyia show off... mwenyezi Mungu anasingiziwa mengi sanaa
 
Hii ni 2025 wanavutwa bila kujua,kuna mwamba huko aligoma kujengewa Miskiti akasema wajengewe shule,hospital na pembejeo ili wajiendeleze kwakua msikiti wkt mwingine hata nyumba yako unaweza ifanya nyumba ya ibada,ila huku hakuna mwenye uwezo wakuhoji nahio futari nikodi uliokatwa ulipoenda nunua sukari dukani.
In nutshell hela wanazotoa wanasiasa nikodi zako mwananchi ukijua unakula hela yako mwenyewe huwezi nunuliwa Kwa vitu vidogo km hivyo
 
Wapi nimeonyesha chuki?
Ma dc, ma rc ma ded hadi Rais wa Nchi wanafuturisha kwa kutumia fedha za Serikali .
Nimetoa ushauri tu kwani kinachofanyoka hakijakaa sawa.
Wewe ndiye utakuwa unateseka kuona jinsi misingi ya iftar ya dini ya kiislamu inavyochezewa.
Pole sana , ni vyema basi ukashauri viongozi wenu wachukue hatua kurekebisha kasoro
Thibitisha kuwa wanatumia fedha za serikali,kwani wao hawana pesa zao mpaka useme wanatumia pesa za serikali? Kufuturisha sio kujenga barabara au hospital kwamba inakubidi uwe bilionea ndio ufanye hivyo.hata wewe unaweza futurisha uwapendao!

Kuwazushia watu wanaojumuika na watu kwa upendo wao ili kujenga mahusiano mazuri na watu bila kuwa na hata robo ya ushahidi kama sio chuki na kuchafuana tu ni nini?

Unaposema misingi ya dini ya kiislam inachezewa unataka kusema wewe unaijua zaidi misingi hiyo kuliko wenye dini yao?
Kuna dini inayozuia watu kujumuika pamoja wakiwa na jambo lao jema?

Unapozungumzia kasoro unamaanisha nini? Kwani wewe unayefunga kwaresma umekamilika kiasi cha kuona kasoro za waliofunga ramadhani?
Kuna roho flani inakusumbua,ndio maana huoni uzuri kwenye mambo mema! Shika imani yako waache na imani yao!

halafu hata yesu ameshauri juu ya hiyo tabia,akasema kabla ya kuhangaika na boriti jichoni kwa mwenzio anza kwanza na banzi lako jichoni mwako! Jichunguze hii ni kwaresma,je umefunga? Unatengeneza na mungu wako? Je unatengeneza na jamii yako? Ukifanya hivyo utakosa muda wa kuhangaika na yasiyo kuhusu! Na roho yako itakuwa na amani.

Nimekuuliza hata yesu alilisha watu hadharani wakala hadi wakasazaje,na yeye alikuwa anaichezea dini?
Alijumuika na watu nyumbani kwa zakayo,aliwapenda wakosefu,hadi kupakwa mafuta na kahaba je,na yesu alikuwa anafanya show off kama ulivosema?

Halafu uwe una jibu hoja
 
Back
Top Bottom