Waislamu nijibuni maswali haya kuhusu Iftari

Ishu inayojadiliwa hapa ni dhihaka inayofanywa kwenye dini.
Huwezi kuzalilisha dini halafu ukasema una uhuru wa kujifanyia jambololote.
Hii dhihaka inayofanywa kwa uislamu kupitia haya matamasha waliyoyapachika kufuturisha inabidi ikomeshwe .
Inashangaza kidogo kuona mtu eti anaandaa tamasha la uzinduzi wa sabuni na kulipachika jina eti iftar huu ni uzalilishaji wa dini
 
Yote wanayafahamu ila wanajitia upofu.....
 
Kwa nini tende ndio futari iliyo bora??
Anaropoka tu, tende ni kwa sjili ya kubreak fasting kupandisha sukari na glucose.

Sasa muulize sehemu ambazo hakuna tende wasifuturu?

Wazungu wana kitu wanaita starter, kabla ya mlo wenyewe unaliandaa tumbo na starter, ndio kasupu fulani laini au kamtori, sasa Waarabu starter yao ni tende.

Kuna majitu majinga kila anachofanya Mwarabu wanadhani ni dini kumbe ndio utamaduni wao hata Waarabu Wakristo nao wako hivyo hizo ni tamaduni siyo dini.

Kuna Mtanzania anamani hadi lafudhi aongee kama Mwarabu.

Namkubali sana mtangazaji mstaafu wa VOA Shaka Sali amekaa Marekani miaka mingi lakini anaongea kingereza kwa lafudhi ya Kiganda, huku ndio kunaitwa kujitambuwa.
 
Yaani dhihaka wafanyiwe waislam kuteseka uteseke wewe mkristo,huoni kama kuna shida hapo! Kwamba wewe una ijua na una uchungu sana na dini yao kuliko wao mpaka uwapambanie?

Kila kitu kinategemea mtu alivyokitafsiri,wewe umetafsri kuwa ni dhihaka,sawa.
je,kama wao wametafsiri ni jambo la hamasa,upendo na kuwaleta watu pamoja? kwahiyo wewe ndio uko sahihi na wao wanakosea?
Ukiwa hasi kuuona uzuri ni kuchagua! Na unaweza ukachagua kuuona ubaya tu kwenye chochote usichokipenda hata kiwe kizuri kiasi gani!
 
NI wafanyakazi wa serikali
 
Mkuu umefafanua vizuri mno, hadi nimekuelewa vilivyo!
 
Waislam wenzio wanasema hii siyo sawa
 
Daah! Umenigusa mkuu.
 
Asalaam alkum....lengo kuu la iftari,nikuwalisha wasio jiweza,mayatimaa,maskini walio funga lakini ftari hawana,pia na kupata thawabu kwa ALLAH.kuna watu wengi tu wanafturisha yatima,maskini bila camera,walaa picha na hii ndo sia na fadhila za ftari na funga. Qruan inasema ole wao wanaufanya ria katika ibada(ria ni kujionesha,).hao wote unao waona wanakosa fadhila za iftari,maana wanafanya kwa kujionesha.yawezekana mzee baharesa alftarisha na kutoa sadaka sanaa lakini ulishamuona anatoa mbele ya camera.
 
Hapa umemaliza kila kitu, akiendelea kukaza fuvu atakuwa na malengo yake mengine huyo pimbi.
 


Sikiliza Matola hiyo ni Sunnah ya Mtume. Kufungua kwa Tende tosa, kama akikosa basi kwa Tende za kawaida kama akikosa basi kwa Maji.

Japo mtu anaweza kufungua kwa chochote kile kitakachomuwepesikia, hapana ubaya akifungua kwa chochote. Ila imependekezwa bora zaidi ni hizo hapo juu nilizozitaja.



Wakati mwengine mtuachage tu Waislam na Dini yetu, msiwe mnatusemea semea kwenye Dini yetu. Sisi Dini yetu imejitosheleza.
 
We inakuuma nn mzee.?? Acha unafki just mind your own business.
 
Hongereni Sana wakristo, mfungo wenu umekua SIO wa maonyesho, hapa sasa ndio tunapata picha Dini ipi NI ya ukweli.

Sasa umewauliza swali Waislam la nini? Si ungetoa tu hii statement yako kwenye paragraph ya mwanzo ukaeleweka lengo lako. Lengo lako sio kujifunza na wala huumizwi na hao kina Diamond wala nini. Wewe lengo lako ni uutukane Uislam kwa chuki na husda uliyonayo.



Sisi Waislam tuna Dini yetu na nyinyi mna dini yenu. Tuacheni na Dini yetu.

Qur-aan 109 : 1-6


1. Sema: Enyi makafiri! 1

2. Siabudu mnacho kiabudu; 2

3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 3

4. Wala sitaabudu mnacho abudu. 4

5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu. 5

6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu. 6
 
Kwanza ukristo ukifunga hautakiwi kutangaza ni siri sasa wao nawafanya sifa kabisa hata ambao sio waislamu wanafuturisha kabisa na maostazi wanahudhuria kwa njaa zao kabisa wanakaa mstari wa mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…