Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,913
- 5,318
QURAN 17:110 inasema, wala usiswali kwa sauti kubwa au ndogo sana, bali mtumie sauti ya katikati.Mimi nilifikiri iko kwenye msahafu, kumbe wamejitungia wao.
Na vipi ile ya kutundika ma loudspeakers kwenye mapaa ya misikiti ni aya gani ya kuruwan?
CC: Bwana Utam Kisai Njooni kwa ufafanuzi