Wapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"Ulikosa kuvaa hata kibagalashia mkuu
Haa...ha ha ha ha ha,Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hi, watanganze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wennyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?
Huo si uhuni?
Karamu ya bwana tajiri hiyoo!Wapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"
Ikabidi wageuze tu
Sio kweli kabisa, Nyama imegawiwa kwa watu wote bila kujali Kabila Dini wala Umri na hata watu wengine wamethubutu kuchukua kwenye Misikiti tofauti bila bughudha.Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hi, watanganze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wennyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa...
😂😂😂Wapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"
Ikabidi wageuze tu
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"
Ikabidi wageuze tu
Hatuli na makafir sisi
Hii ndo maana halisi ya UislamuInakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hi, watanganze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wennyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?
Huo si uhuni?
Hii ndo maana halisi ya Uislamu
wanapendana wao kwa wao na wanahurumiana sanaaa...