Waislamu wametufanyia uhuni mtaani kwetu kwenye hii sikukuu yao

Waislamu wametufanyia uhuni mtaani kwetu kwenye hii sikukuu yao

aise

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2018
Posts
5,175
Reaction score
16,488
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?

Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?

Huo si uhuni?
 
Na hali hii ya uchumi wa kati mkuu watakuwa wamekuumiza kweli...
 
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hi, watanganze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wennyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?

Huo si uhuni?
Haa...ha ha ha ha ha,
 
Wapo waliovaa balakashia na kanzu walipofika kwenye foleni wakakuta wale wagawaji wanawauliza "nisomee juzuu fulani"

Ikabidi wageuze tu
Karamu ya bwana tajiri hiyoo!

Hata kama ulijitambulisha kwa jina la "Juma" Kisha watu wengine walipoulizwa kuhusu jina lako wao wakasema unaitwa "Jumaa"basi inakula kwako!

Au ulijitambulisha kwa jina la Mohamed kisha wengine wakasema unaitwa Mwamedi, ndo basi maana huaminiki.
 
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hi, watanganze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wennyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa...
Sio kweli kabisa, Nyama imegawiwa kwa watu wote bila kujali Kabila Dini wala Umri na hata watu wengine wamethubutu kuchukua kwenye Misikiti tofauti bila bughudha.

Hata hivyo madhalimu hawawezi kukosekana kwe baadhi ya maeneo, badala yakutoa Sadaka wao hufanya fursa ya kupiga pesa!.
 
Mimi sio muislamu ila nina kanzu nina kilemba na hadi misikiti mikubwa naingia kuswali nina changamana nao ktk DUAH nakula sana vyakula vyao huwa siogopi kama nikidhamiria kula ubwabwa wao , ninajuwa haya mbili tatu tu na ninalafudhi nzuri tu ya kuisoma kwaiyo naweza anza alafu nikajifanya ninakohoa sana ninaomba udhuru inakuwa imepita iyo
 
Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hi, watanganze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wennyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa?
Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure?

Huo si uhuni?
Hii ndo maana halisi ya Uislamu
wanapendana wao kwa wao na wanahurumiana sanaaa

Sisi Waislamu sikukuu kma hizi hutakiwi ufurahi peke yko ili hali jirani yko ana njaa watakiwa umfanye na Muislamu mwenzako awe na furaha siku ya Eid

M sijawahi kuona Wakristo wakifanya hivi hta siku moja

karibuni kwenye dini ya haki
 
Sadaka ikitilewa (kama hio nyama) kipaombele Cha kwanza ni waislamu (waumini) ,pili majirani waislamu na mwisho majirani wasio waislamu.

Kwahiyo Labda ulikosa kwasababu nyama ilikuwa ndogo kuliko idadi ya watu (huwezi kupewa kwanza usiye muislamu akaachwa mlengwa) ,au wagawaji walipiga hat trick .

Ulikosa hata mualiko?
 
Back
Top Bottom