Hatua muhimu hii. Kwa hiyo Yesu na Isa AS ni watu wawili tofauti siyo?Soma uelewe kwanza ,hakuna yesu kwenye uislamu ...Nabii issah ndiye atarudi kwa ajili ya Manaswara( walimuita Mungu wakati yeye ni nabii ?
Kupambana na Masih Dajjal sio kuhukumu ulimwengu 🤣
Duh kwa hiyo kwa Uislam itakuaje sasa? Maana tunambiwa kila siku kuwa ni dini ya haki na sahihi ya Allah?Atakapokuja Issa bin Maryam,atakuja na dini sahihi duniani,ndio ataondoa utata uliopo wa hizi dini nyingi kama utitiri,kitendo hicho kinatafsiriwa kama hukumu ambapo si kweli.
Au basi mkuuWewe leta kwa kiarabu chenu kama kama haiajtaja kwamba atahukumu kwa haki na kutawala.....huyo nabii ana nguvu gani hizo.
Waislamu issah ni Mtume wakati wakristo wanamuita Mungu ...Huoni ni tofauti kimapokeo.Hatua muhimu hii. Kwa hiyo Yesu na Isa AS ni watu wawili tofauti siyo?
Wapi onesha kwenye Qur an , kutokana na mapokeo ya Qur an ni kwamba issah atadili na wale waliomuita Yeye ni Mungu ...Vile vile kwa upande wa kuja Masih Dajjal utawala wake utakuja kuondoshwa anaporejea issah(S.a.w)Huyo atatoa hukumu kwa watu wote kama nani maana mnaamini nabii issa alikua mwanadamu wa kawaida, unapoongea kuhusu binadamu ujue sasa hivi tuko nafikiri bilioni saba, na waliokufa mpaka leo hii ni matrilioni ya watu, na wale bado hawajazaliwa yaani mpaka huyo nabii wenu anakuja kuhukumu kutakua na matrilioni ya nafsi, atawahuku wote hao kama nani kwa mamlaka gani wakati yeye ni mwanadamu tu.....
Andiko lenu linasema "will judge mankind justly"
Siyo mapokeo hizo ni nafsi 2 tofauti. Ukikubali hilo wala hutapata tabuWaislamu issah ni Mtume wakati wakristo wanamuita Mungu ...Huoni ni tofauti kimapokeo.
Unamuita mtu kafiri wewe ukiwa na mlengo gani ,Qur an imeandika tofauti ya Muislamu na asiyekuwa muislamu ni Salah 5.Siyo mapokeo hizo ni nafsi 2 tofauti. Ukikubali hilo wala hutapata tabu
Nafuata mlengo wa Quran ilivyosemaUnamuita mtu kafiri wewe ukiwa na mlengo gani ,Qur an imeandika tofauti ya Muislamu na asiyekuwa muislamu ni Salah 5.
Sasa angalia kipindi Qur an inashushwq na somq kila Ayah : je, ilikuwa ni kipind gani ? Hapo utapata .Nafuata mlengo wa Quran ilivyosema
Wapi onesha kwenye Qur an , kutokana na mapokeo ya Qur an ni kwamba issah atadili na wale waliomuita Yeye ni Mungu ...Vile vile kwa upande wa kuja Masih Dajjal utawala wake utakuja kuondoshwa anaporejea issah(S.a.w)
Nabii issah(S.a.w) sio Mungu ,Mungu kuzaa wala hakuzaliwa ...Issah sah(S.a.w) alitumwa kwa wanaisrael sio dunia nzima .Nini maana ya hii "will judge mankind justly", atahukumu binadamu kwa haki, akiwa kama nani na kwa mamlaka yapi.
Nabii issa wenu huyo huwa mnasema hana uungu wowote, hivyo hata nikitaka niamini mnavyosema atadili na watu wanaompa uungu, ikumbukwe ni matrilioni ya watu ukizingatia waliokufa hadi leo na mabilioni ya waliopo leo na watakaokufa kabla hajaja, atakua na uwezo gani huo bila uungu wa kudili na wote hao.
Nabii issah(S.a.w) sio Mungu ,Mungu kuzaa wala hakuzaliwa ...Issah sah(S.a.w) alitumwa kwa wanaisrael sio dunia nzima .
Huu mfumo wako wa kukabia juu sana hakikisha hupotezi momentum vinginevyo itapigwa kaunta hapa utaokota kunyavu. 🤣🤣Sawa hana uungu, basi niambie atahukumuje matrilioni ya watu huyo nabii binadamu, kwa mamlaka gani..... "will judge mankind justly"
Huu mfumo wako wa kukabia juu sana hakikisha hupotezi momentum vinginevyo itapigwa kaunta hapa utaokota kunyavu. 🤣🤣
🤣🤣Wewe umeitoa wapi ,wakati inaelezwa itakuwa ni nyakati za Massh Dajjal ,basi akija ataleta usawa na haki ...Sawa hana uungu, basi niambie atahukumuje matrilioni ya watu huyo nabii binadamu, kwa mamlaka gani..... "will judge mankind justly"
Hujui Uislamu! Au husomi Quran na Hadith za Mtume.Hakuna mahala pamesema atakuja kuhukumu acheni kukurupuka nadhani ulihitaji kuanzisha mjadala bubu.
🤣🤣Wewe umeitoa wapi ,wakati inaelezwa itakuwa ni nyakati za Massh Dajjal ,basi akija ataleta usawa na haki ...
Jiulize kwa nn atarudi tena? Kiufupi katika uislamu Issah bina Maryam hakumaliza mafundisho yake ,alipaishwa katika kile kisa cha kutafuta ili kusulubiwa ...Sasa atarudi tena na pia ataongoza kwa kufuata Qur an ...Anayekumu ni Mungu pekee sio Mtume wala Nabii.