Waislamu wanatubeba sana!!

Hata waganga wa kienyeji na wachawi nguli asilimia kubwa ni waislamu
NAAM, NAMI NIMESHUHUDIA WAGANGA WENGI WA JADI UBADILI DINI NA KUWA WAISLAMU WAKIDAI KUWA MAJINI (MAPEPO) YANAYOWAWEZESHA UGANGA WAO NI YA IMANI YA KIISLAMU. MARA NYINGI TUKEMEAPO MAPEPO (MAJINI/MASHETANI) IFIKAPO SAA SABA ISIKIKAPO ZANAA UTAYASIKIA YANASEMA, ...KWA KHERINI KWA MUDA LAKINI TUTARUDI, TUNAKWENDA KWANZA KUSWALI!
KWA HIYO NI DINI ILIYO NA CONNECTION YA MOJA KWA MOJA NA YULE MWOVU.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Uliifata bible au Quran?
Baada ya kusoma vitabu vyote na kupata ufafanuzi pale ambapo sijaelewa, niliamua kufuata Quran
Kwanza niliona Qurani inaikubali Biblia na wale wanaofuata mafundisho kikamilifu na pia Quran imemuelezea Yesu na miujiza yake hatua mbali mbali tangia utoto; wakati huku kwenye Bible nilikutana na yesu akizaliwa na kuja kukutana naye tena akihubiri
Lakini pia kwa asilimia kubwa kwenye Quran sikupata kauli zinazo pingana ndani ya kitabu kimoja ( hapa kasema fanya hiki, huku kasema usifanye; Kiufupi Quran ipo very straight nk nk nk nknknk
Muhimu; Usifuate waislam, fuata mafundisho ya uislam!
 
KATIKA EXPERIENCE YANGU YA MAJINI/MAPEPO. MAJINI YOTE UKIYAULIZA JINA, NI ... ZAITUNI, HABIBA, ASHURA, NK.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo hapo dini ya kiislamu ndio imewatengeneza kuwa hivyo?
Kwa hiyo tatizo ni dini ya kikristo ama ni mtu binafsi aliyefanikiwa kushika madaraka?
Kama hivyo ndivyo mbona kuna sehemu zenye waislamu tupu na hazijanawiri kwa kuwa na viongozi wa kiislamu? Na kama tatizo ni dini ya kikiristo mbona kuna sehemu zinazoongozwa na haohao wakristo na zimenawiri vyema?
Nafikiri hoja hapa sio dini ya mtu bali ni nafsi binafsi ya kiongozi husika
 
Lakini cha ajabu wanaoruhusu ndoa za jinsia moja ni ....!!

Pia tusisahau lile kanisa letu kuu linavyotikiswa Duniani kote na kashfa ya viongozi kulawiti watoto.
bora wao wana ruhusu kuliko hawa wanao fanya kwa kificho unafki ni mbaya sana
 
Kwahiyo ndugu na kusoma kote huko vitabu hivyo takatifu Qurani vs Biblia hizi ndiyo findings zako?
 
1.kufuga mbw kwa ulinzi ruksa.
2.kuchukua mke wa mtu inategemea maana hata zayd bin harithan mke wake alichukuliwa na bwana mkubwa
3.hao wakina deliciuos sijui
 
Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie
Hizi ni koment za watoto wa facebook za kuanza na mimi ni flani ila .....
 
Mimi ni mkristo ,huu ndio ukweli..Leo hii Marais wote Wakristo wako kaburini lakini Waislam wapo sasa fuatilia tawala za kikristo utaona walivyokuwa na nongwa na Kwa hiyo wanakufa kwa sonona kutokana na matendo Yao.
Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake,kwa hiyo Maisha ambayo Mwenyenzi Mungu aliwapangia kuishi yamepunguzwa kwa sababu ya ukristo wao?
Ina maana urefu wa maisha ni proportional na matendo yako duniani?sijawahi sikia hiyo
 
Roho mbaya,unafiki,ushoga na umbeya ni wa kwako na sio ya ukristo.
Halafu wewe unajitia ukristo wakati ni alshabaab wa mkiru huko Mtwara.
Mbona hamjajiorodhesha kwa kuongoza kwa kuwa magaidi na mawakala wa magaidi nchini?
Wafadhili wakuu wa ugaidi Tanzania uwe unaofanyika Somalia ama Msumbiji ni ninyi
 
Kwahiyo ndugu na kusoma kote huko vitabu hivyo takatifu Qurani vs Biblia hizi ndiyo findings zako?
nimesema nk nk nk nk na maanisha naweza kujaza more than 20pages kwa mimi nilivyo ona.
Mfano mwingine: Biblia inatambua kuwa makosa yote yapo sawa, Aliyeiba muhindi wa mtu shambani kwa sababu ya njaa na aliyechepusha dawa za Hospitali watu wakafa kwa kukosa huduma ni sawa; au pengine aliyeiba chungwa na yule anaye punja watu dukani kwake kupitia Mizani ni sawa au pengine anayepindisha sheria watu wakose haki, naye ni sawa nknknknk wakati Quran inatambua kuwa makosa yapo tofauti na yatapimwa kwa mizani
By the way, nimejibu swali nilililo ulizwa wala sipo kwenye kampeni ndio sababu sina haja ya kuandika hapa kwani hiyo ni mada tofauti
 
Kwahiyo ndugu na kusoma kote huko vitabu hivyo takatifu Qurani vs Biblia hizi ndiyo findings zako?
Mimi nilikujibu ukasema nifunge domo langu. Mkaka amekujibu vizuri kabisa bado hujaridhika! Unachekesha anko
 
Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie
Wanaoongoza kwa utawala bora Duniani ni Roman catholic ukiachana na Dini nyingine na madhehebu yake.

Hii inadhihirishwa na kauli ya imamu mkuu wa Tanzania jina limehifadhiwa ambaye alisema Nimejifunza kitu[emoji16]

Kwa hayo aliyoandika mtoa mada simpingi ni kweli kabisa wanatubeba sana kwenye mambo ya socio-poli entatainment. Big up sana waislam endeleeni na mwendo huo huo[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…