Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAAM, NAMI NIMESHUHUDIA WAGANGA WENGI WA JADI UBADILI DINI NA KUWA WAISLAMU WAKIDAI KUWA MAJINI (MAPEPO) YANAYOWAWEZESHA UGANGA WAO NI YA IMANI YA KIISLAMU. MARA NYINGI TUKEMEAPO MAPEPO (MAJINI/MASHETANI) IFIKAPO SAA SABA ISIKIKAPO ZANAA UTAYASIKIA YANASEMA, ...KWA KHERINI KWA MUDA LAKINI TUTARUDI, TUNAKWENDA KWANZA KUSWALI!Hata waganga wa kienyeji na wachawi nguli asilimia kubwa ni waislamu
Baada ya kusoma vitabu vyote na kupata ufafanuzi pale ambapo sijaelewa, niliamua kufuata QuranUliifata bible au Quran?
KATIKA EXPERIENCE YANGU YA MAJINI/MAPEPO. MAJINI YOTE UKIYAULIZA JINA, NI ... ZAITUNI, HABIBA, ASHURA, NK.NAAM, NAMI NIMESHUHUDIA WAGANGA WENGI WA JADI UBADILI DINI NA KUWA WAISLAMU WAKIDAI KUWA MAJINI (MAPEPO) YANAYOWAWEZESHA UGANGA WAO NI YA IMANI YA KIISLAMU. MARA NYINGI TUKEMEAPO MAPEPO (MAJINI/MASHETANI) IFIKAPO SAA SABA ISIKIKAPO ZANAA UTAYASIKIA YANASEMA, ...KWA KHERINI KWA MUDA LAKINI TUTARUDI, TUNAKWENDA KWANZA KUSWALI!
KWA HIYO NI DINI ILIYO NA CONNECTION YA MOJA KWA MOJA NA YULE MWOVU.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo hapo dini ya kiislamu ndio imewatengeneza kuwa hivyo?Tuache kutoa mapovu ndugu zetu waislamu wametuzidi vingi hata hekima za kiongozi na sio ushamba, hivi Rais aliyeitoa nchi kwenye umaskini wa watu kukosa Hadi nguo una mwita fisadi, hivi kikwete utawala wake nchi yetu Ili shine kimataifa, aliajiri maelfu ya graduates kila mwaka, wenye vyeti feki na hewa, uchumi ukastawi uwekezaji ukawa nje nje, Hadi tukatembelewa na viongozi wakubwa duniani ka Obama utamlinganisha na jiwe?
Kikwete alifanya makubwa sema hakuruhusu sifa za kijinga kusifiwa na kutisha vyombo ndio maana unaona eti ufisadi ulikuwa mkubwa.
Kikwete hakuwahi kuingilia bunge, mahakama vilikuwa huru na democrasia ilishamiri utamlinganisha na mwendazake kweli?
Wakristo tumepigwa gap vile awamu za Hawa jamaa huruhusu uhuru wa kuongea na hawapotezi watu ndio mnasema mafisadi, report za CAG zilikuwa zinaomgesha madudu daily Hadi Assad akaitwa bungeni hapo unasemaje?
Uraisi wa Samia hajafikisha mwaka ila Kuna mabadiliko hajaingilia account za watu na kuwanyang'anya feza kinguvu in name of uzalendo, Sasa watu wameanza kufungua mabiashara yaliyofungwa kiuonevu napo utasema ni ufisadi.
Lakini cha ajabu wanaoruhusu ndoa za jinsia moja ni ....!!pia waislam ndo wanaongoza kulawiti watoto
m.f madrasa
Ndio Mama Debora
bora wao wana ruhusu kuliko hawa wanao fanya kwa kificho unafki ni mbaya sanaLakini cha ajabu wanaoruhusu ndoa za jinsia moja ni ....!!
Pia tusisahau lile kanisa letu kuu linavyotikiswa Duniani kote na kashfa ya viongozi kulawiti watoto.
Bora kuruhusu eenh?bora wao wana ruhusu kuliko hawa wanao fanya kwa kificho unafki ni mbaya sana
Kwahiyo ndugu na kusoma kote huko vitabu hivyo takatifu Qurani vs Biblia hizi ndiyo findings zako?Baada ya kusoma vitabu vyote na kupata ufafanuzi pale ambapo sijaelewa, niliamua kufuata Quran
Kwanza Qurani inaikubali Biblia na wanaofuata mafundisho kikamilifu na pia Quran imemuelezea Yesu na miujiza yake hatua mbali mbali tangia utoto; wakati huku kwenye Bible unakutana na yesu akizaliwa na kuja kukutana naye tena akihubiri
Lakini muhimu pia, kwa asilimia kubwa kwenye Quran sikupata kauli zinazo pingana ndani ya kitabu kimoja
nk nk nk nk nk nk .....
1.kufuga mbw kwa ulinzi ruksa.Ukweli Ni kwamba Kuna watu wengi sana Wana majina yanayoendana na ya waislamu lkn watu hao sio waislamu.
Hivi unaweza kusema Naseeb nimuislamu ?
Uislam unaruhusu kufuga mbwa?
Uislam unaruhusu kuchukua mke wa mtu?
Uislam unaruhusu wizi au kutembea na kina delicious?
Hizi ni koment za watoto wa facebook za kuanza na mimi ni flani ila .....Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie
Kweli akili ni nywele na kila mtu ana zake,kwa hiyo Maisha ambayo Mwenyenzi Mungu aliwapangia kuishi yamepunguzwa kwa sababu ya ukristo wao?Mimi ni mkristo ,huu ndio ukweli..Leo hii Marais wote Wakristo wako kaburini lakini Waislam wapo sasa fuatilia tawala za kikristo utaona walivyokuwa na nongwa na Kwa hiyo wanakufa kwa sonona kutokana na matendo Yao.
Roho mbaya,unafiki,ushoga na umbeya ni wa kwako na sio ya ukristo.Shida sie wakristo ni roho mbaya na unafiki mwingi mtu ana mtaja Mungu kila saa mara Kristo Tumaini letu mdomoni ila hayaishi matendo mema ya Kristo, imagine Rais ni Mkristo watu wanaonewa hadharani, watu wanauliwa kwenye viroba wala hatoi tamko la watu na anaenda kanisani madhabahuni ana mtaja Kristo na ma padre Wana mpa ruhusa ka si kunajisi Imani nini?
Hafu ni nadra waislamu kuwa mafisadi waliokubuhu ka ni kula kila mtu ale kwa nafasi yake bila kuzuia wengine.
Dah wakristo tujitafakari matendo yetu, wenzetu waislamu ni rahisi kutoa kwa wenye uhitaji ni wakristo wangapi husaidia wenye uhitaji, tunabaki kulaumu waislamu eti Wana majini wakati Siri ni kutenda mema, kufunga mwezi mtukufu, no wonder ma Rais wa kiislamu Wana ishi mda mrefu maana hawana miroho mibaya, pia hawaweki vinyongo na kukomoana.
nimesema nk nk nk nk na maanisha naweza kujaza more than 20pages kwa mimi nilivyo ona.Kwahiyo ndugu na kusoma kote huko vitabu hivyo takatifu Qurani vs Biblia hizi ndiyo findings zako?
Mimi nilikujibu ukasema nifunge domo langu. Mkaka amekujibu vizuri kabisa bado hujaridhika! Unachekesha ankoKwahiyo ndugu na kusoma kote huko vitabu hivyo takatifu Qurani vs Biblia hizi ndiyo findings zako?
Wanaoongoza kwa utawala bora Duniani ni Roman catholic ukiachana na Dini nyingine na madhehebu yake.Waislamu Kuna kitu wametuzidi wakristo na inabidi tujitafakari sana matendo Yao, mie Mkristo ila huwa na enjoy utawala wa Waislamu, huwa hawana mambo ya hovyo hovyo hivi tofauti na sie