mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Bahati mbaya nimezaliwa familia ya kikristu. Nataman kubadili dini, nashindwa! Nifanyeje
wee ni mnafiki tu huna lolote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bahati mbaya nimezaliwa familia ya kikristu. Nataman kubadili dini, nashindwa! Nifanyeje
Kwa kweli wako juu !! Hongereni sana ,maana hata 99% ya magaidi, bokoharam, na wengineo ni wao.They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:
1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.
[UPDATE from DeepPond]:
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
- Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
- Yanga inadhaminiwa na GSM.
- Simba inadhaminiwa na Mo.
View attachment 2049955
2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
[emoji3][emoji3] Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.
5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.
Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Sema tu kama unataka niingie Msikitini ili tu unikutanishe na wale Jamaa walewale wale waliosilimu ili unitambulishe na mimi kwao.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787].hhhhhhhh sawaa
kwaio unaiamini iyo biblia ambayo watu wakijisikia tuu wanaweka agano jipya?
Yesu hakuoa,hakuingia kanisani,hakua mkristo, sasa ww mbona unayafanya hyo yote kma kweli unamfuata Yesu?
Nipe andiko kua Yesu kaingia kanisani,wapi bible inasema kua ni kitabu kisicho na shaka ndani yake hlf ndo nitakuona kweli unamfuata Yesu
Sorry. Unamaanisha baba yako alisilimu? Akakuacha wewe kwenye Ukristo?Sema tu kama unataka niingie Msikitini ili tu unikutanishe na wale Jamaa walewale wale waliosilimu ili unitambulishe na mimi kwao.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Maana sioni fundisho la kustaajabisha zaidi ya hilo. Kuswali na wale mamjamaa.
Roho ya kutu hii, ukweli unakuchoma!Mada kama hii ilipaswa ifutwe inaleta matabaka.
"Jambo usilolijua ni kama Usiku wa Kiza "Sorry. Unamaanisha baba yako alisilimu? Akakuacha wewe kwenye Ukristo?
Ndio maana nimeuliza nijue..."Jambo usilolijua ni kama Usiku wa Kiza "
Wahenga Walituambia.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] lete andiko basi wa ayo nilokwambia apo juuSema tu kama unataka niingie Msikitini ili tu unikutanishe na wale Jamaa walewale wale waliosilimu ili unitambulishe na mimi kwao.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Maana sioni fundisho la kustaajabisha zaidi ya hilo. Kuswali na wale mamjamaa.
Hakika kama Taifa kuna watu fikra zao zimelemaa sana. Karne hii ya sasa ya sayansi na Teknolojia bado kuna watu mnawaza udini? Kwamba uislamu na ukristu kipi ni bora? That's why tunaonekana as shit hole countries..They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:
1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.
[UPDATE from DeepPond]:
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
- Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
- Yanga inadhaminiwa na GSM.
- Simba inadhaminiwa na Mo.
View attachment 2049955
2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
[emoji3][emoji3] Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.
5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.
Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Unamaanisha kuwa tajiri ni haramu kwenye Uislamu???Kumbuka kuna uislam na waislam, ktk uislam hayo Mambo yote Ni haraam
USHIRIKINA WANAUJUA HASWA.They dominate and represent Tanzania in many aspects of life:
1. Football
70% of Simba, Yanga and Azam first eleven teams are dominated by Muslim players.
[UPDATE from DeepPond]:
Not to mention the likes of Mbwana Samatta who shines our name internationally!
- Azam FC inadhaminiwa na Bakhresa.
- Yanga inadhaminiwa na GSM.
- Simba inadhaminiwa na Mo.
View attachment 2049955
2. Boxing
Nothing to say here. Check these names:
Hassan Mwakinyo
Dullah Mbabe
Twaha Kiduku
View attachment 2049956
3. Basketball
Kuna anaemjua successful basketball player other than Hashim Thabit?
View attachment 2049957
4. Muziki
[emoji3][emoji3] Tuseme nini hapa.
Muziki genres karibu zote hapa kuanzia Taarab, Dansi, Urban, Singeli zote ziko dominated nao.
Chibu Dangote, Alikiba, Konde, Raymond Shaaban, Lovebyte, Zuchu, Mbosso, Aslay, Marioo.
View attachment 2049959
Tuendelee?? Alichoki, Late Banza Stone, Mwinjuma, Nasma Kidogo, Malkia Khadija Kopa, Mzee Yusuph, Isha Mashauzi, Late TX Moshi, Late Marijani jabali la muziki, Komandoo Hamza Kalala.
5. Wealth:
Top ten billionaire list in Tanzania is dominated by them. I don't want to mention them. Wanafahamika.
View attachment 2049961
5. Leadership/Governance
Historians (and political experts) agree that awamu zilizotawaliwa na Muslim presidents ndizo zilikua na economic reforms, political stability, hata diplomatic relations na nchi za nje ziliimarika.
Don't mention Ugandan war ilitokea awamu gani, don't mention mauaji ya Mwembechai yalitokea awamu gani.
View attachment 2049963
Food for Thought: Is it a coincidence that all Muslim Presidents are still alive up to date!!!
========≠======
UPDATE: 6. Struggle for Independence:
Ni vigum mno, sana tena sana kutenganisha juhudi za kupigania uhuru wa Tanzania (both mainland and Zanzibar) na uislamu.
Kwenye baraza la wazee TANU mwaka 1961, liliundwa na watu 15, waislamu walikua 13 (JKN yule paleeeee)
View attachment 2051407
Unauliza huku unatoa majibu.Ndio maana nimeuliza nijue...
Unaona aibu kuniambia?
Sasa mbona wewe umebaki kwenye ukafiri ilihali mzazi wako ameifata dini ya haki.Unauliza huku unatoa majibu.
Kwani wanaosilimu ni Wakristo Pekee ?
We unajua kila kitu huna haja ya kuniuliza kitu chochote.Sasa mbona wewe umebaki kwenye ukafiri ilihali mzazi wako ameifata dini ya haki.
Napenda kutoa shukrani za dhati kabisa kwa Waislamu waliohusika kuleta Uhuru ya nchi ya Tanganyika.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] lete andiko basi wa ayo nilokwambia apo juu
Kijana najua hutoweza kupata ayo maandiko mpk mwisho wa duniaNapenda kutoa shukrani za dhati kabisa kwa Waislamu waliohusika kuleta Uhuru ya nchi ya Tanganyika.
Pia napenda kuwapongeza Waislamu wote waliokubali kusoma shule za Wamisionari wa Kikristo wakati wa Mkoloni ambao wengi wao leo ni viongozi wandamizi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Kwa sasa tuelekeze nguvu zetu katika kuzidi kujielimisha na kuijenga nchi ya Tanzania.
Soma kijana ili uelimike japo kidogo.hhhhhhhh sawaa
kwaio unaiamini iyo biblia ambayo watu wakijisikia tuu wanaweka agano jipya?
Yesu hakuoa,hakuingia kanisani,hakua mkristo, sasa ww mbona unayafanya hyo yote kma kweli unamfuata Yesu?
Nipe andiko kua Yesu kaingia kanisani,wapi bible inasema kua ni kitabu kisicho na shaka ndani yake hlf ndo nitakuona kweli unamfuata Yesu
[emoji117]Soma nilivyo kuelekeza hapo juu.Kijana najua hutoweza kupata ayo maandiko mpk mwisho wa dunia
M nakushauri kaa chini usome ipi ni dini Sahihi
Fungua iyo bible yko angalia maana ya hekalu ni nini?Soma kijana ili uelimike japo kidogo.
1. Agano jipya lilitabiriwa kabla ya Kristo.
[emoji117]Yeremia 31:31 Angalia, siku zinakuja, asema Bwana, nitakapofanya agano jipya na nyumba ya Israeli, na nyumba ya Yuda.
32 Si kwa mfano wa agano lile nililolifanya na baba zao, katika siku ile nilipowashika mkono, ili kuwatoa katika nchi ya Misri; ambalo agano langu hilo walilivunja, ingawa nalikuwa mume kwao, asema Bwana.
2. Yesu hakuwa Mkristo, kwakuwa Yesu ndiye Kristo mwenyewe.
[emoji117]Wanafunzi wake ndio waliitwa Wakristo.
3. Yesu hakuingia Kanisani.
[emoji117]Kwakuwa wakati wake Kanisa halikuwepo.
{ [emoji117]Tafadhali hebu jibidiishe kusoma kwakuwa unauliza maswali yakitoto sana tofauti na umri wako.
[emoji117]Pia hapa sio mahali pa kujibishana hoja za Dini kwakuwa ni nje ya Mada husika. Wanaosoma hapa hawapendi malumbano ya kidini na ni lazima tuwaheshimu.
[emoji117]Ukitaka mihadhala ya Kidini turudi kule kwenye jukwaa letu hapa tutakuwa tunaenda kinyume na sheria za Jamii Forum. Hebu Jadili Mada husika hapa }