Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

Hata kula hawajakatwazwa,bali ni zuio tu kama unachochakula mbadala ila kama huna chakula mbadala ruksa kufinyanga kitimoto bila hiyana.
 
Waislam wa Mbeya wanapitia wakati mgumu kwa hali ya ulaji wa mbuzikatoliki huko kwao.
Kila chochoro ni kaharufu murua ka mdudu.
kuna mzenji alipangiwa kazi mbeya alafu jamaa swala 5 hasa,jamaa alitafuta uhamisho kwanguvu zake zote,madai yake anasema huku kitimoto nje nje shida ipo kwawatoto wanaweza kukaribishwa ugali kwajirani wakala bila kujua ni ugali nakitimoto
 
Sina hasira na shangaa mwanaume kua mpumbavu na muislamu wake uchwara, uelewa wa muislamu moja ni sawa sawa na Wagalatia 10 wenye degree Za theology hamna muislamu wa kuubili hilo.
Ukishakuwa tu muislamu na mental illness inaanzia hapo sijajua huo uelewa unatokea wapi nyangumi wa jangwani wewe.kusema tu ahera kuna mito ya pombe na mabikira kunadhihirisha hiyo mental disorder yenu
 
Hata kula hawajakatwazwa,bali ni zuio tu kama unachochakula mbadala ila kama huna chakula mbadala ruksa kufinyanga kitimoto bila hiyana.
Sasa mbona vijamaa vina chakula mbada lakini vinagonga kurunguwe mpaka vinachanganyikiwa hapo nilipo kuna mtu ana sigida usoni anatafuta nyama ya nguruwe
 
Ukishakuwa tu muislamu na mental illness inaanzia hapo sijajua huo uelewa unatokea wapi nyangumi wa jangwani wewe.kusema tu ahera kuna mito ya pombe na mabikira kunadhihirisha hiyo mental disorder yenu
Hayo mambo ni "metaphor" huwezi kuaelewa we mpumbavu sana mnatanguliza chuki na dhihaki ya dini yetu.
 
Nimekosa jibu la kumpa huyo shekhe...

Ngoja waje wenyewe
 
kipi ni kitu cha kijinga kufuga ndevu uwe kama osama au kufuga nguruwe ulipe karo kama aboubakar mwaibaibabire
Kuna wale wanaotaka mabikira 72 wameamua kufuga madevu,hata Osama usikute alikuwa mfugaji mkubwa wa nguruwe
 

Kufuga na kula ni yale yale, sema tu huna dini so ni vigumu kunielewa mimi kama muislamu

Kama kuna muislamu anafuga nguruwe, basi huyo sio muislamu, ni muislamu jina
 
Shehe Ponda fuga nguruwe mimi nitakuja kununua kilo kumi
 
Hata peponi waislamu wameahidiwa kuwa kutakuwa na pombe sio za chupa bali za mito unachota mtoni mwenyewe kwa ndoo ,dumu ,pipa au ufunge bomba kwenda kwenu ni wewe tu

Msikilize Shehe Kipozeo akiongelea mito ya pombe waislamu watakayo kuta peponi wanywe pombe watakavyo


View: https://youtu.be/LW7e3PudD7k?si=CRGH46G58LTtAOHe
 
Shehe Abubakari Mwaibabile, huyu ni mnyakyusa mwenzangu.... mimi nikimwona mnyakyusa ambaye ni muislamu au shehe huwa najenga mashaka km anaweza akawa competent kwenye muislamu....

Nimezaliwa mbeya na kukulia mbeya ni nadra sana kumkuta mnyakyusa ambaye ni muislamu... ukitaka kujua jaribu kufanya tathmini ya haraka ya watu maarufu Tanzania ambao ni wanyakyusa waumini wa kiislamu... km unabisha nitajie hata watano unaowafahamu... kwa haraka haraka ninaowajua ni kocha Mwambusi na shehe Mwaipopo.....

May be mnyakyusa pekee niliyewahi kusoma nae ni Ally Mwansasu ambae sijasoma nae Mbeya bali nilisoma nae udsm, last time alikua shehe mkuu wa mkoa wa mbeya..... in short, wanyakyusa hawana uislam na ndo maana huyo shehe anafikia hatua ya kuwaambia waislamu wafuge nguruwe...
 
Watabisha tu ila mwezi mtukufu, ile nyama huwa inadoda sana wateja hakuna.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…