Waislamu washauriwa kufuga nguruwe ili kujikwamua kiuchumi

Watu wanajiongeza wewe maamuma,mtu kaona kabisa watu wanavyooneemeka na ufugaji wa nguruwe kaamua kuchangamkia fursa,wewe baki na umaskini wako wa kuvaa kanzu zilizochanika matakoni na kobazi zilizolalia upande mmoja kwa kuisha soli hata Allah atakuona fala
 
Huo upumbavu upo kwa wagalatia, uislamu hauna ushauri ushauri,

Halafu Quran na Sunnah vimeelezea sana kuhusu kufanya kazi, hatuna haja ya huyo mpumbavu.

Halafu Tanzania Kuna kazi nyingi za kufanya, why iwe kufuga nguruwe tu?
Kwani kufuga nguruwe si ajira we kobazi wa wapi mbona huna maarifa
 
Mbona umekasirika sana jamaa ushauri tu wa kufuga nguruwe ndio umekukasirisha hivi why,mbona huchukii watu kufuga majini
 
kuna mzenji alipangiwa kazi mbeya alafu jamaa swala 5 hasa,jamaa alitafuta uhamisho kwanguvu zake zote,madai yake anasema huku kitimoto nje nje shida ipo kwawatoto wanaweza kukaribishwa ugali kwajirani wakala bila kujua ni ugali nakitimoto
Upumbavu wake utamtesa sana,cha msingi angemtafuta kobazi mwenzake anayekukula kitimoto amuulize kama amedhulika kwa lolote kwa kula kitimoto,kama hajadhulika aombe apewe kipande kidogo cha nguruwe wa kukaanga akionje kikimpendeza mdomoni aombe kingine,hivyo hivyo mpaka anamaliza sahani yote,nadhani baada ya hapo atakuwa balozi mzuri wa kitimoto kwa kobazi wenzake
 
Kwa hiyo hii habari imekunogea ukaona utuletee na sisi dah kweli no transformer no electricity
 
Tena huyu atakuwa ana vipande vya kitimoto ya kukaanga kwenye kanzu anatoa mawaidha mnacheka anachukua kakipande anakatupia mdomoni kama karanga anaendelea na mawaidha
 
Tatizo mtu tunashinda nae kwenye vijiwe vya kahawa, huku anaijua dini dah. Mimi naona sawa kama ameamua kufuga kwa Imani yake, na wewe kwa Imani hiyo usifuge.
mnaposema hafai kula....Kuna muunganiko Gani kati ya roho na utumbo ??
 
Kwa hiyo hii habari imekunogea ukaona utuletee na sisi dah kweli no transformer no electricity
Kwahiyo shehe unataka kuniambia kila anayeleta taarifa humu maana yake hiyo taarifa imemnogea,shehe mbona umefilisika kiakili namna hiyo,nini kimekupata kwenye hiyo sehemu iliyobebwa na shingo yako
 
Fuga wewe uwe tajiri Mimi nitabaki na Uislamu wangu, na Waislamu watabaki na Uislamu wao.
 
Fuga wewe uwe tajiri Mimi nitabaki na Uislamu wangu, na Waislamu watabaki na Uislamu wao.
Yule sio nyoka kusema atakudonoa kalio,ni.mfugo wenye nyama safi kabisa,fuga tu shehe usiwasikize maquraysh wamekupotosheni vya kutosha sasa ni wakati wenu wa kuujua ukweli,acha kuishi na akili za kikuraysh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…