Waislamu wenye msimamo mkali wafunga mtaa London wakitaka kuwepo kwa Sheria za Kiislamu nchini Uingereza

Ma shaa Allah, unahukumiwa unauliwa waziwazi kwa makosa yako, hakuna wasiojulikana huko.

Siyo raha hiyo?

Hao wanaoua wenzao, ina maana hawana dhambi hata kidogo? Au wanaenda hija kujitakasa in yearly basis.
 
Hao wanaoua wenzao, ina maana hawana dhambi hata kidogo? Au wanaenda hija kujitakasa in yearly basis.
Huyo ni Mke Mulah na huenda kasema hela ya mboga haitoshi ndio anauwawa.
 
 

Attachments

  • images (100).jpeg
    47.3 KB · Views: 2
Anauwawa kwasababu ya kupika Pombe kiburudisho kizuri kabisa.
Ukiona hivyo ujuwe imefikia kiwango cha ufisadi.

Ulitaka waachiwe watu wanaoumiza na kuuwa wenzao kwa kuwalevya?

Tena hao wa kuuwa haraka sana.
 
Kwetu Tanzania tulishakataa mfumo wa Kiislamu wa Mulahs takes all.
Nimekuuliza kwenu kuna demokrasia?

Naona swali limekuwa gumu kwako unaleta picha ya watu wamependeda na ndevu zao na kanzu zao.

Nimeipenda sana hii picha' wote simba hawa:

 
Safi xnaa ..yaani tushawaambia jinsi mnavouchukia ndio unazid kuenea
..kama dini yenu haina hata katiba ni yenu
Sie tunapambania dini yetu nyie mnachukia ??
 
Hao wanaoua wenzao, ina maana hawana dhambi hata kidogo? Au wanaenda hija kujitakasa in yearly basis.
Hakuna kuuwa bila kwanzq wwwewe kuuwa katika Uislam. Ukiuwa na wewe unauliwa.


Uislam pekee ndiyo wenye hukumu njema na fair kabisa za sharia. Hakuna loingolongo.


Unafahamu kuwa katika Sharia unaweza kuuwa na una hatia na ukaachiwa huru kama warithi wamekusamehe?

Nambie ipo hiyo kwenye sheria ipi nyingine duniani?
 
Ukiona hivyo ujuwe imefikia kiwango cha ufisadi.

Ulitaka waachiwe watu wanaoumiza na kuuwa wenzao kwa kuwalevya?

Tena hao wa kuuwa haraka sana.
Bibie umechanganyikiwa kunywa Konyagi uone utakavyoburudika na Mmeo?
 
Hao ndiyo wenye akili.

Hakuna sheria ambazo ni bora zaidi ya sharia duniani.

Kama unabisha anza tulinganishe sheria na sharia moja moja. Ujionee ubora wa sharia.
Wapi bhana wewe zingekuwa bora mngetifuana huko mashia na sunni kila sku hawaivu chungu kimoja.

Tatizo la hiyo imani ni unafki na uzushi na kujiona the best kuliko wengine.
 
Kama nchi zote zilizotawaliwa na UK zina English Common Law kama msingi wa sheria mama zao, kwanini UK wasiwe na Sharia Law?
Ambazo zinaweza kubadilika nadhani na ku adjust kulingana na mazingira. Sharia kama sharia mfano wake na utekelezaji wa hali ya juu ni Afghanistan ikiwa chini ya Taleban.

Wale jamaa wakiskia Rais mwanamke wanashangaa kabisa, ukiwauliza huko kwao vipi. Unakuwa unawachekesha sana
 
Hayo ni yako ambayo hayaondoi ukweli kuwa sharia ndiyo suluhisho la matatizo ya duniani.
Hahaha sasa tuangalie nchi za kiislam na tuanze na kwetu Africa…Somalia, Sudan, Nigeria ya wa Islam, Central African Republic, Sahel etc na ukiongeza jihad ni kila kona ya Africa, na kule Middle East ndio balaa tupu..suluhisho ni matatizo tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…